ebwana much props wazee tumekubali kazi ile track yenu mpya street life drama si kitoto
nadhani nyie ni mfano wa kuigwa A-town tunawategemea kuleta revolution kwani ile track imejaa akili usipime imefikia wakati machizi wa A-town kutake over naamini mkisimama na Joh makini on top Bongo fleva plus kuna crews nyingine tunazozitegemea kufanya mapinduzi pia kama hawa machizi wanaojiita Boom Blast hawa nao wakitoka tunafanya mazishi ya Bongo fleva. one
TGP tumekubali Street life drama si kitoto big up!!!!!
Started by Mtaa, Sep 24 2006 07:27 AM
1 reply to this topic
#1
Posted 24 September 2006 - 07:27 AM
#2
Posted 11 April 2007 - 04:09 PM
fo oyo manem kwa safi mnapoteza sana.. lakini usifananisha kabisa jooh makini na TGP.. Kazeni buti wanangu mziki unahitaji akili sana na kujituma zaidi ukiongezea na kipaji mbona kwa sana lazima tufike mbalii ;;cha pili watu waache bifuu wasani wa arusha mashamgulizi yawe zaidi bongo ss kwa sss sio kabisa ,,, one love 2 all ma niger wa mtaa.. street life dram
hay j4, mambo niaje
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













