Jump to content


waafrika tuna style?


48 replies to this topic

#1 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 06 November 2001 - 04:10 PM

mluguru umenikumbusha kitu kidogo kuhusu hizi style ulipokuwa unamuelimisha yule himcelf anayesuka.simlaumu white nigga kwa kujistukia bali nataka kuuliza hivi sie tunafanya mambo kwa kuangalia asili yetu kwani huko bongo ukisuka,ukivaa hereni,cheni nyingi unaonekana muhuni,choko na majina mengine mengi tu
nikiangalia historia naona:
wamasai walikuwa wanasuka
wazee wakikurya wanatoboa masikio
wamakonde chale(tatoo)

sasa inakuwaje ukiyafanya hayo mambo unaonekana noma

#2 Guest_<sosa>_*

  • Guests

Posted 06 November 2001 - 04:41 PM

sema nae bongonian, da sasa hivi ninapeta site naicheba fresh kinoma.
Kuhusu mada ni hivi kusuka bwana ni swala la kawaida sema tu wazee wetu toka watawaliwe basi wamesahau kabisa mila na jadi na wamekua wakoloni, lakini watu kibao mbona wanasuka tu sema noma kwa wale wanaoishi kwenye family ya kisomi ndio mara nyingi wazee wana wa piga vita.
Lakini kusuka nako kunatokana na mtu maisha anayo ishi sio kwamba wewe muhasibu au lawyer alafu unakua unasuka nyewele hiyo kidogo inakua unaenda kinyume lakini kama ni mwenzangu na mie maisha yako mpeleke mpeleke poa tu ukisuka.
Peace images/smiles/icon_wink.gif

#3 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 06 November 2001 - 07:33 PM

sema kachala naona amani imerudi humu ndani basi kila mtu kapooza.
unajua hii babylon system haita toka kwenye damu yetu weka pembeni baba zetu walivyo wakoloni hata sie wenyewe majanki utakuta mtu anamtolea jicho mwenzake huku akishadadia ni mvuta ba**i kisa ameweka rasta.

#4 HollyMe

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 10 posts
  • LocationAichi-ken, Nagoya, Japan.

Posted 07 November 2001 - 02:47 AM

sawa sawa kabisa.
Na sio kusuka tuu, mimi ninambonge wa afro, nilianza kuutunza tangu nina 15. basi siku moja mateacher wakanilia njuga wanataka niutembeze mbele nibaki na unga.
Mshikaji nikatia numu basi wakaja na mikasi, nikauvunja wa kwanza wakanipiga mkwara watanifukuza skuli, ikabidi ninyong'onyee.
Wakagonga msaraba bwana halafu wakaniacha niende nikajilipie kwa kinyozi.
Kesho yake nikarudi na msaraba kichwani, wakazani labda keshokutwa yake nitauondoa, basi mara mwezi mara wa pili mara afro likarudi sasa kilichonishangaza ni kwamba hawakusema lolote japo nywele hivi sasa ndio zilionekana za kihuni au kichaa wa kweli, sasa sijui ni kwamba hawakupendelea nikipendeza au vipi bwana mii hata sijui yaani images/smiles/icon_confused.gif .
Lakini tangu siku hiyo nikagundua kumbe bwana hawa waliotangulia soi ndio kwamba ni wenye busara kuliko sie, upeo wao mdogo sana na hawajaendelea wanaishia kutuzibia tunaokuja.

Peace.

#5 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 07 November 2001 - 09:35 AM

duh hiyo habari ya kupigwa mikasi sio mwenyewe ndugu yangu sio tulioenda shule za kiafande tumetaabika kwenye maswala hayo kinoma.
ukitaka kujua wabongo kazi yao kusimanga bila kuchunguza mambo,fikiria kuhusu kuwa iced out.utajipigilia macheni ya platinum kesho mbongo atasema umewageza wamarekani wanataka uvae shanga wakati anasahau hayo madini yanatokea huku kwetu yanakwenda kudesigniwa kiwanja sasa sijui hayo madini yanamilikiwa na wazungu.

