Jump to content


Bucha is back


7 replies to this topic

#1 Guest_k-bucha_*

  • Guests

Posted 10 February 2004 - 10:30 AM

Wananiita most respected emcee
sababu kichwa changu kimejaa fasihi
kaa tayari sasa naanza kuangusha mistari
ndani thread naangusha zari naacha hali si shwari
wakongwe kila sekunde ukali wanautafakari
njoo kati kama unataka nikuache chakari
mori unapanda huku nazidisha munkari

#2 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 02 March 2004 - 07:51 PM

bucha na bado sina mpinzani
kwenye thread msela bado nipo hewani
nakamua ile kishenzi yaani si matani
mi ndio sherrif wa hii dot com
Nipo kiwanja lakini bongo bado home
kama huoni yangu maandishi weka zoom
nimeshamwaga miba na misosi yote nimemwagia sumu

#3 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 07 March 2004 - 05:07 AM

Kwangu sidhani una style/
Bila fani hujanipa tishio kali/
Butcha kishindo hichi kikali/
Ficha freestyle hizo hazipandi.

Narududisha mcahfuaji au????????????????

#4 Guest_k-bucha_*

  • Guests

Posted 07 March 2004 - 12:41 PM

Knoka said:

Kwangu sidhani una style/
Bila fani hujanipa tishio kali/
Butcha kishindo hichi kikali/
Ficha freestyle hizo hazipandi.

Narududisha mcahfuaji au????????????????

na mashairi yako ya kimakonde..bado unakuja?
Lyrics zingekuwa mali tungesema unafuja
Knocka unataka twende sambamba wakati tanki lako linavuja
Ulikuwa fiti kabla ya ninty four lakini sasa umechuja
bucha nashambulia kwa staili za buddha monkey
Utachemsha ukija kwa mtindo wa kidonkey donkey

#5 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 10 March 2004 - 08:49 PM

bucha kwenye game naelea kama chelezo
namwaga mistari majaji wapime kwa vigezo
Nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo
hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo
Rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo
mazee nipo serious..tukibattle usilete mchezo
nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo
Naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina
namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina
emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti
skillz zangu zinatendi to infiniti
Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti

#6 Guest_K-bucha_*

  • Guests

Posted 02 April 2004 - 11:20 AM

Naona cypher kwa muda imepooza
vipi maemcii au mashairi kichwani finito

#7 Guest_Link_*

  • Guests

Posted 03 June 2004 - 10:00 AM

K Baucha are u da CEO of baucha record au mwingine?i wouldlike to visit ya studio and see if we can do someting in this hiphop game, holla... bro

#8 Guest_the ambax_*

  • Guests

Posted 08 June 2004 - 05:20 PM

e bana j4 mimi nafikiri itakuwa vyema ukiandaa sehemu ambayo masela wote wa hii site wakakutana na kutoa free styles huku beat ikiwa on.na ikiwezekana iwe kma mashindano ambapo kuwe na majaji maalum...

some thing which can be of business interest as well .....sehemu yoyote ile lakini vinywaji tunajinunulia.au we unaonaje ...i know u can do it cause nakufahamu vizuri tangu unaaza shughuli zako arusha...au masella mnaonae?

one luv





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users