Jump to content


Guess who is back??????????????????????


  • You cannot reply to this topic
No replies to this topic

#1 mubarak

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 1 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 02 June 2007 - 07:24 AM

Baada kimya kirefu cha kama miezi kadhaa hivi, Mfuasi number moja wa real swahili hip hop (underground) M.O.B.E aka baba imani aka kichwa u name it! yuko katika maandalizi makali katika Studios za jijini Johannesburg na pretoria nchini south africa kutayarisha mikono ya nguvu. kaa tayari kwa mipini baba, hivi yuko katika matarisho ya Video yake ya pili ya track inayoitwa Akili kumkichwa. Album ambayo haina jina itakuwa released independently under label yake yenyewe inayoitwa Tambiko management. Kuna mipini ambayo amefanya collabo na mamc wa kweli wa east africa na south africa.

kaa tayari kwa maelezo tambiko.management@webmail.co.za

tembelea soundclick.com/muba kusikiliza mipini iliyopita





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users