#6 Guest_<mi cant believe mi ey_*

  • Guests

Posted 07 November 2001 - 09:21 PM

Nimefuatilia hip hop bongo lakini nimegundua kuna upungufu wa vitu flani!!kwanza kunawasanii wengine hawajakaa kisanii!!ni wachache sana wanajitriti kama wasanii!!N'way, swala lingine ni kwamba tunahitaji ma'producer wengi kuliko wasanii!!hili kuleta ushindani!!..Ok,kuna improvement kidogo katika beatz..lakini inabidi tuanze kutumia digital music production badala ya kubaki kutumia vinanda only!!
Nimekuwa nikitengeneza beatz by ma self kwa miezi kadhaa!!I mean nina library yangu ya beatz ..nitaanza kuwapa beatz zangu chache kwenye hili webu...halafu mniambie kama zitawafaa vijana wetu wa kibongo kwa kutumia linkz...so yall betta sneak around!!

#7 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 08 November 2001 - 04:12 AM

i really cant believe mi eyes,asante kwa maoni yako lakini kwa kabisa hebu angalia kichwa cha habari kama kinaendana na mada uliyoleta humu ndani.
pili,muziki ni kama mtoto unakuwa kwa hiyo vuta subira bado mtoto anajifunza kutembea kuna siku ataanza kukimbia.
jaribu kukumbuka hao maproducer na wasanii hawanufaiki kwa sana wala nini kwa hiyo usitegemee tuwena studio kama master P.
halafu naomba unifafanulie ni jinsi gani wasanii wanatakiwa kuwa kwani hapo sijakuelewa kidogo.

#8 Guest_<BURNER>_*

  • Guests

Posted 14 November 2001 - 11:00 PM

UNAJUA BWANA KUNA WATU WENGINE SIJUI NISEME
WANATAKA SIFA AU,LAKINI ANYWAY INAWEZEKANA KA
BISA IKAWA SI KUSUDIO LAKE ILA NI KUTO KUELEW
A TU.NAMZUNGUMZIA HUYO MSHIKAJI ALIYEKUJA BAA
DA YAKO(BONGONIAN)KAACHA KABISA MADA!!!!
SASA NI HIVI;HILI SWALA LA KUSUKA, KUTOBOA MASIKIO NA KUVAA KATA KUNDU LABDA KWA MC'Z WETU NA VIJANA WOTE KWAUJUMLA,NI SWALA LA KAW
AIDA KABISA SEMA INABIDI UKUBALIANAE NA WAZAZ
I KAMA UNAISHI NAO NA KAMA UMESHAANZA KUJITEG
EMEA BASI NI NAFSI YAKO TU KUKUBALI KUFANYA
JAMBO MOJA WAPO KATI YA HAYO,LAKINI CHA MSING
I SIYO MTU AKULAZIMISHE NA KAMA PIA UNAAMINI
MAMBO YA DINI UNAYOIFUATA BASI JARIBU KUSOMA
KWAMAKINI HAYA ZILIZOPO KATIKA VITABU HUSIKA,
ALAFU UKIGUNDUA KAMA KUNA JAMBO KATI YA HAYO
LIMEKATAZWA NA WEWE UNATAKA UZIMA WA MILELE
BASI ACHANA NALO,INGAWA KWAKUACHA KUFANYA MAM
BO HAYO YALIYOPO JUU SI NDIYO UMESHAFANIKIWA
KWENDA HEAVEN!!!!!!!!AMA SIVYO WASHIKAJI?
LAKINI UKITAZAMA HISTORIA UTAGUNDUA KWAMBA HI
VYO VITU VILIFANYWA NA WATU WAZAMANI,NAWEZA
NIKAKUPA MFANO WA MTU KAMA DEDAN KIMATH,HUYU
ALIKUWA MKENYA NA ALIKUWA NA NATURAL DREAD RO
CK AINA HII YA NYWELE NI MOJAWAPO YA MSUKO NA
HUWA INACHUKULIWA KAMA UHUNI NDANI YA BONGO!!
KAMA ALIVYOSEMA BONGONIAN WAMASAI WANASUKA,WA
NATOBOA TENA MATUNDU MAKUBWA TU!LAKINI HAWAAM
BIWI WAHUNI KWANINI????????HIZO BRINGBRING AC
HANA NAZO,HATA HIZO SOVERNIER ARTS ZINAZOTEN
GENEZWA NA WASANII WETU,TUNAKATAZWA KUVAA!!!
KWAHIYO BWANA KAMA WEWE UNATAKA KUFANYA HAYO
MAMBO JARIBU KUFUATILIA HIZO SEHEMU NILIZOZI
TAJA UKIKUTA POA,BASI KEEP ON...........
LET ME BOUNCE....!!!!!! images/smiles/icon_confused.gif

