Jump to content


[b]TZII HIPHOP KING?[/b]


34 replies to this topic

#1 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 27 March 2007 - 09:06 AM

ni nini unachoona kkuhusu JOHMAKINI kujiita
king wa bongo hiphop?anastahiri?
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#2 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 29 March 2007 - 11:46 AM

Joh makini ni fala tu hana lolote jipya kwanza hana ata sifa ya kujiita king wa A-town kwa sababu ni mtoto mdogo
ameibuka juzi tu anaanza kuchonga.

#3 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 30 March 2007 - 07:20 PM

ya man nimekupata sema umemjudge kwa
muda alio-po kwenye game na c vinginevyo
muda wa kuwepo kwenye gae co kipimo kinachojitosheleza
au sio vip kimashairi,styli,street capability,philosophy?
one..........................
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#4 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 03 April 2007 - 12:12 PM

Oyoo nimekuelewa dunn kimtazamo wangu ni kwamba kwanza ni kosa kujivalisha crown huwezi kujiita king kwa hiyo amekosea for that halafu kuna vigezo ambavyo vinakufanya uitwe king joh makini hana ata kimoja sababu hakuna revolution aliyofanya zaidi ya kufuata system halafu inaonekana kama jamaa amekwama kiasi kwamba hawezi kuja na lipya zaidi ya kujisifu vilevile kimashairi jamaa anazidi kuwa mwepesi anachofanya ni kuiga idea za artists wa mbele ambazo haziendani na mazingira ya kibongo halafu sizani kama yule soro ni street so he is not a king he is a faggot queen.

#5 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 27 April 2007 - 03:20 PM

sure kujiita king lazima kuna mapinduzi
umeyafannya mtu kama Mr2 anaweza kujivika
uking prof.jay aliipeleka game levo zingine
mpaka wezee wakaanza kupriciate
KIKOSI wameirudisha game mahali ilipo sasa
ambapo kila atokaye sa hivi anafanya HIPHOP
ata kama ni mamluki.
afu kuna ishu hii hapa ya ubongo flava na uhiphop
unaichukulieje?

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#6 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 28 April 2007 - 03:24 PM

Ni kweli johmakini hastahili kuitwa king kwani hakuna jipya halolifanya kwenye game.Atabaki kama hiphop artist kiupande wa mashairi hana tofauti sana na Solo,zaharan au saigon wa zamani kwani saigon wa sasa kaisha.Ingawa hawezi kumfikia hashim dogo mi naamini bado ananafasi kama anahitaji kuitwa king.He need to do something 4 the Hiphop.
Kuhusu Ubongo wa flava kwa kweli mi naona umefikia ukingoni.Bongofleva imekufa na inazidi kudidimia siku hadi siku watu wanabaki na umaarufu mifukoni hakuna kitu.Walikuwa wanasema hiphop ni umaarufu lakini haiuziki na wao imewakuta sasa.
Nitakutolea mfano msanii Ali kiba inasemekana ndo yupo juu hivi sasa nyimbo yake inapigwa kila wakati kwenye radio lakini hadi sasa hajaperform tamasha lolote.Naamini pesa nyingi kwa wasanii wanapata kupitia matamasha na sio kwa kuuza tape na matamasha bongo ndo hamna siku hizi sasa sijui inakuwa vipi hapo.
Thank you God, I appreciate every blessin
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.

