pima upotee mazima
Started by Mtaa, Feb 23 2007 04:48 PM
12 replies to this topic
#1
Posted 23 February 2007 - 04:48 PM
stebo zaidi ya mlima mtu mzima nimesimama
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
#2
Posted 26 February 2007 - 06:32 AM
Mtaa said:
stebo zaidi ya mlima mtu mzima nimesimama
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
kima umechuchumaa afu unajiita mtaa
mie kichochoro hukatizi huku we soro!!!
:roll: :roll: :roll: :roll: :roll: :roll:
#3
Posted 02 March 2007 - 04:22 PM
unadandie treni kwa mbele? mi nawasha kama upele
always kama mboo nipo mbele mtoto mdogo rudi shule.
vinginevyo utapotea kwenye kona za mtaa, kwenye kona za chang'aa
natisha zaidi ya baa la njaa kifo chako kimefika sikufuniki ntakuzika.
always kama mboo nipo mbele mtoto mdogo rudi shule.
vinginevyo utapotea kwenye kona za mtaa, kwenye kona za chang'aa
natisha zaidi ya baa la njaa kifo chako kimefika sikufuniki ntakuzika.
#4
Posted 08 March 2007 - 10:57 AM
uhalisi uko huku,chukuchuku,
ugwadu upatu upupu,
fungua zip chin ya buku,
nadeku michongo inanuku,
siku zarace,kaburi labip,
ni viburi tu kwa huku,
tunasmell vikwapa c unyunyu
,mahurstla fukunyu,
chanell finyu
,madogo mafundi wa ng'anyu,
kitani chuo,kipimo cha nchi choka,
kioo cha africa halisi,kwetu sero,
keroro ishu doro,
:cry: [/img][/b]
ugwadu upatu upupu,
fungua zip chin ya buku,
nadeku michongo inanuku,
siku zarace,kaburi labip,
ni viburi tu kwa huku,
tunasmell vikwapa c unyunyu
,mahurstla fukunyu,
chanell finyu
,madogo mafundi wa ng'anyu,
kitani chuo,kipimo cha nchi choka,
kioo cha africa halisi,kwetu sero,
keroro ishu doro,
:cry: [/img][/b]
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#5
Posted 10 March 2007 - 02:10 PM
Wale wale, Kila nikilog on verses zile zile, Nahisi ma-mceez wepesi sasa wamepandwa na viwewe.
Namaanisha vichwa vyenu vyepesi rahisi ku-make mistakes, au nahisi nyinyi ni ma-mcees fake.
Natetea hip hop kwa nguvu zote, kwa kulinda heshima ya hip hop nitafanya chochote. Hii ni ktk kuwaweka kwenye mstari m-ceez, nitarudi full ngwando, heavy loaded, mashambulizi mfululizo km niko irak baghdad.
Gotagwanzaman!!

#6
Posted 13 March 2007 - 08:41 AM
Mtaa said:
stebo zaidi ya mlima mtu mzima nimesimama
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
soro jaribu pima uzikwe mzima mzima.
c
nashanga upo macho pima,
kila verse nayo2pa ngumu mithil ya chuma;
ni superstar hat bado cjavuma,
mnyao mnachamba wima,
nawaongoza wafuasi shazi nyuma,
kiongozi shupavu kusimamisha hiphop wima,
chuma, hama kwepa lawama muabudu maulana
bila sahau mama,big up mtu mzima,nakupa free,
vina vinajaa kwenye mashairi,mwenyewe utakiri,mi tajri maskini ila kafiri,kafiri!
kamavp njoo nkupe dili kachimbe kaburi ,kazike kiburi,
usinifanyie jeuri,
AM DA KING WI DIS SHIT,
FREESTYLE BATLLE
U GOT THAT,
FEEL THIS!THIS,
YOOO HOMMIE,
SALUTE A.K.A BEEZLEBAB HH SOLDER
HAKUNA KUNGOJA WENYEWE 2MESHAKUJA,MVUA INANYESHA BATI LINA VUJA,
STILL NAWAKILISHA MA STREET MC`S THE REAL MC`S 2 BE
#7
Posted 15 March 2007 - 06:35 AM
Narubuni kichwani mc katuni/
Hiz levo zinawaacha punguani/
Mnanihara ka hatari mbugani/
Wengi ni fake afu hamna thamani/
Rhymez nyeupe mnazani hisia chakani/
Makini lakini sileti tafrani/
Ntawaanika kivina kama mko juani/
Huu mzani ucpime kwa kudhani/
Wack mc’s nawakata vilimilimi/
nawaachia maluweluwe wananiona zimwi/
Hiz levo zinawaacha punguani/
Mnanihara ka hatari mbugani/
Wengi ni fake afu hamna thamani/
Rhymez nyeupe mnazani hisia chakani/
Makini lakini sileti tafrani/
Ntawaanika kivina kama mko juani/
Huu mzani ucpime kwa kudhani/
Wack mc’s nawakata vilimilimi/
nawaachia maluweluwe wananiona zimwi/
I'm a weapon that fires/
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:
#8
Posted 14 April 2007 - 03:02 PM
huu ndio mwanzo wa mwisho wenu yani mwanzo wa kifo chenu
mauaji kwa mceez wote wenye hisia za mayenu
hip hop haiwafai wote rudini kwenu mnaturushia stimu
mistari kwenu adimu hamna elimu ya mtaa
nawaacha kwenye mataa kwenye kona za mtaa,
kisheri mkononi makops nawakataa hapa kwa hapa
nachapa ata kwa bapa kisha nakwala hizo chapaa
haunitoshi si saizi yangu kaburi linakufaa.