#9 Mchapakazi

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 213 posts
  • LocationDeventer, Holland

Posted 15 November 2001 - 03:00 PM

Washikaji acheni tu hizi issue si mchezo home Bongo bado kuna watu awajui mambo alafu ujifanyaga they know yaani hata washikaji wenyewe wanaanza oh jamaa hivi mara vile kisa una dreads,Braid au natural, ear ring au chochote watasema sana lakini its true they won't word up kwa wamasai au wagogo wengine sasa funny enough ukiwauliza pale ni wapi kituo cha mafuta hivyo watakwambia pale ni Shell ha ha ha - images/smiles/icon_smile.gif Jamani shell ni kampuni sio petrol station zote shell kuna vitu vingi tu the same person anajifanya ukimuuliza hajui hata vya afya na historia sasa me sometimes naangaliaga na kuignore tu maana uwezi kuongea na mtu asiyejua kitu u see.Lakini me uwa niko kinda strong kwa vitu nikifanya na makini bila kumix na dini na nini maana unaweza ingia kanisani sasa wakati unaenda kwa sadaka (Bongo hapo)mijicho yoote kwako - images/smiles/icon_sad.gif anyway lakini wananza kuelewa elewa hopefully nawataelewa tu hata kwa viboko aiight
Peace images/smiles/icon_cool.gif

#10 Geeque

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 7 posts
  • LocationChicago, Illinois, USA

Posted 26 December 2001 - 11:29 PM

Mimi ningefurahi zaidi nyie members mnaosema kutoboa masikio au kusuka ni utamaduni uliokuwepo pale Bongo ukifuatwa na Wamasai na Wakurya mngefanya kutokana na kuwaona watu wa makabila hayo na hivyo kuwaigiza. Tatizo ni kwamba asilimia kubwa ya Wabongo wanaosuka na kutoboa masikio wanafanya hivyo kwa kuigiza kutoka kwa Wamarekani na si Waluguru au Wamasai. Ingekuwa hiyo style haipo kwa Wamarekani kabisa bali wamasai na waluguru sidhani kama wengi wangeithamini na kuigiza lakini kwa sababu ni wamarekani wanaofanya hivyo basi ni kitu cha kuiga. Mimi siko hapa kumwambia mtu yeyote kwamba kutoboa masikio au kusuka si vizuri. Nadhani kila mtu ana maamuzi yake mwenyewe na staili yake mwenyewe ila kuwahusisha Wamasai na kuvaa kwako hereni hapo nadhani tunaongopeana.

#11 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 27 December 2001 - 08:23 AM

kwako Geeque, mpaka hapo naona na wewe umeathirika ki saikolojia. Kwanini na sema hivyo? ni kwasababu unavyo rukia kusema kuwa watu kusuka wana wa geza wamarekani, hii ina onyesha jinsi gani unavyo fagilia nchi ya marekani. Mbona hutaji Jamaica, South Africa nk. ??

#12 bongonian

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 60 posts
  • LocationArusha,Tanzania

Posted 27 December 2001 - 04:25 PM

we GQ kwanza niambie mmarekani aliyeanza kusuka na kutoboa ni nani?acha kuwa na fikra za kitumwa kwani hujui asili yako mwenyewe unabaki kuzuga mambo ya kimarekani.
naweza kukwambia nywele za mtu mweusi ndio nywele pekee inayoweza kutumika kwa mitindo mingi kuliko zote mfano rasta,kusuka mitindo yoyote utakayotaka lakini tumeona ni kiasi gani tumekuwa tunapinga vitu vinavyohusu asili kusingizia ni uhuni.
mfano mzuri naweza kukupa ni dada yangu aliyeambiwa anyoe mzizi wake kabla hajapewa kazi hiyo ni bongo lakini angekuwa nywele zake kaweka relaxer basi hatakusingekuwa na matatizo yoyote

kuhusu kuvaa hereni na kutoboa masikio.hizo ice unazodhani ni umarekani nikati ya rasilimali zetu(africa) ambazo tunaibiwa kila siku na hao unaowaona wamaana kwa hiyo tuko entitled kuzitumia kama wazalishaji.au unaona raha kusikia kilasiku zinafukuliwa kwenu halafu wavaaji ni watu walio huko mbali.hebu niambie kwa hiyo mtu akivaa shanga SHINGONI au iced out chain kipi kinaonyesha yeye sio mwafrica

