Jump to content


Onja hii sumu


10 replies to this topic

#1 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 18 August 2006 - 01:26 PM

hu mtaa usitie tim
machizi ni wendawazim
kama unataka kifo onja hii sumu
ndoto za mtaa kukuzingua sioni ugumu

Fuuuuucker.

#2 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 21 August 2006 - 06:54 AM

mtaa umepotea kwenye giza mi ndo taa//
unashangaa nang'aa ka mwanga wa mshumaa//
tambaa mi kachaa ntakutesa na kukuua ka njaa//
kaa mbali jifiche ka biashara ya chang'aa//

#3 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 21 August 2006 - 04:50 PM

mi ni zaidi unavyodhani
bwa mdogo usipime uzani
mistari inaunguza soro potea gizani
kaa chini mi ndio kiranja wa shetani
we ni mwepesi mdogo ka kunguni
nini utanieleza mtoto wa kihuni
naona unataka kufa, kuangukiwa na ghorofa
mi ndio sniper wa lucifer.

#4 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 25 August 2006 - 07:56 AM

bado unashangaa cursor ntakuletea balaa/
zaidi tsunami mi ndo ndundami/
nakukata semi ka hauna ulimi/
nakupoteza ka uvumi wa zamani/
kijana wa leo nakuchoma ka jani/
makini usivagae tathmini /
hii taswira ona ka dira/
utapoteza dhamira kwakujipongeza kihasara/
mtaa wa kaya umelewa ona unagwaya/

#5 Mtaa

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 32 posts
  • LocationArusha

Posted 03 September 2006 - 02:04 PM

sikuelewi we ni hip hopist au mamluki
mistari yako butu mi nachoma kama mkuki
kwangu we bado kuruta huwezi hata shika bunduki
mi sikurupuki nikilipuka ni zaidi ya fataki
kwenye hesabu ya vichwa sikuweki
kaza mzee bado hueleweki.

#6 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 15 September 2006 - 07:58 AM

huwezi elewa kila kitu ila nshashika mtutu
kifikra mfu muda huu nauwa mtoto wa mtu
nafyatua toka handaki hubaki toka nduki
kivina utadeki ntakufungua ka koki
afu nakurudisha kwenye mayenu kwa ali choki
ushafloti tovuti kitu mti mtiti vyako tikiti maji
yako mauaji sihitaji shuhuda wala jaji

#7 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 04 January 2007 - 06:56 AM

mtaa endelea kutawa nje ni balaa
unajiita hivyo kweli? Endelea kupigwa na butwaa
hii ni sanaa ila nakuona ungali unashangaa
kwenye hiphop UHURU na MTAA mnatia kinyaa
ka wangu sholi ntakusifia tu kuwa we kifaa
kila ukitoka unaona kiza kichaa nimekushkia taa
mwenyewe kubang unaahirisha unaamua kutambaa

#8 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 13 January 2007 - 02:54 PM

badili vazi la kijani,mbuzi wamesizi kitani
huna ujuzi wa dini ya skani,ufafanuzi machoni,
bado ukwa njozi huoni!,huponi vitani una
kengele shingoni!weka kidani tumboni,
nipo chochoni,naikamilisha maana ya wana
wasowahi mwona mama,we bado ndama,
majani magum c yako anza kampen ya web
ya takeu,uko we kinara,hasara,vipi mlima
na mbaula ngalangala!badili jina,pata
mtizamo wa kina,somo la ma'na!
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#9 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 29 January 2007 - 11:56 AM

jina badili mwana ova kinyamana
fikra ka kimwana julikana anachana
anajikana kijana basi mtumwa wa wana
skia hii sio adhana dhahama istikama
watoto wa mama kitani sa matani asilani
kijani ka nyota bwenga jani ota kichwani
lemaaa skani ndoto za maskini kitaani
elemewa na stimu za majani ogopa machoni
ndio uoga zuga anguka mzoga iga kiboga toga
ka skio kilio tundu kimbilio o.g. ndio huo??
nini naji! kinyume jaji darasa kipaji utungaji
sio dibaji sio kitabu hamna jawabu hasemi bubu
ghadhabu kwa mwalimu adabu maajabu zingaombwe...

#10 NONSHOBO

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 35 posts
  • LocationSTREE DWELER

Posted 04 May 2007 - 07:26 AM

Last kitu si must kuandika usipo na skillz,
Blast naripuka uliko jua sijafeeel,
Hili pigo ni full noma, lifananishe na ngoma,au homa ya korodani,
Jua we ukichungulia si tayari tuko ndani,
Full ki vina ki mizani mana inatengwa mezani,
utakula ama utatema, jibu li mwako moyoni,
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR

#11 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 11 May 2007 - 12:43 PM

Full shobo shoboka mzuka kuzika/
u' ndani ka mwanandani wa fani huwezi chungulia/
shoboka moyoni kiundani una kengele vitani/
shobo za kitaani raghabu za mahabusu ajabu zizomhusu/
ghadhabu za kutema au kula jibu staajabu sio maajabu/
I'm a weapon that fires/
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users