#9
Posted 12 May 2007 - 02:04 PM
imbombo ngaf dongo kamilif
uwongo c HIPHOP wacf
udongo tiftif napanda uadilif
mwaminif kwa JAH kamilif
akili nadhif miwan kwa we nusu upof
cna utan kama bif la kitani
taf vitan toa mawazo ya ngono kichwan
nakupa uono bongoni ukweli upo vitabun
nna iman RASTAMAN nisie na dread kichwan
uwongo c HIPHOP wacf
udongo tiftif napanda uadilif
mwaminif kwa JAH kamilif
akili nadhif miwan kwa we nusu upof
cna utan kama bif la kitani
taf vitan toa mawazo ya ngono kichwan
nakupa uono bongoni ukweli upo vitabun
nna iman RASTAMAN nisie na dread kichwan
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#10
Posted 21 May 2007 - 04:59 PM
afrika mashariki kwani hamskiki ilhali mwasema hamtishiki mie mtoto lakini bado nina ndoto ya joto juu ya struggle na hussle na ku rhyme hizi tyms za no dimes na more crimes ma youth wakitupwa ndani ya booth ati wanasanif kush ndio wa burn bush na bado wana push lyf ndani ya mastrife na bado huku ma fake mcees wanaspit alot of iish wakijiita waafrika mashhhhh!!!! wacha ushenzi onyesha mapenzi ka sivyo utenzi................
#11
Posted 21 May 2007 - 09:05 PM
ati pima upotee mazima??
poyoyo acha mkwara wa kima
huna moto we toa mvuke stima
we treni nifate mi ndo reli
ona masoro mnafeli
nacheza illigal zaidi ya tapeli
msizwa nshakula filight msizwa nshadandia meli
poyoyo acha mkwara wa kima
huna moto we toa mvuke stima
we treni nifate mi ndo reli
ona masoro mnafeli
nacheza illigal zaidi ya tapeli
msizwa nshakula filight msizwa nshadandia meli
#12
Posted 31 May 2007 - 03:55 PM
unabusu nembo ya kifo kwenye ukuta wa mtaa
ntakuzika mzima mzima we soro mang'aa
hizi hisia za plama, we ni kama chang'aa
kaa kimya mtoto wa mama, usitafute balaa
ntakufuck kama kuma,natisha kama njaa
ntakuzika mzima mzima we soro mang'aa
hizi hisia za plama, we ni kama chang'aa
kaa kimya mtoto wa mama, usitafute balaa
ntakufuck kama kuma,natisha kama njaa
#13
Posted 01 June 2007 - 08:11 PM
kama ni mtaa we ni mbwinde street
mlugaluga tuliza kwanza ulijue city
usidenganye nafsi ukajiona uko fiti
nakatiza mtaa kwa mwendo wa UKAKAMAVU
stimu za kaya na pint kazaa wote kimya hakuna mwenye ubavu
wakabaji vibaka zima fegi hakuna shupavu
shoboka kwa msizwa shkopa ule za mbavu
SHARP!! SHARP!

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users