GQ fungua kichwa chako
acha kupenda ya wenzako
kufagilia kila jambo
kuuza asili yako
unazusha ya ng'ambo
hayo si mambo
utawekwa kando
utulizwe mshono

#13 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 27 December 2001 - 10:09 PM

Neno juu!!

#14 Guest_<Geeque>_*

  • Guests

Posted 27 December 2001 - 11:26 PM

Hahahahahahah! Nadhani wewe Sosa na Mwenzio Bongonian hamjui mnachokiongea. Yaani nashindwa kuelewa kama mna akili timamu au labda ni mataahira. Kwa sababu pumba mnazoziongea zinanifanya nijiulize kama mlihawi hata kuhudhuria shule ya msingi. Mimi niliwauliza kama kusuka kwenu nywele, au kutoboa masikio kulitokana na kufuata mila na desturi za kimasai au kikurya. Ukweli ni kwamba vijana wenzangu wengi hufuata mambo baada ya kuona kwenye T.V au kuona staili ya baadhi ya watu katika nchi wanazoishi. Na nilitolea mfano wa Marekani tu lakini ukweli ni kwamba kuna nchi nyingine hizo mlizozitaja. Wewe Bongonian na mwenzio Sosa ndio mko kama wale Ma MC wa kibongo wanaopanda kwenye stegi na winter jackets huku wakijifunika uso na hood. Ile yote ni kuigiza tu baada ya kuona Video za Wu tang au Mobb Deep. Hivi lile joto la kibongo kiasi kile utaniambia kuvaa yale makoti ndio staili ya kibongo au ni kuigiza abroad. Turudi kwenye topiki, nadhani nyie ndio wale wale ninaowaita washamba wa hali ya juu na mnachokiona kwa wageni ni dhahabu. Niambieni ni wangapi kati yenu mliamua kuanza kusuka au kutoboa masikio kwa kuwaigiza Wamasai??? Ukweli ni kwamba no one, mlifanya hivyo kuigiza watu wa nje kama vile Wamarekani au Wajamaika. Ni kweli hizi staili zote zilianzia kwetu Waafrika lakini asilimia kubwa ya vijana wa kiafrika au Wakibongo hawakuamua kufuata hizo tamaduni mpaka pale tu Walipowaona Wamarekani wakifanya hivyo ndio wakawa kimbelembele. Hii inanifanya nijisikie vibaya kwa sababu sisi vijana tulitakiwa tu cherish tamaduni zetu. Huwa nakuja likizo pale bongo mara kwa mara na ninaona jinsi vijana wanavyojitahidi kuiga Wamarekani. Na si bongo pekee nimeshatembelea Europe ba hata Eastern Europe ambako Usoshalisti ulitawala lakini bado vijana wanaona kuiga Umarekani ndio ujanja. Nilizaliwa Bongo na nimeishi Bongo na Amerika kwa hiyo msitake hata kuniongopea chochote kwamba kuvaa kwenu hereni, mlianza tu kwa kuwaigiza Wamasai. Mimi nawaafahamu mabrotherman wengi feki tu wa kibongo na nadhani nyinyi ni kati yao ambao wanaona kujifanya Wamarekani, Wajamaika ndio ujanja. Lakini huo ni ushamba tu. Nimeshahudhuria Party za Kibongo kibao hapa states na nilichoona ni vichekesho na nadhani Sosa na Bongonian mnawezekana mlikuwa kati ya vichekesho nilivyoviona.

