Jump to content


fuck all u buitch niggaz


2 replies to this topic

#1 Knifebutcher

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 112 posts
  • LocationSouth Africa

Posted 10 September 2006 - 07:48 AM

Its long time since niweke mic chini
nimerudi baada ya kuona wengi hampo makini
Maemcii wa forum naona viwango duni
wengi mwajiita maillest lakini mwaflow katuni
nakuja na Long Machine Gun kutoka msituni
nateketeza vichwa vyenu na kuwafukia kaburini
Wananiita butcha a.k.a cypher sniper
sina simile punchlinez nawapa
kama unaziamini zako mistari songea hapa

#2 uhuru

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 27 posts
  • LocationArusha ,Tanzania

Posted 06 October 2006 - 01:59 PM

KNIFEBITCH WEWE NI KAMA KATUNI
NAKUCHUKIA KAMA NAVYOCHUKIA BALUNI
LONG TIME HAUKUWEPO KWANZA HAUKO MAKINI
NINA PUNCHLINE KULIKO JOHMAKIN
PUMBAVU ZAKO INGIA MITINI
TUPA KIPAZA UINGIE GIZANI
niaje j4.

#3 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 15 October 2006 - 10:13 AM

majigambo ka ZAY B!
vipi nyi ma baby,
wa2 watafanya mambo,
tambo zimevuka viwango,ni nyongo,
kwa mlio fyongo,haya magongo
kwa nyi viwete,chimbo michongo,
nawapa mwelekeo,si madongo,
fungua sikio pitio kuiona kesho ya leo,
wang upeo,kideo amsha vimeo,ndio ilo
na uwakika usso na shaka,nawavika
vyeo vya usaka,mnababaika kwa mahakama
ya nyika,shahidi vichaka,gheto za wasashoboka,
B REAL WANA LETA MAANA TUIVISHE ZANA
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users