Jump to content


nipo poa


6 replies to this topic

#1 Guest_binda_*

  • Guests

Posted 21 March 2004 - 07:15 AM

nimefurahi lakini nina swali?

#2 Guest_tema_*

  • Guests

Posted 22 March 2004 - 11:43 AM

:roll: :wink: vipi

#3 puzza1

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts
  • LocationMilton keynes. Maputo

Posted 17 July 2006 - 10:29 AM

ume pagawa nini wewe?

#4 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 17 July 2006 - 04:18 PM

eh! tena umejibu topic la ki oldi skool kabisa... angalia tarehe ya posting hizi mbili zilizo tangulia zinasema mwaka 2004...!!

Sasa ngoja nikupe maneno ya Old School slang ya kiSwahili ambayo nadhani yameshakufa.

-kata shingo
-macho balbu
-check bob
-mzee kifimbo cheza

halafu neno jipya la mwaka 1994 DINGI naona mpaka leo linatumika kwa kumwita Baba.

Kumbuka gazeti la Sani? Icheki hii web ya cartoons za TZ kuna baadhi ya vikatuni vya enzi hizo...

http://www.vmcaa.nl/...oons/index.html

#5 puzza1

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts
  • LocationMilton keynes. Maputo

Posted 17 July 2006 - 04:24 PM

hahahaha
simchezo baba
slang iyooo kitambo wakati nipo shule.
duu kweli old is gold

#6 D-LINKWENT

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 130 posts

Posted 12 April 2007 - 10:01 PM

mdingo-thief
toast-idiot
mzeeya-a pal..like vipi mzeeya?
raia-ma boyz
choma para/choma picha- destroyin an image of som.
kuta vitu-get som(ass)

#7 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 12 May 2008 - 11:53 AM

ng'ana-ganja
hamna lolo-nothin
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users