ng'ombe wazimu, naleta mashetani kama sita sita sita,
hapa ni vita kwa ma mcs sio kusita sita
na mukini bore nitawazamisha kama mv mvita
tangu nilipokuwa kijana kama wamalwa
nime stand tall kama world trade towers
its time nimepenya, kama niko majuu ama Kenya
ebu nipisheni, nipe all the time kwenya televisheni
tukikutana kona mbaya jo, expect kupigwa ngeta
nasii hubeba mtoo, kwa wenye hujitia kunyeta
mcs wame dress kama makuro wa 1960
umetoka dunduri lakini una front kaa umetoka citi
hii game ni maji maji kama gidi gidi inanibidi
niwanyamishe hawa mafala kama mimi ni mwalimu
but kama nikuwa mwalimu heri niwe mwalimu jini
sababu mimi hutembea juu ya hewa bila kuguza chini
mimi huenea kama viini vya ukimwi mijini
atakaye ni test atabaki hostpitali kama Mwai
nani humbamba kerende kama ngwai?
nani hu re-write lyrical constitutions kama Ghai?
nani hufanya rivals wake wanuke kama mayai
yameoza, nani unafaa uheshimu kama unapenda uhai?
vita!!!!!!!
Started by Guest_madcow_*, Jan 30 2004 05:02 AM
8 replies to this topic
#1 Guest_madcow_*
Posted 30 January 2004 - 05:02 AM
#2 Guest_HEKIMA_*
Posted 03 February 2004 - 01:22 PM
Poa iwe vita/maaana naona dogo..mauti yanakuita/
unazimwa nakukita- kivina uko nyuma mita/..nimekosea sita!
kina nitachokuacha hii battle ikiwa imeisha/kinda nimerudi...PISHA!
hapa utachuja/...nakutoamzuka ka roho inavyomuacha mja/
mi ni FFU pumbaf we ni Unguja/
PA1(VICHWA)

#3 Guest_madcow_*
Posted 04 February 2004 - 05:39 AM
nitakurudisha Unguja, kama nimekuvunja mifupa, lyrics kali nitakupa
usinijie na kisu wakati unajua nimebeba AK, arobaini na saba!
niheshimu kama baba, ingawa najua umaskini vinoma umekukaba
ona vile nimejaza hii mifuko kama kibaba, lakini sio kidogo kidogo
hapana, nimekuja na vitisho mob kushinda mbogo, sasa zusha mzogo!
unadhani utanichezea halafu hizo bongo zibaki ndani ya kichwako, urongo!
utachapwa shock kama stima, utakorogwa kama sima, Hekima huruma sina
hii sanaa ni ASILI, nitaienenza kama ugonjwa wa zinaa, niwape kama inavyofaa.
I run this.....!!!!! what! what!

#4 Guest_HEKIMA_*
Posted 05 February 2004 - 09:10 AM
Kinda mteke,nakutumia kibano ‘pepe’/chomeka pua nikufyeke
Eti ‘URONGO’ pumbaf!- usitake ncheke/
lugha hujui waandika vina huyu dogo mse…?!
Nakutia makwenzi-nasa vibao kwa tenzi/kacheze nje na wenzako hapa kwangu huwezi/huoni ndani ndama hata ka una-lenzi/ongeza mazoezi..
Huna namba kwenye hii fani-tufulie jezi…..
Shenz! wadhani ndombolo…Naua tena huyo Emoro/
naona arukia mboro/nakatupa kwenye kichochoro
hivyo vina vyako havina stimu ka ugoro/wasikia emoro..?
nina-minato-ufanye kuja kwa minyato/nakufunza lugha kwanza,nitapoanza battle..
nitakutoboa matundu mwili mzima/umenyimwa muono pia nakufunga kinywa
dogo ni HEKIMA!!! zima huo moto upesi-usinipe kesi..mimi apa GESI!/
wewe nani…..SESI ?/ oya aka kadem kataka niletea kibesi/
chokoraa we mwepesi/log out forum kimbia..upesi
U RUN THIS ENH?!...........

#5 Guest_the ambax_*
Posted 05 February 2004 - 03:44 PM
yap yap.....
haya ndo mambo....
mlikuwa wapi? :shock:
haya ndo mambo....
mlikuwa wapi? :shock:
#6
Posted 03 February 2005 - 02:52 PM
]FUNGA MDOMO HUNAPROMO UNA VINA
K*******KO NATISHA KAMA PINA
TAZAMA JINSI NAVYOMIMINA
WE NI KAMA ANTI AMINA
NAKUTUKANA IKIBIDI HATA K***NINA
HIVI NI VITA VYA KWENYE MSITU
UNATAKA KUPIGANA NA MKONO AU MTUTU
MIMI NDIE UHURU NINA ROHO KAMA PANGA BUTU.

niaje j4.
#7
Posted 29 November 2005 - 10:20 AM
Kuwaga star lifespan ni madakika /
Uwe na single moja au utoe ka sita /
Uwe centerfold kwa gazzetti ka tisa ata ikiwa kwenye telly na radio ushaskika /
Kabla uwake nare hauski ushazimwa waanza kuuliza niaje airtime inapimwa /
Ushajam....... Emotions zishapanda/
Ukaishika panga na kuact ka fala wa... fanya madamage MC on a rampage / Unawacha wadhii wakijifunga mabandage /
Sababu yako hauskizwi na masses hawakufanyi star n u cant handle it!!!! /
Sio personal mziki ni biashara badala ya kuflip hebu try kuwa mjanja /
Sahau FAME zifikirie gangi /
Hii ni industry USISLEKI FANYA KAZI!!!!!!! /

#8
Posted 30 November 2005 - 02:14 PM
KIPIMO CHA UJINGA NI MANENO UNAYOONGEA//
UZURI WA KUWA WINGA NI MIPIRA UNAYOITOKEA//
JISAHIHISHE KABLA YA KUFOKEWA//TUMIA AKILI HUSIJE ZOMEWA//
NAPAAZA SAUTI ILI KUKUEPUSHA NA MAUTI//MANENO NA MATENDO YASIWE TOFAUTI//NDANI YA HII FANI MZEE HUSIJE BAKI MAUTUTI//
UKIWA PLAYER LAZIMA UKUBALI VIBUTI//ILI UWE NGUZO MADHUBUTI TISHA MIAMBA KAMA BARUTI//MBONA UNAKURUPUKA/ UNAINGIA UKUMBINI UKIWA UMEVAA SHUKA//HIVI UMETULIA AU KICHWANI ZIMECHARUKA/MJOMBA TUNAZIBUA HATA KAMA KULISHA TANUKA/
KUWA STAR NDANI YA HIHOP SIO DAKIKA/ILA KUWA CHOKO USWAHILINI HATA SEKUNDE HAIWEZI FIKA//HAYA MAMBO YAITAJI AKILI ILI UPATE KUKUA KIMWILI/NA AMBAYE MTULIVU MSHIKA MOJA NA SI MAWILI / WEEEEEEEEEEEEEE CHUNGA SANAAAAAAA!!!!!!
WAPE HII SALAAM WENZIO! SAWA

"Guys don pretend keep it real so dat kids can learn n grow from us"
Quertzal a.k.a lyrical blower
Quertzal a.k.a lyrical blower
#9
Posted 05 January 2006 - 05:05 PM
vta na muasi usha'ita,nakutafuna ka'bisi
hi si rahisi,ka sungura na fisi,kiss ur **s goodbye
kama d-block,mgumu hasheki,hubebeki hata
ukitoa m***ndu,yaani unagundu'

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users