:evil: pesa sio sabuni ya roho ndio chanzo cha mauti
wamepoteza dira muulize jemima thiongo sa kapuka wanaipa saluti
crank ka mbuzi imevishwa koti majudas wanasaliti hiphop kisa noti
washasahau panya ni panya hastahili manyoya ya ninga
hiphop inalia visu wanaiduga wamechanganywa na mawimbi ya runinga
niko tru kwa hii culture hata airplay wanapo ninyima
nilichonacho siwezi kiacha bado nitawachoma navina.
hiphop inapotajwa kenya vichwa nairobi ndo wanatazama
mombasani si hatubabaiki ka chizzen brain na vigetti twawatazama
wanalike chapaa si washaungama
sa twafufua polisi nakuleta mazishi ya maemcee
wanauliza si ni ukoo gani ANGAZETU si flani.
baadhi yama emcee wamepotea njia
Started by mizani, Sep 18 2007 09:36 AM
1 reply to this topic
#1
Posted 18 September 2007 - 09:36 AM
#2
Posted 10 December 2008 - 05:59 AM
mizani said:
pesa sio sabuni ya roho ndio chanzo cha mauti
there is a diffrence between dreaming and visualizing, which one are you doing?
http://emigeeish.blogspot.com
http://emigeeish.blogspot.com
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












