ANZA KUCHIMBA KABURI KABLA SIJASOMA ZABURI
KAMATA BELESHI JIZIKE NINAKUJA MWENYE KIBURI
MWANA HISABATI NISIYE NUKIA UTURI
KAMA UNATAKA VITA RUDISHA MAJIBU
UTAKUFA SHETANI ATAKUTIBU
NILIPOTEA NIMEKUJA VIBAYA
NAFANYA BIASHARA YA KAYA
NIKO NA MTAA TUNACHAPA MA EMCEE BALAA
KAMA UNATAKA BATTLE NIBEEP NIKO GHETO
FUCK ALL.
ANZA KUCHIMBA KABURI KABLA SIJASOMA ZABURI
Started by uhuru, Aug 30 2006 06:46 AM
10 replies to this topic
#1
Posted 30 August 2006 - 06:46 AM
niaje j4.
#2
Posted 31 August 2006 - 06:57 AM
acha kupaka rangi bila brashi nisijikukutoboa ka tundu la risasi/
ntakudhuru uhuru kwa kasi ya moto wa pasi/
kaa mbali na mashairi yanayochanganya zaidi ya mitikasi/
jizike kwenye lako kaburi mi nshaizinisha na mihuri/
nshagonga yani unavibali kaa mbali na hii hatari/
epuka shari uwe shwari kutoka vina jabali kumbuka nakuonya ilhali/
unaona maangamizi makali ya radi zinazocharaza kila mahali/
na ka we ni uhuru bado uko utumwani kiakili usishukuru/
utakufuru? ntakuadhibu kwa vina ka wakwepa ushuru/
hii ndo yako nuru itakuonga mpaka upate uliokamili uhuru/
fUk....dAt...
PasS PaSs Da NuTs Am OuT: All dA ReAl NiGgAz kNo WaT Am TalKIn" aBouT:

#3
Posted 04 September 2006 - 07:10 AM
LAST DYTE UNAPENDA KUBATTLE
WAKATI MASHAIRI YAKO HAYAJA SETO
USIJARIBU VITU VISIVYO KUHUSU
NITAKUBUSU WEWE NI MCHUMBA WA MAHABUSU
USIJITUSU KARIBU NITAKUARIBU
WEWE NI MCHUMBA KARIBU KWENYE CHUMBA
CHANGU WEWE NI CHANGU MWENYE FLEVA
TOKA LAST DYTE WE NI BONGO FLEVA
FUCK YOU
WAKATI MASHAIRI YAKO HAYAJA SETO
USIJARIBU VITU VISIVYO KUHUSU
NITAKUBUSU WEWE NI MCHUMBA WA MAHABUSU
USIJITUSU KARIBU NITAKUARIBU
WEWE NI MCHUMBA KARIBU KWENYE CHUMBA
CHANGU WEWE NI CHANGU MWENYE FLEVA
TOKA LAST DYTE WE NI BONGO FLEVA
FUCK YOU
niaje j4.
#4
Posted 14 September 2006 - 08:24 AM
NAKIADABISHA KWA MC ANAYEBISHA HESABU UMEKWISHA
KABISA KA UNAAGA MAISHA KWASASA
NTAKUANGAMIZA UHURU SI MIUJIZA PATA NURU
PARUZA LEGEZA KA FUNZA FATA MSULULU
NAANZISHA MI MKWANZA KA NAMBA
NAKANDAMIZA SI MIUJIZA NAKUKIMBIZA
UTAPOTEZA JARIBU NIKUATHIBU NIKUHARIBU YAKUSIBU
WE BUBU ISITHUBUTU NIKUSURUBU
NTAKUNYOA KA YANGU MASHARUBU
FUK DAT/

#5
Posted 06 October 2006 - 01:48 PM
HAUNA MASHARUBU WEWE NI MTOTO MDOGO
NAWAKA KAMA BALBU MIMI NI KAMA DOGO
HASHIM ,TAFADHALI UNIESHIMU WE CHOGO
NATISHA TANZANIA NZIMA KIMASHAIRI NI FOGO
LAST DYTE NAHISI UNA MAVI NENDA KAKATE GOGO
NAHESHIMIKA KAMA MCHAGA ANVYOESHIMU MBEGE
WEWE NI FAKE EMCEE NAKUFANANISHA NA CHEGE

#6
Posted 09 October 2006 - 11:18 AM
BWEGE NIHESHIMU KA MUSLIM NA NGUZO TANO
NAKUPA KONO HUWEZI PANGUA HIKI KIBANO
JIFICHE KWENYE JUMBA NIHATARI WE KONOKONO
HII NI HIPHOP SIO MAONO NAKUTREAT KA MGONJWA WA GONO
VINANENO MISEMO MIE SIMO NAKUNG'OA KA MENO
NI ZAIDI YA JINO KWA JINO KIBOGOYO NTAKUVUNJA KIUNO
OGOPA HUU MCHANO NASHAMBULIA KIASI MWASISI WA MAPIGANO
NAVUMA KULIKO KAMPENI ZA NGONO SIPENDI STERIO NIMZEE WA MONO
SA NDO MTAFUTANO NA UHURU KUNGURU?? NTAKUPA CHAI KA MALAYA WA KINO??..........

