eyoo
eyoo
g-sus naacha alama
na waacha mnanitizama
kwa enyi wapumbavu na warithisha karama
okoeni mashua zenu zisije kuzama
poleni sana enyi mnaojifanya mnaungama
nawaita washenzi
mnasema hip hop mmnaienzi
free style hamiwezi
mnaendekeza mapenzi
mnasifia kuvaa mnayasifia mapenzi
mmelaaniwa duniani mmelaaniwa kwa mwenyezi
yeah mashairi yangu yanalewesha kama pombe ya mackenzi
yanawalewesha enyi watoto mlio kosa malezi
hahaha ihari yashinda utumwa
nawasikitikia mnaoikubali dhuruma
imbeni mkiwa mnaipigania huruma
au mnapenda kuibaka haki kama jacob zuma
hii ni maalum kwenu machizi acheni hujuma
g-sus ndie mwokozi wa hip hop gurudumu nalisukuma.
yeahhhhhhhhh
g-sus
maalum kwa ma cho........k....part 2
Started by Raymond yamo, Jul 02 2007 09:04 AM
1 reply to this topic
#1
Posted 02 July 2007 - 09:04 AM
#2
Posted 24 June 2008 - 01:42 PM
g-sus unaflow ama/ unasema/
kwangu we ni mtoto wa mama/na tena ni nyangema/
ni bora kutulia na mchezo kuusoma/
inaonekana/ wako mama amekutuma/
hii fani si ya ma..ma/
mtoto wa mama nikisema utanuna/
we ni kinda fala ndo mana nakupa noma/
najua itakuuma/kama nduguyo j -zuma/
usilete lelemama/hima/ rudi cbe upate soma/
mi ni mungu kwako nadhani umeshaona/ndo maana/
najua wapi pa kukufuma/
bado sijayaona hayo yako makarama/ama
ndo umeinama/unaogopa moto usije kukuchoma/
hii ni hip hop wala si ya kienyeji ngoma/
au umerudia ugonjwa wako ule wa zama?/word up!!!!!
kwangu we ni mtoto wa mama/na tena ni nyangema/
ni bora kutulia na mchezo kuusoma/
inaonekana/ wako mama amekutuma/
hii fani si ya ma..ma/
mtoto wa mama nikisema utanuna/
we ni kinda fala ndo mana nakupa noma/
najua itakuuma/kama nduguyo j -zuma/
usilete lelemama/hima/ rudi cbe upate soma/
mi ni mungu kwako nadhani umeshaona/ndo maana/
najua wapi pa kukufuma/
bado sijayaona hayo yako makarama/ama
ndo umeinama/unaogopa moto usije kukuchoma/
hii ni hip hop wala si ya kienyeji ngoma/
au umerudia ugonjwa wako ule wa zama?/word up!!!!!
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