#7 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 09 May 2007 - 05:39 PM

Offcourse nakubali joh makini bado ana chance ya kuweza kufanya vizuri zaidi kama ataacha kulewa sifa plus kimtazamo jinsi nnavyoichukulia hip hop kwamba ni zaidi ya mziki yani ni life na utamaduni wa watu fulani kwa maana hiyo ina characteristics zote kuanzia mavazi, tabia mpaka lifestyle kwa hiyo msanii kutoa nyimbo inayodiss bongoflava haitoshi kumnfanya yeye kuwa mwanahiphop au kuiba mistari flani ya artist wa marekani there is more than that unatakiwa uwe in true to your self ndi maana nawakubali sana kikosi they are the reason why niggaz are screamin hip hop right now in TZ kwa hiyo mtu kama joh makini mi namuona kama mamluki anayejificha kwenye kivuli cha hip hop sijui wengine wanavyomchukulia na kuhusu bongo flava mazishi yake yatafanywa na TGP. one luv

#8 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 11 May 2007 - 12:18 PM

fuk Joh hayuko Makini kama Fid Queen/
mamluki ndani ya fani anajielewa kiundani/
kwanza analewa kiwewe sifa za kujisifu mwenyewe/
pili lazima akili sio king anatafsiri verses kwa kiswahili/
tatu kuwa na rasta sio hiphop mbona wanafuga hadi mafyatu/
nne bado ni softi kimistari kila wakati anapobasti/
tano hana michano anamaseji za taarabu ya malumbano/
sita sitosita joh ni mtoto tu wa kupitapita mbele ya majita/
namaliza sio miujiza naangamiza vipande vyakuumiza/
kaa mbali na hili giza wewe joh makini ........

I'm a weapon that fires/
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:

#9 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 12 May 2007 - 01:48 PM

jamaaa anaonekana kibiashara sana..
hana mistali concious dyte
umegundua....analewa sifa anazojisifia ye mwenyewe
kimistali kwa FID hasogei kabisa
kanishangaza juz kat anadai katoa album afu ina nyimbo10!
uizi ambao wanafanya wasanii wengi wa bongo flava
mistali yake inaonyesha kama hajapitia lyf taf la kitaa
(ingawa historia yake siifaham)
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#10 bahati

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts

Posted 01 August 2007 - 06:37 PM

mitazamo ipo na inaruhusiwa.
nachokiona wengi walio comment ni kuwa wanamponda sana Joh nakuona kama
yuko chini flani. ni wachache walianzia juu tukumbuke..
but kuhusu kujiita king si dhani ka ni big issue, kama kuna mtu anapinga nae
aende studio akapime kugombania crown.
so far nani king wa game kibongo bongo asimame na aseme.
he got ballz bwana mi naamini, wanaobisha wapime, wako kimya tu.
kikosi cha mizinga hawana lolote sema wamekuja na style ya kuipinga bongo fleva kwa nguvu na kuwapinga wasanii wengine wengi tuu kuwa si wa-ukweli.
Hii ni ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya yao ili wakubalike.
Mwisho wa siku ni yale yale bongo fleva.
Kuwa na sauti ya ukali na mikwaruzo haifanyi mistari kuwa bora, hats huko mbele tunaona walio simama wakoje. Mistari kitu kingine jama sio mnamega kwa kuwa mnawafeel tu.
weka mawazo wazi then andika, usiwe biased.
Majigambo nji sehemu tu ya sanaa, huenda ni mlengo mchizi kajichagulia.
makelele na vitisho ni stayle ya jamaa wa block 41 ni style tu, lakini iko wazi kala pina hayuko tite..sijui kwanini Hashim dogo hafanyi muziki, he was tite.
kalapina tozi tu, mgumu anakula ice cream ice-cream parlour? check video yake

#11 Depressado

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 16 posts
  • LocationDar es salaam, Sinza

