XCAPEE said:
VNORM VS MIZANI
Started by vnorm, Nov 27 2007 07:03 AM
30 replies to this topic
#21
Posted 25 February 2008 - 10:17 AM
...''mazizi iniga calamatuma inuga'' :D
Fuck wit' me n' I'ma break u' skull, expose u' brains to reality/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
#22
Posted 29 February 2008 - 10:49 AM
mbona mmeganda?ama mmepotea mtaa mnarrandaranda
hii syt sio kitanda,ni uwanda wa vita wapenda denda
mmekutana na domo la mamba mnavurunda
mnaanzisha battle afu mnasanda?
kwa zigo la usaka nyie mapunda
hiki chanda chema penda kusimama wima
imara mpaka shetani akate tamaa ashike tama
speed hamna mnataka kuvuma
nani kawatuma kufake batle nyie wanamama :evil: :evil:

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#23
Posted 01 March 2008 - 08:40 AM
nduru za debe tupu huisha, linapokutana na kisu
na za vnorm ziliisha, hii forum nilipoibusu
akagundua huwa sitarajii ushindi, maana tayari ninao
so hata fimbo azigeuze nyoka, kama wachawi wa farao
bado kuna redsea yaani, hapa hapigi bao
nawin eazy ingawa, mi si lord wa nako2nako
so hata uje na kikosi,bado hii mizinga italipua sura yako
aliyelala simwamshi namuongezea blanketi
ndo kope ikijidai wazi, ikumbane na giza la mauti.
tisa tayari ni jeneza,nikiongeza itakuwa jehanamu
na kwa mtoto ka vnorm haitapendeza, sio poa kumpiga doom.ha ha ha ha fala hii.

#24
Posted 01 March 2008 - 09:03 AM
huu mwamba haukatwi kwa incha ya upanga
na usidhani hii battle hushindwa kwa vina vya kuchanga
matatu haipandwi tu kwa kelele za makanga
ni umuhimu wa usafiri ungejifunza we bunga
na hata haumshtui simba kwa kujisifu ulimuua kanga
ka battle ndo unataka tangaza nikufunze lugha
na ka ni pain za kuzaa sema tukutafutie mkunga.

#25
Posted 04 March 2008 - 10:08 AM
usijitie uchizi katikati ya mjuzi,mpuuzi huna newz
hili chochoro unakuja na miluzi,
ukijifanya bwax tozi nakupiga ngeta ya koo mwokozi mwombe akukabidhi kwa izrael
hili biff ulale mahali pema mzugaji
kila rhaheli usione nimesizi
mchizi mwizi nakulia tyming tozi
umetinga uwanda wa maradhi
kiwavi nakukausha kama mbuzi
hili battle ntakata yako pumzi!
piga tizi kwanza huna tegemezi!
nikiwa na hasira nimafura huwa siskizi
namkoti geez unapiga mbizi kwenye rami :twisted:
:twisted: :evil: twende
sikuweki kiporo natembea juu ya mistali kama marcopolo
majaro nnazotia zinakupa kihoro
we emolo wa akili nakuburn kama cd kwa nero :arrow: nipo!

#26
Posted 10 March 2008 - 07:40 AM
ndio unifanyi kiporo nakuua na bado niko moto
ata uje ghala utajua niko kinyume ka majuto
yaani huu sio upwa ata wali wako hautaupata
ka vile hakuna ubani wakurembesha cha kuvunda
kwa vina bado nitakulisha ingawa nazijua fadhili za punda
na ukijifanya umekomaa navuna nilichopanda
ata kwa elimu ya misri musa hakuisahau asili
so ata ujizungushe kafiri bado uiepuki sumu kali
pingu zimefunga macho hiki ki rapper hakioni
na skio kupewa uziwi ka binti wa z anton
sa akili imetia zii kimebaki ka kicartoon
hakijui hakuna msamaha after parapanda ishalia
falsafa ya kutoa kiovu tunaanza na mdomo akiangalia.

#27
Posted 12 March 2008 - 01:52 PM
najua we ni mpole mdogo kimistali kama nyenyere
vile mi ni mkongwe km nyerere!
staki ufure jifunze kwangu hekima za sele!
umeanzisha sherehe usichukie vigelegele!
unapumbazwa ka msukule kwa kumskiza z anto!polepole
nakutafuna ka nashuka mlima ngelengele!
usipende tele kwa ming'ale ya fwereuko mombasa wakuf**le :cry:
vile mi ni mkongwe km nyerere!
staki ufure jifunze kwangu hekima za sele!
umeanzisha sherehe usichukie vigelegele!
unapumbazwa ka msukule kwa kumskiza z anto!polepole
nakutafuna ka nashuka mlima ngelengele!
usipende tele kwa ming'ale ya fwereuko mombasa wakuf**le :cry:
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#28
Posted 14 March 2008 - 08:48 AM
MOS niko DEF
mbili nnakichefuchefu
kutapika miistali timilifu
adilifu kuresurrect wewe mfu
ziba ndoo ya tiffu
kabla hayajageuka mafuliko ya biffu
nna miwani kwa wako upofu
mtofu tofu unalainika ka barafu
nina puff!puff!puff!this biiffu
kiwango chako awali alifu!
juzuu huijui kurani itakupa ukengeufu!
inakwenda clak!clak!unakilaki kifo mdhanifu!
:wink: DIP TEST :evil:

#29
Posted 15 March 2008 - 08:04 AM
ata kuku awanie kuruka uwa sio tishio kwa mwewe
vina nakuona una moto so nakutuliza ka mume amfanyavyo mkewe
size yako ufuoni hapa mauti lazima upewe
naimiliki anga hapa hufaidiki ata uje na uteo
jicho wazi daima usijidanganye utanipata iwe matweo au machweo
umeizoea bahati apa nimeizika wakaribishwa na nuksi
maana hujiezi hakuna ufahari ata nikikupiga so sikugusi
nakuacha uliposimama niite guru au jada wa locks.

#30
Posted 25 March 2008 - 09:57 AM
yia!nakwita gutu ama dada wa joks!
umekutana na mtata chata sina bliss
sijafata bahati nuksi inaniondoa kwenye mikosi!
naburst asti mizani faty ass acha udasi!
mpenda keki wa kike apa umekutana na kinyesi
cha zamani sinuki mi jiwe sio mfupa acha kuzani mizani fisi!
enenda kwa amani ya ibilisi!
kama ikulu ndo ishaingiriwa na muasi!
umekutana na mtata chata sina bliss
sijafata bahati nuksi inaniondoa kwenye mikosi!
naburst asti mizani faty ass acha udasi!
mpenda keki wa kike apa umekutana na kinyesi
cha zamani sinuki mi jiwe sio mfupa acha kuzani mizani fisi!
enenda kwa amani ya ibilisi!
kama ikulu ndo ishaingiriwa na muasi!
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#31
Posted 31 March 2008 - 12:58 PM
quit freeposting on this thread and vote on the newly set battle between me and this weak ass cat Mizani.
endeni mpige kura.
endeni mpige kura.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users