Jump to content


HARD CORE


6 replies to this topic

#1 Guest_THE AMBAX_*

  • Guests

Posted 13 March 2004 - 08:31 PM

TEREHE 12,FRIDAY NIGHT @DIAMOND JUBILEE
ilikuwa ni kwenye uzinduzi wa albamu ya mandojo na domo kaya ambapo nilishuhudia masella kama saba hivi ndani ya djubilee wakiingia kwa mbwembwe baada ya taa za ukumbi kuzimwa nakluwasha baruti zao znye kutoa cheche na mwanga wa pink .....

mara nikasikia beat kali yenye uzito wa kipekee yenye bassline nzito inayo bang na kwakweli i had never ever heard of it b4.....ndipo nilipo mwona mtu mmja mwenye jicho moja akitoa intro kwamba kinacho fuata si bongo flava wala cormmercial music bali ni real hiphop...!!!

mara yule jamaa akapiga yowe kali na hapo hapo beat iliruhusu verse ya kwanza kuanza hapa hapo wale massela saba wakaanza kunesa huku wakiiimba maneno ambayo sikiweza kuyaelewa kwani ilikuwa ni kelele tupu.....

basi yule jamaa mwenye jicho moja akiwa na magwanda ya kijeshi aliamuru massela wote ndani ya d jubilee waende mbele wakawakilishe,basi hapo ndipo nilipoona hard core halisi....yule jammaa akavuliwa shati na massela wake na akaanza kunesa ki-hard core huku akitunisha misuli yake na hapo hapo beat ikazimwa kidogo with pause....heee mara nikasikia KUMAMAMAMAKEEEEE......aaaghhh watu ukumbi mzima wakapiga kelele sana wakishangilia stimu kali ya music ulio na art of hard core .....eee bwana baruti zenye mwanga wa pinki ziliendelea kuwashwa huku taa zote zikiwa zimezimwa.....well mic ilikuwa moja na mwimba chorus ni mmja lakini track ilikuwa na verse nne...!!! na kuanzia mwanzo hadi mwisho ilikuwa ni fujo tupo katika stage yenye mwanga mwekundu na pink NA MZIKI MZITO WA HIPHOP USIO NA VINANDA BALI NI BEAT NA SCRATCH NYINGI ZA DJ JD.....

ilipokaribia kufungwa kwa tamasha watu hao tena walipanda na track yao maaarufu ya "TUNASONGA KWA MWENDO WA FARASI AU KINYONGA"ambapo niliweza kusikia scrach nyingi za dj JD huku stimu za mayowe zikitoka kwa matusi ya kumamamamakeeeeeee......na massela wote walikua wakiswing na beat katika stage...


hadi naondoka katika ukumbi wa DIAMOND watu wengi walicomment kwamba that was the real shit we have been missing....

HAWA SI WENGINE BALI NI KIKOSI CHA MIZINGA...!!!
:twisted:

#2 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 15 March 2004 - 11:19 PM

Hell ya i feeling this shit...hell wit bongo flava,,,big up all the kikosi crew

"i know sum people who know sum people who feel this shit here"

#3 Guest_acapela_*

  • Guests

Posted 18 March 2004 - 03:29 PM

http:www.kwetu entertainment.com

#4 Guest_jicholatatu_*

  • Guests

Posted 19 March 2004 - 02:49 PM

i'm feeling this one tooo man!!!!!yo ambax jamaa hawaja sema kuhusu album yao itatoka lini????

#5 Guest_Ghost_*

  • Guests

Posted 19 March 2004 - 02:53 PM

info@kikosichamizinga.com :arrow:

#6 Guest_acapela_*

  • Guests

Posted 20 March 2004 - 02:51 PM

wordplay@yahoo.com

#7 Guest_Chacalito lah!_*

  • Guests

Posted 20 May 2004 - 03:19 PM

oyaaaaaaaaaaaaaaaaaa heshima kwa KIKOSI KIKOSI CHA MIZINGA SI KIJINGA ARIFU WAMEJIPANGA SHIKA RUNGU NYUNDO PANGA, MSTARI WA MBELE PANGA HAYA TWENDE HUKO MBELE KWENYE MATANGA.
MAZEEEE PIGA UWA PANGA PANGUA CHOMA KISU UWA REAL HIPHOP LAZIMA ITARUDIA KIKOSI MSTARI WAMBELE HAKUNA KUPIGA KELELE.
hoy hoy hoy hoy hoy hoy hoy.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users