Posted 03 August 2007 - 12:51 PM

inaonekana mtaa na vinamna hamna study cases za Hiphop, ndio maana mnaongea kama wanawake wa magomeni waliokaa vibrazani kwenye mkeka kwa sababu hamtoi arguement y not Joh Makini the king of Tanzanian Hiphop, kwanza hamjamuelewa anachoimba ni nadharia (idelogy) ambayo inaweza ikawa materealized au isiwe materalized, kitu ambacho inabidi uwe na jicho la tatu ndio uweze kukihitimisha ambacho mnakikosa, kwanza sikuweza kuamini watu ambao mnasema mnajua HIPHOP mnaweza mkamuongelea eti JOH Makini haaaaaaaaaha? eti than vinamna unatamka kwa mdomo wako Mr2 whos da fuck dis eti kaleta Revolution ? what revolution? kutoa albam 7 ambazo ukizisikiliza anarudia maneno yale yale, na mabzo hata ukiniwekea siwezi kusikiliza mbona mr 2 alikuwa najisifia hamsemi? kwangu watu wawili tu kwenye HIPHOP ya Bongo ndio nawaheshimu kwanza RIP Nigger one, Adili Kumbuka, na saleh Jabir ingawa alikuwa anacopy lakini ndio aliojenga msingi wa hiphop hadi sasa, sijui kama mlikuwepo enzi za Kilimanjaro Pool side tape yake ninayo hadi leo sikiliza Ice Ice baby, Hayati Nigger one hilo halipingiki kwani ndio alikuwa anesumbuana na Saleh jabiri na upinzani wao ulikuwa talk of the city kimoja zaidi niggre alikuwa real hiphop kuanzia maisha anayoishi mpaka kwenye verse. Proff jay alikuja tu kuyaendeleza mapinduzi na si kuyaleta, kwani mnajua cuba waliipindua watu wangapi? na che guavara alikuwa anafanya nini kuhusu mapinduzi, soma darasa moja linaitwa Neo coloniasm na Revolutionary Movements ndio utaelewa maana halisi ya mapinduzi katika maisha , muziki, na kila kitu,panueni uwezo wenu wa kufikiri Past for the Future thinking and arguementation
Option for Action

#12 bahati

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts

Posted 04 August 2007 - 04:50 PM

Depressado unazungumzia watu wawili wa zamani ambao wewe unawafeel na unadhani wanastahili heshima za msingi kuwa ndo chanzo cha revolution ya hii game.
Inabidi ujue hata Mkwawa wa wahee, Isike, Mirambo etc walipinga ukoloni then, na twasoma katika historia na wengine wengi tu. but Nyerere ni mmoja, wanaharakati ni wengi vinara wanaosikika na kujulikana ni wengi. Hapo ndo nawezza sema mchango wa Joseph Haule na huyo the late Nigger 1 haufanani,Jay kafanya watu wasikilize huo muziki, in fact kaupeleka level nyingine, upende usipende kila mtu anajua. after all ni watu wasio jua hip hop wanaweza mataja saleh ka mwanamapinduzi. Biter? Man umepotea hapo. Na udogo wangu sikuwahi kufall kwa rap za yule jamaa Saleh, it was so fake.
Nitajie mtu mmoja ambaye amewahi kuwa crowned king wa hip hop huko Mbele ambaye alikuwa undisputed? sikui ka yupo, but as far as hip hop goes challenges are there, and who claims to have the throne should be challenged. They should try joh Makini and sisi wazungumzaji na watazamaji wenye upeo tutajua.
Joh makini anajaribu kujichukulia hiyo throne na ma MC wako kimya tu........

#13 Depressado

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 16 posts
  • LocationDar es salaam, Sinza

