Jump to content

TEREHE 12,FRIDAY NIGHT @DIAMOND JUBILEE

6 replies to this topic

#1 Guest_the ambax_*

  • Guests

Posted 13 March 2004 - 08:37 PM

TEREHE 12,FRIDAY NIGHT @DIAMOND JUBILEE
ilikuwa ni kwenye uzinduzi wa albamu ya mandojo na domo kaya ambapo nilishuhudia masella kama saba hivi ndani ya djubilee wakiingia kwa mbwembwe baada ya taa za ukumbi kuzimwa nakluwasha baruti zao znye kutoa cheche na mwanga wa pink ..... :shock:

mara nikasikia beat kali yenye uzito wa kipekee yenye bassline nzito inayo bang na kwakweli i had never ever heard of it b4.....ndipo nilipo mwona mtu mmja mwenye jicho moja akitoa intro kwamba kinacho fuata si bongo flava wala cormmercial music bali ni real hiphop...!!! :twisted:

mara yule jamaa akapiga yowe kali na hapo hapo beat iliruhusu verse ya kwanza kuanza hapa hapo wale massela saba wakaanza kunesa huku wakiiimba maneno ambayo sikiweza kuyaelewa kwani ilikuwa ni kelele tupu..... :wink:

basi yule jamaa mwenye jicho moja akiwa na magwanda ya kijeshi aliamuru massela wote ndani ya d jubilee waende mbele wakawakilishe,basi hapo ndipo nilipoona hard core halisi....yule jammaa akavuliwa shati na massela wake na akaanza kunesa ki-hard core huku akitunisha misuli yake na hapo hapo beat ikazimwa kidogo with pause....heee mara nikasikia KUMAMAMAMAKEEEEE......aaaghhh .....watu ukumbi mzima wakapiga kelele sana wakishangilia stimu kali ya music ulio na art of hard core .....eee bwana baruti zenye mwanga wa pinki ziliendelea kuwashwa huku taa zote zikiwa zimezimwa.....well mic ilikuwa moja na mwimba chorus ni mmja lakini track ilikuwa na verse nne...!!! na kuanzia mwanbzo hadi mwishop ilikuwa ni fujo tupo katika stage yenye mwanga mwekundu na pink..... :shock:

ilipokaribia kufungwa kwa tamasha watu hao tena walipanda na track yao maaarufu ya "TUNASONGA KWA MWENDO WA FARASI AU KINYONGA"ambapo niliweza kusikia scrach nyingi za dj JD huku stimu za mayowe zikitoka kwa matusi ya kumamamamakeeeeeee......na massela wote walikua wakiswing na beat katika stage...

hadi naondoka katika ukumbi wa DIAMOND watu wengi walicomment kwamba that was the real shit we have been missing....

HAWA SI WENGINE BALI NI KIKOSI CHA MIZINGA...!!!
:twisted: :roll:

#2 Guest_Juma_4_*

  • Guests

Posted 13 March 2004 - 09:41 PM

Unaona sasa 'real hip hop will only die if you allow it to'...
underground itaendelea kuwepo na ipo siku ita take over tena.

#3 Guest_Grimey_*

  • Guests

Posted 14 March 2004 - 01:49 AM

the ambax said:

TEREHE 12,FRIDAY NIGHT @DIAMOND JUBILEE
ilikuwa ni kwenye uzinduzi wa albamu ya mandojo na domo kaya ambapo nilishuhudia masella kama saba hivi ndani ya djubilee wakiingia kwa mbwembwe baada ya taa za ukumbi kuzimwa nakluwasha baruti zao znye kutoa cheche na mwanga wa pink ..... :shock:

mara nikasikia beat kali yenye uzito wa kipekee yenye bassline nzito inayo bang na kwakweli i had never ever heard of it b4.....ndipo nilipo mwona mtu mmja mwenye jicho moja akitoa intro kwamba kinacho fuata si bongo flava wala cormmercial music bali ni real hiphop...!!! :twisted:

mara yule jamaa akapiga yowe kali na hapo hapo beat iliruhusu verse ya kwanza kuanza hapa hapo wale massela saba wakaanza kunesa huku wakiiimba maneno ambayo sikiweza kuyaelewa kwani ilikuwa ni kelele tupu..... :wink:

basi yule jamaa mwenye jicho moja akiwa na magwanda ya kijeshi aliamuru massela wote ndani ya d jubilee waende mbele wakawakilishe,basi hapo ndipo nilipoona hard core halisi....yule jammaa akavuliwa shati na massela wake na akaanza kunesa ki-hard core huku akitunisha misuli yake na hapo hapo beat ikazimwa kidogo with pause....heee mara nikasikia KUMAMAMAMAKEEEEE......aaaghhh .....watu ukumbi mzima wakapiga kelele sana wakishangilia stimu kali ya music ulio na art of hard core .....eee bwana baruti zenye mwanga wa pinki ziliendelea kuwashwa huku taa zote zikiwa zimezimwa.....well mic ilikuwa moja na mwimba chorus ni mmja lakini track ilikuwa na verse nne...!!! na kuanzia mwanbzo hadi mwishop ilikuwa ni fujo tupo katika stage yenye mwanga mwekundu na pink..... :shock:

ilipokaribia kufungwa kwa tamasha watu hao tena walipanda na track yao maaarufu ya "TUNASONGA KWA MWENDO WA FARASI AU KINYONGA"ambapo niliweza kusikia scrach nyingi za dj JD huku stimu za mayowe zikitoka kwa matusi ya kumamamamakeeeeeee......na massela wote walikua wakiswing na beat katika stage...

hadi naondoka katika ukumbi wa DIAMOND watu wengi walicomment kwamba that was the real shit we have been missing....

HAWA SI WENGINE BALI NI KIKOSI CHA MIZINGA...!!!
:twisted: :roll:
:D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D :D

Finally sum good newz comin outta Bongo, esp the Hip Hop scene! Man its been long, jus wen cats waz startin to say aint no real shit in Bongo! The game needed this! Can imagine the buzz on media, n them fake a$$ radio stations tht ve no clue what real hip hop is! :)

Shit i musta misd that! At one pt i thout them catz waz over, figure the scene was way too commercial for em. Its nice to hear catz go back to the rootz n jus do good music regardles of what the industry wanna hear ( n we r forced to lisn to) :wink:

Big up masela thts the spirit rep them streetz to the core! Fcuk all 'em ECT n Bokasas of thiz shit! Cant bliv Abbas 13th Khalifa kicks it wit em! Masela, n tru headz gotta give it up to this man, jus wat we been missing! Tunasonga! Thts some ill shit man, mad underground!

DJ JD scratching? The last tym i checkd he was only makin noise? Musta been interesting! Halaf i remember hearing bout JD hatin on the niccaz, Hashim infact! WTF happened mid lyf crisis?

Jamaa wanatoa album tena au wameghairisha? :?: :?: :D

#4 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 15 March 2004 - 05:15 PM

Ebwana ndio real hip hop,,,,,,shit can`t believe i missed that shit there,,,,big up kikosi

#5 Guest_Ghost_*

  • Guests

Posted 19 March 2004 - 03:00 PM

info@kikosichamizinga.com :arrow:

#6 Guest_Kifimbo Cheza_*

  • Guests

Posted 23 March 2004 - 09:01 PM

Damn haya kweli ndio mambo tunataka kusikia...Ambax its nice to hear our boys are keeping it dirty! Bongo flava is just way too ahead of the competition now, lets keep tightening the screws on all softies. :shock:

#7 Guest_ELDOGO_*

  • Guests

Posted 25 March 2004 - 07:29 PM

Hahahaha

1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users