#15 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 28 December 2001 - 01:14 AM

Sasa wewe Gquee naona umeishiwa lakusema, hayo mambo ya makoti yametokea wapi?
na umesikia wapi kama kuna mabrazameni feki na wa kweli? brazameni siku zote ni mjingaa tu, au wewe ndio kati ya mabrazameni wa kweli?!?
Na hilo swala la kufwata wamasai kusuka si lazima ikawa hivyo na wala si lazima ikawa mtu kasuka kutokana na wamarekani, inaweza ikawa mtu kamfwata mjomba au kaka nk.
Alafu fala unajiona darasa limepanda, kwanza huko marekani una fanya nini kazi au unasoma?
kama na wewe haukukumbwa kwenye mkumbo wa kuona kwamba marekani ndio kwa kuishi na ndio kuna elimu nzuri zaidi, mlimani pamekushinda. Kwa watu kama nyie kwenda marekani imekua kama trend.
Unajifanya unajua mila na tamaduni za mTanzania? hebu nipe mila na tamaduni za mswahili mbili tatu.
Kama huelewi mambo tuliza mambi fala, rudi kwenu umekaa kunyonya sifyongo la Bush ukirudi Bongo mabraza meni mnajifanya hamjui kiswahili wats up nyingi kumbe mnadensi tu.
Au unahangaika kutafuta uraia?
sasa na wanao nyoa mapanky na pushbeki nao wana geza marekani?
na dada zetu na mamaza wanao tia kalikiti tena mafuta wanayo tumia mengi yanatoka marekani nao tuseme wana wa geza wamarekani?
Maofisa wetu wanao jinyonga matai na ma suti na joto la bongo nao wana geza western au marekani?
kuna ma emcee Japan,Germany,Africa nk...sasa unanyambia waache kurap kwa sababu fani ni ya mmarekani?
Amka fala wewe kila jambo lina mwanzo na sehemu ilipoanzia na wengine wana fwatia...mf tatoo nazo utaema wameanza wamarekani? mbona waJapani wameanza kuji piga matatuu long time kabla hata Afro Americans hawaja shipiwa marekani, na mbona wamakonde wana chanja uso...na watu wamerekebisha na kuji piga matatu ya usoni kiustaarabu lakini sioni tofauti na wamakonde.
Kwa hiyo ni hivi we bibie, nilitaka kukueleza kuwa kila kitu kina mwanzo wake na kama watu wengine wana pendezewa watafanya kama haviingiliani na maswala ya dini zao au mila.
Sasa wewe unatuletea mambo ya nyimbo za kihindi ooo.. nimekaa europe...mara marekani...yanatuhusu nini yote hayo?
Bongonian ujue ndio kama ulivyo sema kipindi flani hawa ndio wale watu wakimuona mtu ana dreadlocks tu basi jamaa yule ni mvuta bangi anageza wamarekani.
Alafu nilivyo soma tu post yake huyu Gqueen na kuona dharau zake, kwanza kaanza na kucheeka mwenyewe alafu anatuita washamba?
yeye ndio kaendelea kwa sana nika jua tu hili ni liswahili librazameni linaloona limefika kilele yani.
Kwanza uta judge vipi mtu eti kavaa koti wakati wa joto basi anageza wamarekani, kama huyo mtu alikua na mafua je??
mindi vyako usitake kufwatilia wengine usiowajua eti mcheki flani kavaa nini images/smiles/icon_confused.gif
mtu haangaliwi alivyo vaa, rangi, au kama kasuka au ana hereni nk...ni tabia na heshima kwa wangine....umekaa sana nje mpaka umekua mshamba rudi kwenu fala.

#16 Geeque

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 7 posts
  • LocationChicago, Illinois, USA