Posted 07 August 2007 - 06:51 AM

nimekuelewa mtu wangu uanchokifikiria na uanchokizungumza.
Lakini nadhani nawe bado unaegemea nguzo moja, mbili zilizobalia utaki kuzikubali,
kumbuka past creates the future, kam unavoeeleza huwezi kuzikubali nyimbo za saleh jabir wala The late Nigger one , lakini ukweli ndio huo, hao ndio wanamapinduzi kwenye historia hawafutiki hata kama saleh alikuwa anacopy, lakini alirevolize watu wakamkubali.
kuhusu Pro jize ni wakati tu ndio umembeba, pamoja nami namkubali katika mazingira fulani, lakini kama wewe bahati mapinduzi mnayoyasema kayafanya kutokana na albamu yao ya Chemsha Bongo, kwangu pale sijaona nyimbo hata moja nami ya kusikiliza, naposema pro Jize ni wakti umembeba na maana kuwa soko huria lilipoanza kushika kasi vyombo vingi vya habari vya watu binafsi vikaingia, nsa ndipo hapo waliokuwepo wakiwemo wakina Pro Jize wakapata Air Time, na wengi wakasikia na ndio wakawapenda, na hakika bahati Air time miaka ya 1991 ingekuwepo kama sasa wengi wangewafeel hawa wanamapinduzi wangu, enzi hizo single unaziskia mitaani na Beach Party, wangapi walikuwa wanakuja, wachache mno nazilikuwa hazitangazwi, walikuwa wengi tu ambao wanamapinduzi WWA weusi wagumu Asilia Kundi la kwanza kutoa Full Albamu ya Kiswahili, Fans With Sense( akina Jose Mtambo) na bado anakimbiza,Mapinduzi manaake ni kuutoa utawala uliokuwepo pamoja na mabo yake na kuleta Sera mpya Niambi {ro Jize amekuja na Sera na Utawala gani mpya
Option for Action

#14 bahati

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts

Posted 09 August 2007 - 05:31 PM

kufanya watu wasikilize ni kitu Jay alifanya,
aliiondoa ile dhana ya muziki wa hip hop kuonekana uhuhuni kwa lyrics zake.
Sikatai ka kwa kipindi kile kungekuwa na airtime za kutosha huenda watu wangesikika.
sipendi kuelemea hapo tu, kuna watu walipata air play kwa sana tu kipindi kile ka mr 2, alikuwa na track yake ni siku yangu, ilipigwa sana tu, but haikuwa na mantiki kwa watu wengi ilikuwa na majigambo mengi, mi sioni ka ilikuwa mbaya, ila kwa watu ambao utamaduni ule ni mpya, na tukubali kuwa kwa watanzania wengi culture ya hip hop ni dhana mpya ilikuwa. Mr 2 hakuweza kuwafanya waupende huo muziki na utamaduni wake. Lakini Jay alifanikiwa kuifanya jamii iukubali muziki, ni revolution ya aina yake. sipingani na wanaharakati walio sacrifice shughuli zao kama Saleh,Nigger 1 the late, WWA ni watu muhimu ofcoz regardless my feelings kwa baadhi. Huwezi kumkubali kila mtu hata awe wa ukweli vp, lazima unakua na chaguo. Nawakubali kama wanaharakati muhimu, huenda ndo walichangia hata wengine kuibuka hii leo,huenda tungebaki na hip hop za kiingereza maana then ndo zilikuwa popular au siyo?
Walifungua njia nakubali, ni kama wanaharakati wengine wowote but always kuna anae shine na ni kuwakutumia nyanja ambazo zishatengenezwa na walipita wanaharakati.
Sijui ka uko kartibu na physics, ntakupa tu mfano, Galileo ndo alie anza mambo, Newton ndo kila mtu anamjua. Ukweli ni kuwa kazi zake zote za newton ni mwendelezo wa mamabo ya Galileo.

#15 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 13 September 2007 - 11:21 AM

Nimekuelewa sana bahati na Desperado mnavyosema kuhusu Joh Makini na hip hop kwa ujumla in TZ. Kwanza ningependa mjue kwamba nnapomuongelea Joh si kama nampi nga for nothin ni Kwamba najua what am capable of and what i got so unaposema kuwa mtu anayebisha aingie studio inaonyesha jinsi gani ubongo wenu ulivyokwama. na unapomuongelea solo jabir mi kwangu ni kichekesho sababu hamna cha maana alichofanya zaidi ya kubite let me tell you before solo jabir niggaz was runnin this shit if you dont know kwa kifupi nyie machizi nilikuwa naomba mnielekeze jinsi gani naweza nikawatumia tracks ili msikie levels ambazo watu wapo kama mnajua hip hop mtanielewa.
nyie mnapima nyie.

