Ebwana Ndio!!
Yahusu: WASHIKAJI WENYE VIPAJI WANAVYO BANIWA.
Naomba ieleweke kwamba haya yangu ni maoni na sina mlengo wa kumsakama mtu fulani ni kwa faida ya wote BONGO
Bongo fleva sasa inapashwa iitwe BONGO FLEX kutokana na Flexibility inayolazimishwa na washika dau kwa mana moja au nyingine Bongo Fleva imepoteza muelekeo.
Sababu:
1. Wasanii wanatakakuwa mapromota!!
2. Washikadau wanataka kumiliki kila kitu ndani ya "Hiphop Seen"
3. Watangazaji wa maredio wanataka kuwa mameneja
4. Redio zinapiga rekodi za washikaji na watangazaji na kidogo
wanaoweza kutoa baasha(Dolla Tano)
5. Maaproducer hawana redundunce ya vipaji Wakilipwa tu Wanarekodi
kwa ajili ya ugumu wa maisha
Mambo haya matano yanachangia sana kuvuruga sanaa ya Bongo fleva na kupelekea sasa bongo fleva iitwe BONGO FLEX
Nawaomba ndugu zangu m-badilike na tabia hiyo
kila mtu anajielewa hatuna haja ya kutajana majina.
Tufungue njia kwa Underground ili tulete challenge !!!!
Naitwa IBONY Moalim among The Founder of Bongo fleva.
Chers!!! (I luv ya all n stay strong)
Washkaji tuinue vipaji
Started by Guest_Ibony aka Mkongwe_*, Mar 06 2004 10:55 AM
8 replies to this topic
#1 Guest_Ibony aka Mkongwe_*
Posted 06 March 2004 - 10:55 AM
#2 Guest_amani!_*
Posted 07 March 2004 - 03:31 PM
ni kweli bongo flava inakuwa bongo flex,inawabidi wale wote walikuwepo kwenye industry wajaribu kuyaweka sawa hayo yote yaliandikwa na ibony maalim kwani mshikaji yuko kwenye scene kwa muda sasa.[/quote]
#3 Guest_JUAkali_*
Posted 27 May 2004 - 01:39 PM
Nunga mkono yote ulosema Eboni..Nadahni kuna namna ya kufanya mambo ili kukomesha haya mambo yanayofanyika sasa..Ni muhimu kukaa chini na kufanya mikakati ya nguvu ili kuona namna gani tutakabiliana na hali hii. Si mbaya kujadili hapa, lakini inahitajika kazi hasa watu wakae chini ili mabadiliko yatokee. Kwa kuanzia ni lazima wale wasanii wenye vipaji wanaotambuliwa- tuwakusanye wenye muelekeo wa kimaendeleo kwenye fani na kufanya mikutano itayopelekea MAKONGAMANO.
Niko tayari kama kuna mtu mwenye msimamo na CHANGAMOTO la kuokoa JAHAZI. Kuna jamaa WANAKUTANA MARA KWA MARA KWENYE TARISHI - NI WABONGO WANOISHI MAENEO MBALI MBALI DUNIANI, kama mtaweza kujikusanya kujadili jambo hili ntawapeni anuani zao ili nanyi mje mshiriki kwenye mijadala hiyo. Haya tunedelee kujadili hadi tuvumue jambo.
Juakali

