wacha nikuambie nina hakika ya kwamba naeza kumaliza na dakika bila kamba//
juu rhymes zangu zina shika kama fists saa za vita zako hazi match kaa "mkamba"//
nina ma lines mob ka 'formation' zaa Man-U wakicheza kandanda, au ka bibi na bwana waki achana//
lakini bado mbuyu anataka kukuta vitu ndani ya kitanda, wee!!! hauezi niona ka ma "stars" mchana//
mi ni "star" we nikijana, ntakuacha umekatika kaa waria akichana//
nina flow ka Niagara au ka damu kwa mbo nikisha meza viagra//haha
you guyz tell me what u thnk so I kno whea my swa skillz are at
VILE NAIFEEL MAZEE...
Started by D-LINKWENT, Nov 19 2007 07:46 PM
2 replies to this topic
#1
Posted 19 November 2007 - 07:46 PM
#2
Posted 30 January 2008 - 06:26 AM
kaka unaspit true ka patient after surgeon ka finish/
wengi watafeel threatened ukilace ish na english/
unathink rich utareach far hao haters ni pets/
we-ndo vet, kwa game longtime hu-need vest/
keep goin bwoy for sho!
wengi watafeel threatened ukilace ish na english/
unathink rich utareach far hao haters ni pets/
we-ndo vet, kwa game longtime hu-need vest/
keep goin bwoy for sho!
#3
Posted 04 March 2008 - 09:33 AM
huna kiwango bado dogo darasa
una mikasa sema myepesi kuunda kisa
bado haujaingia umegusa kitasa
labda umuandikie monalisa
comminity ya maproffesa
tutusa huwezi changia huna ruhusa! :lol:
una mikasa sema myepesi kuunda kisa
bado haujaingia umegusa kitasa
labda umuandikie monalisa
comminity ya maproffesa
tutusa huwezi changia huna ruhusa! :lol:
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