#7
Posted 15 October 2006 - 09:55 AM
Karibu tena,mwanamama zena,
nakuona!hujabadili hata jina bado tu tina!
haina noma njoo upate kalama na dhahma,
mapema kabla pa kukuna hapajatema usaha
wa hujma,ushindwe hata kunena,vina
si tena kipimo,bali maana iso na kikomo,
nakuona!hujabadili hata jina bado tu tina!
haina noma njoo upate kalama na dhahma,
mapema kabla pa kukuna hapajatema usaha
wa hujma,ushindwe hata kunena,vina
si tena kipimo,bali maana iso na kikomo,
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#8
Posted 17 October 2006 - 03:53 PM
vinama'na said:
Karibu tena,mwanamama zena,
nakuona!hujabadili hata jina bado tu tina!
haina noma njoo upate kalama na dhahma,
mapema kabla pa kukuna hapajatema usaha
wa hujma,ushindwe hata kunena,vina
si tena kipimo,bali maana iso na kikomo,
nakuona!hujabadili hata jina bado tu tina!
haina noma njoo upate kalama na dhahma,
mapema kabla pa kukuna hapajatema usaha
wa hujma,ushindwe hata kunena,vina
si tena kipimo,bali maana iso na kikomo,
hey man ur tight esspecially
the metaphor carried by the last line hasgot the venom to kill dem all
Yap thats it man hawawezi ni its about time wakubali ukweli
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#9
Posted 06 December 2006 - 01:42 PM
We ni mtumwa wa akili nashangaa unaitwa uhuru,
Umevamia hiphop bila kulipa ushuru,
una rhymez za kitoto halafu unakufuru,
unachana kidwanzi kama mdomo umejaa mafuru,
unajifanya mwanaharakiti wati huna nguzo,
ya kukushikilia sasa unahitaji mafunzo,
we bado ni kinda kwanza unahitaji matunzo,
ukishabalehe ndio uje ubattle ukiwa na nyenzo,
mcz kama wewe mnatia gemu doa,
vitisho nje ya uwezo umekuwa ka changudoa,
back da fuck up kabla sijakuondoa,
mi ndo breaking news za asubuhi wakati unajipodoa. 8) 8)

#10
Posted 24 April 2007 - 07:58 AM
Ningewaambia, lakini nyie hamnadogo,
Leo nikiwaambia kesho mnaanza madongo,
Na baada ya siku naonekana sina maana,
Tusije elewana vibaya tukaja farakana,
Namtavuta mmoja tu ambaye tutaelewana,
Siri yangu kumuadithia ila asilete lawama,
Kwani siri akiadithia wapambe watajazana,
Na siri sio siri tunabaki farakana,
Mr Uhuru hebu sogea karibu,
Nikupe yangu siri moyoni iliyonisibu,
Yahitaju moyo mgumu na uliojaa ujasiri,
kwani siri ukiadithia najua unataka shari,
Kaa chini Tafakari ja maa wanaokuchomea,
Niwape kubwa, au huruma unawaonea,
Oooooh powa mazee Rockcity hapa wanapatikana www.ngosha.piczo.com mazee :roll:

#11
Posted 25 April 2007 - 04:51 PM
we punky bora ubaki
hukohuko ulikostak
hizi scUd fataki kama irak
unarym kiRTD bidi bidii kudai
umafikia kubattle levo hii katili
tindikali sanjali nakuacha chali
mwanamwali umeacha tit wazi
na bado hatuend nyuz
kula tizi chizi haya mafukuzi
maradhi usipotii.
MISTALI YAKO MAMLUKI NGOSHA
KAUZE RADIO TANZANIA
hukohuko ulikostak
hizi scUd fataki kama irak
unarym kiRTD bidi bidii kudai
umafikia kubattle levo hii katili
tindikali sanjali nakuacha chali
mwanamwali umeacha tit wazi
na bado hatuend nyuz
kula tizi chizi haya mafukuzi
maradhi usipotii.
MISTALI YAKO MAMLUKI NGOSHA
KAUZE RADIO TANZANIA
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users