#4 Guest_Mchizi_*
Posted 27 May 2004 - 09:34 PM
Nakubaliana na yote aliyosema Ebony Moalim, sina haja ya kujitambulisha zaidi lakini ninavyomjua Ebony ni mmoja ya watu wachache walioanzisha hili gem.
Ninachofikiria ni kwamba huu mpango wa kusema watu fulani { bila kuwataja majina kuwa wanachangia kuharibu gem}haufai.
Nadhani tukianza kuwataja majina watajishtukia na kubadili au kuachana na Gem.
Sasa mimi nitaanza na majina yao,
Ma Mc ni : Gk { east coast yote kasoro AY na Imam abbasi }
Mwanafalsafa { ana kipaji lakini yupo kama bendera"
ANAFUATA UPEPO {Clouds wanamcontrol}
Dudubaya { ana moyo lakini hana kipaji cha mziki, yeye
antegemea marafiki na hongo}
Fidi Q { Bendera}
Ma Dj ni :
Molly B { hajui chochote kuhusu hili Gem,nakumbuka alishawahi
kumuambia Domokaya abadilishe jina kwasababu halisound ki sanii,!!! SI UFALA HUO.
K single alishawahi kuwa msanii katika kundi la Underground sords, lakini baada ya kupata kazi Clouds anataka kuwa manager wa wasanii. [ maranyingi nalichanganya jina lake na la kaka yake ambaye alikuwa Kwanza unit sasa hivi yupo Mtoni}.
Kwahiyo Wabongo na wapenzi wanaoitakia mema Bongofleva nawaombeni muwaandike hao washenzi ili waache.
USIMMUACHE FALA ANAYEKATA TAWI TULILOKALIA.
OKOA BONGOFLEVA, ANGAMIZA BONGOFLEX.

#5 Guest_link_*
Posted 28 May 2004 - 09:14 AM
Mchizi ya sound cool, ila sio K SINGLE ni Steve B wa bongo maan kuna steve b USA vile vile k single ndio yuko alabama, well ni kwlei anayosema Moalim na washikaji woote huyu mchizi anaona mambo its tru kuna watu hawana vipaji wala, records kwamba they have been there in the game since then ndio maana ukiwauliza influence...wanakutajia Nelly kumake we mtu wa hip hop kweli... wengi shule hamna, awajawahi hata kutoka kuona life and music industries zinakuwa vipi....yaani kuna shule kubwa la sivyo unanunuliwa balloon aka maji ya shingo then watu wanapiga million 40 toka katika album.amkeni
#6 Guest_k-bucha_*
Posted 28 May 2004 - 08:22 PM
Kumamake wasenge wote mnaoharibu game kama hamtoki lazioma tuwatoe mkuku na mtutu wa bunduki.Underground for life
#7 Guest_Mchizi_*
Posted 28 May 2004 - 11:46 PM
Asante Link kwa kunikumbusha.... si unajua MJANI.. sometimes unasahau majina ya Mafala.
Big up Hashim Dogo, skwiza, prof Ludigo, xplastaz, kikosi kizima cha mizinga, kapirko, Kwanza { original} na Watu wote wanaoitakia mema bongofleva.
KWA WANAOIGA : natumaini mnaiga hata USHOGA.
BONGOFLEVA SIO BONGOFLEX.

#8 Guest_Chacalito lah!!_*
Posted 29 May 2004 - 08:11 AM
HII SIO BONGO FLEVA ARIFU BADILISHA JINA HII NI AFRICAN HIP HOP BONGO FLEVA NI ILE KINA MANGWEA NA WENZAKE WAIMBA. SAWA ARIFU.
BIG UPZ TO WEWE MACHIZI WOTE WALIOKO REAly na hip hop.
BIG UPZ TO WEWE MACHIZI WOTE WALIOKO REAly na hip hop.
#9 Guest_mchizi_*
Posted 29 May 2004 - 10:43 PM
Hamna noma Chacalito lah!, Lakini African hiphop manake Hip hop ya kiafrika, sasa mimi nafikiri kuwa haitawezekana kuwa na hiphop ya kiafrika kama ina jina la ki ingereza { african hiphop} ndio maana napenda kuiita Bongofleva { Ladha ya Bongo}.
Tukiita african hiphop tunakua tunaiga lugha nyingine { kwa hiyo uafrica unakwepo lakini sio 100%}.
Amani.
Tukiita african hiphop tunakua tunaiga lugha nyingine { kwa hiyo uafrica unakwepo lakini sio 100%}.
Amani.
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users