super ninja wasojua hard stylez nawakunja
voko yangu inachinja enough kuwavunja
normally namaindi justice ni ngumu kunipunja
mlofilisika raptechniks better jamvi kukunja
hapa mtafanya mfanyalo kamwe sitoanguka
kihiphop nimetukuka ndani ya site natimba kama mfufuka
pasuka mistari mithili ya injili sio kubwatuka bila tathmini
makini narhymes zang'aa thamani zaidi ya madini
wasio ufanisi kwa tamaa za fizi wanatamani
fuata nyuki ule asali kama we lijali
nauma kama uma panapo makuma
nalipua bomu bongo flevva kuangamiza bila huruma
leteni tuhuma,shutuma,ukuma na umama
siogopi luteni,sajenti wala amiri jeshi mkuu
fikisheni taarifa kabla ya mafuriko ya maafa
ni ninja naechinja bila ushahidi
tema mate chini kabla nukta haijafika.............
COSA NOSTRA FASCIO DI COMBATIMENTO
ILL'BOSS DE LA MAFIOSO
38'CONVO
TISHIO LA BOMU-who got stamina to last
Started by ungrateful ninja, Jul 12 2006 08:37 AM
7 replies to this topic
#1
Posted 12 July 2006 - 08:37 AM
#2
Posted 14 December 2006 - 10:32 AM
we biga mabomu hapa utachopata majanga,
bora urudi homu sababu ushageuka matanga,
nasikia sauti ya kilio nadhani we mtoto mchanga,
hi ni hip hop tuliza kichwa acha kutangatanga,
ntakupa chanjo hadi utakapo niita mganga,
ila ukae chonjo usije ukaniona mwanga,
ukali wa hii mistari ni zaidi ya ncha ya panga,
ni zaida ya kisu cha tohara ukileta ujinga unavishwa kanga,
natolewa macho kama kioo cha runinga,
naonekana ticha kwa nyie mcz wajinga wajinga,
sikupi mistari mingi usije ukatinga,
maana ulichonacho ni matusi tu kama mzigo wa mmachinga

#3
Posted 14 December 2006 - 12:10 PM
HAPA CHOKO USI-TEST
HII NI FORMATION YA URANIUM TEST
PIGO NTALOKUPA LITAKUUMIZA KWA HISIA
HUNI-KNOW YA NINI KUHISI MI'MPOLE KAMA TANZANIA
WE ONE NA WENZAKO MALAYA MNAWANIA
MI SIO WA SITE MVAMIZI VP KISENGE ANGA ZANGU UNAVAMIA
ANGALIA NADHURU KAMA ATOMIC ZA HIROSHIMA
RAP STUDENTS FATA STEPS TUNZA HESHIMA
SOGEA POTEA............THIS IS BLAST FURNANCE
IN FACT ASK CHOKO DYTE AKUPE STORY
JINSI NILIVYOMGUSA KIZAZI......

#4
Posted 15 December 2006 - 10:34 AM
Kama mi ni choko we ndo mkundu wangu,
hauko tite halafu nakuona kama changu,
sina shida ya kujua unavyoliwa na last dyte,
sababu we na yeye ni mademu tu kama mc lyte,
huwezi umiza hizi hisia kwa sabubu ni kali,
ukileta hasira za kidwanzi nakupotezea mbali,
natumia kiswahili fasaha kukupa hizi nasaha,
sababu nakuona mgeni tu kwenye hii sanaa,
anga zako sijavamia mwenyewe ulipanua miguu,
undata stamina yangu mpaka majogoo niko juu,
hapa ndio mwisho wa reli yako ya mbao,
hili behewa la mjerumani bado nakupiga bao,

#5
Posted 18 December 2006 - 08:43 AM
tishio la bomu lishakurudisha homu
ucforce kunata wakati unaogopa hii chata
unafyata wakati unataka kujitoa muhanga
hapa nshakugonga tomba Mc ka wewe ni kinyonga
potea tishio la bomu lakubakisha homu ka ndoa
ushapoteza ladha hii nyuklia ungratefull alwayz wewe ni changudoa
kimbia baki hukohuko uendelee kujipoa
na mwenzako habari zilizotufikia nawapelea na mkia
endelea kujificha mi ndio mtawala kuliko hata mkuu wa mkoa

#6
Posted 18 December 2006 - 10:18 AM
hizi ni electric shorts
from my medula systems zinaku-shock
currents 300megaAmperes uwezi block
vina vyenye redhot wire toka voltage za mvuta kaya
gusa ufumuke fire malaya
mizani hii kwa wako ufahamu inapwaya
blood version unknown kama mafian life
"k.u.m.a newz" am tha' hiphop knife fanywa report
nakumega na silabi,head above imeshachora "death plot"
huna stamina that's why hii depth una-flot
lyrics forgers mmezoea iga,zuga hapa mta-troti
skillz hii ni everlasting,ina-chanty down babylon
usionje sumu motherfucker hii tindikali yenye cyclon.................

#7
Posted 05 January 2007 - 03:36 PM
hauko real ila wafikiri uko kamil
kisa wachil na wana wa ganja
ninja?danja taratib usijighirib
jarib kutib timam ya babu
hiphop adab ni jib kwa sahib za kitaa
ajab hujui tambui kiakili hukui
anyway we keep teach u tha skilz
2 fil ya brain gaps!
kisa wachil na wana wa ganja
ninja?danja taratib usijighirib
jarib kutib timam ya babu
hiphop adab ni jib kwa sahib za kitaa
ajab hujui tambui kiakili hukui
anyway we keep teach u tha skilz
2 fil ya brain gaps!
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#8
Posted 26 July 2010 - 11:07 AM
tokea from any ange nikute nipo kwa ready stance.....
tokea hata now nikutoneshe tundu
tokea hata now nikutoneshe tundu
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users