Jump to content


[b]NJOO JIPIME USINIPIME[/b]


30 replies to this topic

#21 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 16 February 2007 - 08:08 AM

umenistudy vibaya nakusmoke kama kaya
msala umejiingiza pabaya we ize we malaya
sioni kitu sioni mtu naona mc kidudumtu
usithubutu naona umekumbatia mdomo wa mtutu
rhmes butu nazipoteza dawa ya ukurutu nakupiga kitu
madhubiti dude lakuhusu hiz rhmes zakubusu
endelea kukalia hiki kisu sikutusi bali wack mahususi
kitchen party tayari ila hutaji jina la bwanaharusi
basi hii ndio send off yako jiandae kwa harusi
uwe mwangalifu naskia kicheche unazuga mwadilifu
hili sio bifu kama kisusio kwa wachaga huwahakiwakifu
usigwaye tishio kwani kabla ya kubang unaangua kilio
bado unakuja kisamaki na huwezi kubaki hii iite chambo
kitambo hisia sizioni bora ukafunike na style ya bambo
mapepe!!nakumeza ka ndupe cheupe dawa niogope ka popobawa
pagawa naruka bila mbawa hii spidi ya mutant hauko tight
huwezi kunipa tano wakati huna mikono
jitangazeni ka picha za porno nakupa mifano kupitia kibano

#22 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 16 February 2007 - 09:24 AM

kama we ni x-men mi ndo nacontrol celebro,
mc mweupe unabonga kiswahili uwe negro,
nakinatisha chuma chako niite magneto,
natumia huu mkono kuchora mistari si kupiga punyeto,
mc wack ananipa mistari yenye utoko,
siwezi ingia kwako sina mapenzi na machoko,
nilikuwa sijui kwa nini napata kichefuchefu,
nawakachisha hata majini niite maji marefu,
nina phd ya kuwachana mamc,
mbona nakuona hukimbii kacha nakusihi,
ntakucha usiku na mchana mistari hainishii,
ntakutumikisha kirhyme halafu sikucashii,
we ni boya ndo maana unajiona nchi inayoelea,
mi ndo new era we hujui kinachoendelea,
una wenge kama una mafua ya ndege,
kaimbe na wanawake na huyo mwenzako chege,

#23 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 19 February 2007 - 09:13 AM

usirudie mzee ukaongeza maana toka kiana
ogopa hiki kichwa cha vina aslani utapoteana
kama teja aliyezima!! niheshimu ka dalai lama
naona unapandisha presha utavuta ka kigoma malima
hapa umekwaa kisiki mi immortal alwayz nakuja kitechniki
nakutight na trick we sifuri kimahesabu huhesabiki
mistari garbage ni ya jalalani tambaa kwenye fani
usistuke nang'aa baki gizani lala usingizini
sioni vina naona mc anayeangaikia jina
hiki kichwa ndio chuo mhitimu yoyote namwachia kilio
kabla ya kutoka mbio wakati nshakushkia masikio
mkufunzi nakupupaza nakupulizia dawa we inzi
huna ujuzi utambuzi bado unapigwa bumbuwazi
mkuu wa idara nakupeleka maabara nakutunga ka ibara
kaimbe na kina nura ili ujijenge ka biashara
jiuze ka gazeti nakuzima ka vijeti ushafloti
hapa utatroti we kipofu nakugeuza maiti
lazima uchezewe we mwewe kuliko hata matiti

#24 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 19 February 2007 - 09:31 AM

ukifuata huu moto utaishia kuchange staili,
ukisubiria kunyongwa ndani green mile,
bora nikaimbe na nura sio we saida kalori,
bonga hivi bonga vile nishaona huna stori,
usifananishe ikulu ya bongo na taj mahal,
we nishakugeuza mwali na nshakula mahali,
hukuhitimu ulidisco,we ni mchumba kama sisqo,
mi ni millionea kimistari we una dusko,
ntakutia hasira mpaka kichwa kipasuke,
ntakungoa mizizi yako ya fitina mpaka uanguke,

#25 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 19 February 2007 - 10:38 AM

huijui style yangu yanini uitake ka changu! tambua
hapa situngi sio mungu sifikirii ntakufunika ka chungu
nakukataa mc majungu bado niko juu nione mawingu
hunioni kipofu hapa hakuna ukungu nakuvimbisha we nundu
styli hii iite tundu inakutoboa unaboa una gundu
kaza buti funga suruali unaharisha niite pingu
usinicashi vina vyangu kwako vigeuze fungu
mwalimu nakufundisha nakuadabisha hata kwa marungu
mi ndio nungunungu nakuchoma nakuongezea machungu
kama sholi anavyopingwa pumbu bado nakuona mbumbumbu
mistari hii huwezi kuimeza migumu haimezeki ka langulungu
tulia tuli ka changu anavyopenda kuliwa nyungu!!!

#26 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 20 February 2007 - 04:08 AM

nakufanya unakuna kichwa na siwezi kukukumbuka,
kupima hizi levo we sucka utaumbuka,:( :(
nakuminya kama kipele nakuacha umetumbuka :x
nakuvalia mawani ya bati nishaona umechambuka 8)
nafurahi unapotambua kuwa mi ndo wako ticha, :twisted:
unatoa macho ya nini hujui mi ndo nakuficha, :shock:
nshakupima nika ona umeshaathiriwa,
niite daktari anayekupa tiba usijeukaharibiwa, :oops:
nikisoma post zako naona napoteza muda,
nazunguka hapo hapo zaidi ya maji bermuda,
najidhalilisha kukubattle we kuruta,
hata utukane vipi mi bado ntakuburuta,kula bunda :arrow: :arrow: :arrow:

#27 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 20 February 2007 - 01:01 PM

nakula bunda hii greda lishakunyunda unasanda
nakupoteza mjini niogope kuliko karandinga
mmachinga nihare mi ndio tingatinga
huna chochote sawa na kimbunga kisicho namadhara
ka matozi wanavyoshoboka na picha ya che guevara
nakulaza macho 12 bars unakesha kama bundi
akili nzito mtoto kuliko maziwa ya mtindi
mi ndio chifu wa kinyaki nakuzimisha kwa kindi
asili yetu, mashairi silaha zetu! mawack adui zetu
nakuona namba moja mzee kama wema sepetu
mi ndio wamwisho sionekaniki kwenye ardhi ya komesho

#28 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 21 February 2007 - 07:00 AM

huwezi gusa hizi levo ushatoka kipusa,
umeshakaukiwa usijifanye unasusa,
kaa mbali usiobe huu moto ukakugusa,
hii umeshindwa bora uishie kunusa,
mistari yako haina soko yangu inajiuza kama fuska,
iwe singo au album yote nabana ruksa,
sizimi kwa mataputapu ngoja nikupe darasa,
nachana chapuchapu bila hata kupapasa,

#29 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 04 March 2007 - 07:07 PM

niko levo z kunena kwa lugha
kiza kinene kwa we mluga
mwendo kichuga unaaga
saka mkaa nyagwa.........
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#30 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 20 March 2007 - 08:08 AM

we soro unabigwa mboro umepooza kama kiporo,
kusanyamakorokoro buriani sio see u tommoro,

#31 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 21 March 2007 - 04:08 PM

hli koti la miba,mfu swahiba ngariba
unapinga kinga ona hakuna tiba
unajifunga shanga tanga unabonga
ka mmanga,nakutafuna kama komamanga
mchanga hauko ndaga kivina unaiga
we mbwiga mi ni mmoja kambi nishaaga
unasagwa unamegwa?umenasa ulipotega....
NIPO MTAA WA PILI....

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users