#16 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 20 May 2008 - 02:52 PM

yo mon....unaweza toa track mbili tatu tu na watu
waka- appreciate kwamba this z a lyrist.......kama hashim dogo
vilevile kuwa versitile katika kile unachokiandika katika upeo ule wa mbingu ya 7 vilevile\
inaonyesha UWEZO.....ukiangalia kama MOS DEF hana aibum zaidi ya mbili ( blak on bothside n new danger)
lakini watu wanamtambua..so Uhuru kusema kuna machizi wako pande hizo ni illest.....kuamini kuna kuja maranyingi kwa kusikia au kuona au sio.......watu wanasikiliza kisha wanatafsiri aih!
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#17 Gwiji

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 19 posts

Posted 01 June 2008 - 08:58 AM

Naona wa2 wanamcriticise Joh Makini kujiita KING but at the moment hakuna m2 anayemfikia kwa LYRICS hapa Bongo
Hebu sikiliza track kama HAO,MFALME
So kama sio yeye je nani ni MFALME?
Some people are just alive because its illegal to kill someone

#18 k-rym

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 78 posts

Posted 22 July 2008 - 12:13 PM

joh makini ni napu ass tu hana lolote la kujipa uking ni soro na ni fala kama mafala wengine tu waliopo na waliopita.
kwanza vina vyake ni copy n paste style watu wanajua hilo.
halafu kwa jinsi anavyopotray anaonekana ni fake mc tu kwamba anapretend kuwa hard head ila si hivyo.
fuck joh makini!!!!!!

#19 k-rym

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 78 posts

Posted 22 July 2008 - 12:39 PM

i have been doin hiphop since the first hiphop concert in tanzania (by then competition) ya "yo rap bonanza."
so najua nini mnaongelea na wapi mnakwama!!!!
jay naanza hiphop watu tunamuona na for ur info jay alikua hajui kuandika mistari ya kiswahili hata kidogo.
somebody couched him from ma own hood!!!!!na ni mtu huyo huyo ndiye alimpeleka j kwa hard blastaz coz hbc had a close relation wit our cru. i know dat terry (looney-t...fanani)also played a big role n shappin jizze (no lies) n if u got a chance to talk to dat dude he will tell u de same.i cud have mentioned his ticha ila itakuwa haijakaa vizuri so long as u know bongo mcs hawapendi kuwa wakweli but i tell u jizze ni mtoto mdogo sana na kuna watu akikutana nao lazima atoe saluti coz anajua ndo waliomfundisha swahili hiphop.
ask anyone from kim area (kimara) atakuambia kuwa j ametoka lutengano without no swahili lyrical skills!!!!
kuna mtu anaitwa tuff b kama umeshawahi kumsikia anajua vizuri wat i m sayin infact tuff b (brian) ni kichwa kuliko hata huyo j.
i gott a lot of evidences to prove dat jizze ni mtoto mdogo sana includin yeye mwenyewe.ingawa hawezi ku admitt this
mistari mingi ya j mwanzoni ilikuwa hopless na haikuwa na mantiki kabisa mpaka wajanja walipoifanyia marekebisho.
therefore i dont c nop revolutionary acts from tha part of j and if j ahs no right to call himself a hiphop revolutionary i dont see how cud joh makini call himself so.

#20 Gwiji

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 19 posts

Posted 22 July 2008 - 02:59 PM

k-rym said:

joh makini ni napu ass tu hana lolote la kujipa uking ni soro na ni fala kama mafala wengine tu waliopo na waliopita.
kwanza vina vyake ni copy n paste style watu wanajua hilo.
halafu kwa jinsi anavyopotray anaonekana ni fake mc tu kwamba anapretend kuwa hard head ila si hivyo.
f*ck joh makini!!!!!!
Tuambie anacopy kwa nani?
Na nani ni KING wa HIP HOP tz kama sio yeye
Some people are just alive because its illegal to kill someone





2 user(s) are reading this topic

0 members, 2 guests, 0 anonymous users