Posted 30 December 2001 - 11:33 PM

Sosa hoteli ya gunia mimi ninapita tu huko nyuma kwako bila ya hodi wala kipingamizi au nikupe jina la Ngamia Swedi maana yaonekana wanakuparamia huko nyuma kila saa. Yaani unazidi kunichekesha kwa sababu inazidi kujionyesha kwamba hujui unachokiongea. Tatizo lako inaonekana hujahudhuria hata chekechea kwa sababu hata hiko kiswahili chako kina matatizo. Au ulikuwa unatype wakati unashughulikiwa?? Kwa taarifa yako choko Sosa sikwenda Mlimani kwa uchaguzi wangu mwenyewe na niliamua kuja kusoma hapa Marekani kwa sababu nilipasua vibaya tu PCB pale bongo. Niambie wewe unasomea wapi au ndio unabangabaiza na kulala kwa baba. Mafala wa kibongo utawajua tu na wewe ni mmoja wao kwa sababu mara nyingi huwa ni kula kulalwa na wajanja. ahhahahahahhahahahahahaha puuufffftahh. Mimi sina shida ya uraia wa Kimarekani kwa sababu Utanzania unanitosha na I'm proud being Tanzanian. Ninakuhakikishia kuwa najua mila na desturi za kabila mbalimbali za kitanzania kuliko wewe shoga na ukitaka nikufundishe njoo kinyume kinyume nikupe luche luche. Mimi kuzungumzia Koti ni kama moja ya mifano niliyoitoa tu kwa jinsi baadhi ya Ma MC wa kibongo wanavyoiga. Eti kuwa na mafua inakufanya ufae koti zito hahahahahahhahaha choko inabidi uhudhuria hata madarasa ya jioni basi upate angalau elimu kidogo uelewe mambo yanavyoendelea kwa sababu inaonekana hujui kitu bali ni pumba tu zinatoka kwenye hilo domo lako chafu linalonuka kwa kumeza shahawa za wajanja. tehetehetehetehete. Wewe mjomba wako gani anasuka?? au ndio ndi hao wajomba zako wa pembeni wanaokusaidia kula na wanakupitia huko Mombasa. Halafu inaokena babu wewe ni mpambe fulani na unaona kila mtu mtu anayeishi Marekani ni brazamen kwa taarifa yako mimi ni mtu wa kawaida kwa hiyo usiniogope wewe mtoto wa watu. Halafu watu kuongea kingereza wakitoka Marekani ni mazoea kwa sababu huku saa zote unazungumza Kingereza ukija bongo unajisahau na kuongea English lakini mapufta kama nyingi mnaona ubrazamen washamba bwana shida tupu. Wha say u then faggot!!!!!!!

#17 Guest_<Karlescobar@collegecl_*

  • Guests

Posted 31 December 2001 - 01:10 AM

Hey dogg,
I just fill ya shit , i was in the net then i so ya commet 'bout Tattoo and all that.Anyway mchizi mimi mbongo , be safe and happy new year.

#18 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 31 December 2001 - 08:19 AM

mwenyewe una jifanya unajazba, mjingaa.. tu tena mbwiga. Kwanza hukuongelea chochote kuhusu topic, unajifanya unajua kulichonga na matusi yanayo onyesha wazi kuwa wewe ni shoga. Kwanza kumalamamako lina toa usaa full time, na dingi yako anatanuliwa skonsi na kupigwa nao images/smiles/icon_biggrin.gif ndio maana wewe ukatokea kuwa mchoko. Kwenye net uta sema chochote tu kama vile sijui nime pasua sana PCB sijui nini na nini mkundu kuwaka nk.... kwa hiyo naona haina umuhimu ya kutuandikia historia yako. Mimi poa mshamba au sio, lakini nakuhakikishia tunge kua uso kwa suo usingelichonga hivyo kumamako!

#19 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 31 December 2001 - 08:34 AM

Alafu we kuma nimesahau una sema ukikaa sana nje mfano marekani alafu ushuke bongo unakua unajisahau na kuongea kingereza??
kuna watu wamekaa mika 9 china lakini tukiongea nao kiswahili hatuja wahi kuwasikia wakijisahau na kuingizia kichina...yani wewe ni brazameni tosha!!

#20 Geeque

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 7 posts
  • LocationChicago, Illinois, USA

Posted 31 December 2001 - 10:40 PM

Hey Faggot Sosa, Nilikuwa naangalia profile yako nikaona kumbe wewe ni drug dealer na mwizi wa magari kwa hiyo nadhani hilo ni jibu tosha kuwa wewe ni punguani. Siwezi kuhangaika kumuelewesha mtu ambaye nusu ya Cerebellum yake ni stagnant kwa heroin au Methamphetamine. Ushauri wangu ni kuwa kati ya maamuzi yako ya huu mwaka mpya moja wapo liwe ni kujiandikisha kwenye kituo chochote cha elimu ya watu wazima au madarasa ya jioni ambayo yatakusaidia katika upeo na ufafanuzi wa mambo mbalimbali. hahahahahahhahahahah bye homo na heri ya mwaka mpya.





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users