Mbona mko kimwya, mnataka nipige mistari
sijatoka bongo bongo lakini baado niko tayari
nimerudi kwenye fani kutoka machungani
mkitaka kunitukana wala msithubutu,
msisahau wenzangu, tusi halizibi mimba.
wacha nitoe mistari, kamanilizitoa east african tv
usinione mtajiri kwasababu ya ngozi,
sijawahi kupata flu na pata kikohozi
siendi hair dressor na enda kinyozi
sija wahi ku cry, na lia tu machozi
vipi vipi si umeshanijua?
wana niita mzungu au mwanamugua
na kunywa mbege na gongo haita ni ua
na sema ukweli kwa urefu wa pua
nina bongela cv huwezi kuniamini
kwani 'mambo ya pwani' liliimbwa na nani?
azma zangu hazina mwisho
nitajenga jahazi nizunguke duniani
ty na suti nikipiga violin
katika kundi lilioanzishwa elfu moja mia tisa na tano 1905
uko kisiwani Zenjibar,
kwa jina kinaitwa Naadi Ikhwani Zafaa.
mimi msani, siyo mpiga debe kama nyinyi
siyo kwamba sitawafagilie hata hivyo
nita andika ma versi cha kufungua macho
najua nitawa pagawa, pengine utapiga mdomo.
Niki sema matusi ndio mtani jibu?
Started by EFFIGONG, Jun 19 2007 11:00 PM
4 replies to this topic
#1
Posted 19 June 2007 - 11:00 PM
#2
Posted 20 June 2007 - 02:32 PM
weeeeeeeeeeeeeeeee badooooooooooooo
kajifunzeeeeeeeee kisha rudiiiii tena mbiooooooooooo/
yakheeeeeee hiphop haikufai tuachie wenziooooooooo/
kama karanga/ najivinari na ww jioni na kombe la ghahawa nikicheza na zako shangaaaaaaaa/
kamwe c kuruhusu hutoke nje na kipande changa/mapnz c yajui lakini kwako nimepagawa mtoto wa kimangaaaa/
ndio milima nimeshapanda ,kukatisha kwenye bahari,mito mpka vijito/
ni ww tuu wa kuniondolea masikitiko/unaponipa mahaba mwanana kwakutinitingishia lako fikito/
hacha weeee /manshaalah mtoto unapo nikabidhi kila kilicho chako mwenyeweeeeeeeee/
najua wapenda vitu vya baraa/manshallah mtoto ngozi nyororo huna hata haraharaaaaaa/

"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"
Quertzal a.k.a lyrical blower
Quertzal a.k.a lyrical blower
#3
Posted 20 June 2007 - 07:17 PM
mbona una lilia, kwamba nakuchanganykia,
sikusema kwamba mimi....ni bingwa wa rap
hata kama inachotoka mdomo wako ni crap
mimi ni msanii, utakuja kukubali.
nimepiga hatua mbali mbali na nimekuacha mbali
ungenikuta sura kwa sura, usingekuwa fara,
tukutane kwa zege na mbege.... utaona nani ataharahara.

#4
Posted 04 August 2007 - 01:21 PM
EFFIGONG is in the house tonight.
I need your support.
effigong is the sound of the underground,
its truely homegrown was not randomly found,
dj's never play it on the radio,
cause they don't realise that EFFIGONG got flow.
If you feel the energy step closer to the stage
listen to the ´beat and jump up on your feet
close your eyes and roll your head clockwize.
let it mesmerize, let it hypnotize.
my bird is in the tree twitering my tune,
it never stops cause my tune is the tune,
your bird sang my tune from the first week of june,
you never expected your time would come so soon.

#5
Posted 27 April 2008 - 05:24 AM
KWAKO!
Mzungu kichaa na mzuga piga gitaa\\
Na leo utanitambua mchizi toka kitaa\\
Unalonga usilojua kwa ghani bado hujakua\\
Tuliza kitenesi na ucheki nkikutindua\\
Puch za kiutuuzima bwa mdogo unashindwa pima\\
Hizi level hagusi pusi ni mbio za kukuharibu
Silazima iwe matusi eti ndio ntakujibu
GO THAT? :arrow:

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users