big stuff in here ...
heyo alcapainooo!!! wewe mad scientist where have u been i expectected u to have a hot lyrics long fuck a go.....!! any way keep it real
yeah long t nilikuwa quiet
az u kno ma stuff r not really light...
in ma life nikama ninafight...
mitikasi yangu huwa naifanya night..
ghey chek bahati chek kwa dhati...
wanga wanashindwa kunivuta shati...
ambax naishi kimang'ati.....wala sinati...
shingoni sina madini nina manati....
nina mwazo mengi lakini sidati...
nashangaa sana mapene sikamati...
e ee ee inatosha .......
waafrika tunastyle? well nafikiri bado kuna mambo mengi ya mifano yanatakiwa ya fanywe ..ile video ya TID ni kali lakini its too AMERICAN!!!
nafikiri kubreak the international market we need to swing our own thang in afro wears and modify our hip hop rhythms u see MR EBBO have tried..!!!
mida 8)
waafrika tuna style?
Started by bongonian, Nov 06 2001 04:10 PM
48 replies to this topic
#41 Guest_ambax THE ONE_*
Posted 16 November 2002 - 06:11 PM
#42
Posted 23 November 2002 - 11:02 AM
Hellow samahani Alcapaino kama nimesikia jina lako likitajwa katika moja ya nyimbo za Jay.
E bwana we unakaa kimara nini?
na kama ndio wewe mkoje na jay?
E bwana we unakaa kimara nini?
na kama ndio wewe mkoje na jay?
#43 Guest_used to be ambax_*
Posted 04 April 2003 - 07:28 AM
am sorry j4 ...iam so in trouble with those posts in this battle page.naomba uondoe message zangu zote zenye lugha mbovu samahani sana AM STILL DIONG HIP IN A MAD WAY lakini hizo lyrics zime nikharibia mabo yangu.
nafikiri tutashirikiana vizuri kwa hilo.
thanks in advnce.
ambax
nafikiri tutashirikiana vizuri kwa hilo.
thanks in advnce.
ambax
#44 Guest_used to be ambax_*
Posted 04 April 2003 - 07:33 AM
am sorry j4 ...iam so in trouble with those posts in this battle page.naomba uondoe message zangu zote zenye lugha mbovu samahani sana AM STILL DIONG HIP IN A MAD WAY lakini hizo lyrics zime nikharibia mabo yangu.
nafikiri tutashirikiana vizuri kwa hilo.
thanks in advnce.
ambax
nafikiri tutashirikiana vizuri kwa hilo.
thanks in advnce.
ambax
#45 Guest_Nabii_*
Posted 10 April 2003 - 09:13 AM
Watu wanamwaga mitusi hadi wengine tunahofia kuingia kwenye forum. Wanatoka dunia gani hawa wasiostaarabika?
upumbavu
upumbavu
#46 Guest_sexymama, a.k.a lovemakin_*
Posted 27 September 2003 - 08:07 PM
hey mambo zenu vipi, wabongo wenzangu!!!
Fagilia babake, wawaaaaa!!
anyways bwan sisi wabongo tuna style bwana, na ndio maana hata kama kwa sisi tunaoishi huku U.S.A bado tuna onyesha some style. Unajua kwamba kama sisi waafrika tungekuwa nyuma ki stle, ingekuwa noma, kwani watu kibwena wanapenda African fashion, for sho. Kwa hiyo inabidi kwa upande wetu, wabongo lazima tuwe na sifa, U heard!!
HOlla

#47 Guest_tuffjam_*
Posted 28 September 2003 - 03:25 AM
sexy mama uko wapi manake miye jirani yako vile.
#48 Guest_Sexymama_*
Posted 29 September 2003 - 04:56 PM
:P hey yall hatters!! wats goin down!!
Alcapaino, its me, ya girl Miss:"D" aka Sexymama.
Anyways i was just sayin. Unajua nyie washikaji mambo ya tusi, ahcna nao, ongeza bidii kwenye mambo ya kibongo, kwani si unaelewa tena, mambo inabidi yawe muruwa. wawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bongo Tula Style, Africa kwa ujumla!
Peach Yall
One

#49 Guest_Sexymama_*
Posted 29 September 2003 - 04:58 PM
:P Nipo CT, Connecticut, hey contact basi, si unaelewa mambo safi, Email: peace12j@yahoo.com na kama kuna mambo ya kuchat utanipata kwenye hii; seandlove331@ms.com seandlove331@yahoo.com
Mambo Swafi!
One
Mambo Swafi!
One
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users