kama muki underground pia kuna mafala
kabla hujaface hii face piga goti omba sala
mlikuwa wapi mistari ikiandikwa
hata mkifunzwa kurecite,bado mwatandikwa
mtoto wa nyoka akuume kivipi mkononi fimbo unayo
iwe mwanza,arusha, nai,mombasani, ANGAZETU bado hiphop tunayo
nyie mshachoka watu wazima bado twaitenda kazi
twaipenda hii kazi
wanalalama na kusema, hailipi twauliza hawakujua mapema
hii ndo laana kwa kumchezea malkia wangu wa roho
mlango wa peponi umefungwa tumesalia na ufunguo enhee ndio
hata ureply na matusi
HIPHOP yakubalika kwa wazima hata walo na virusi
kwa wale mamc mnaojidai nakujiskia saa hii mnatuskia
Started by mizani, Oct 09 2007 02:40 PM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












