Oya wanahip hop wote East Africa sasa time imewadia real revolution is about to be done kuna movie kali sana kutoka kwa machizi wa A-town (ARUSHA) hii haijawahi tokea nimebahatika kuona script na part kadhaa ambazo zimeshashutiwa si KITOTO iko mzuka sana.
i hope wakati umefika wa kuendesha harakati kwa sura nyingine.
Get ready hommie.
kaa mkao kuona movie kali ya hip hop!!!
Started by Mtaa, Oct 30 2007 11:34 AM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













