Embu cheki finalist katika tamasha la Kora 2003.
Katika nafasi kumi kuna wasanii nane kutoka Kenya.
Wawili waliobaki ni mNgazija na sijui mHabeshi.
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... t%20Africa
Sasa... chekini ukarasa wa Judges. Mmoja wao mKenya!? Mmhh...
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... judges.asp
WaBongo tuko Wapi?
:evil: :evil:
Kora Awards East African finalists 2003
Started by Guest_KiboroLoni_*, Oct 13 2003 10:59 PM
9 replies to this topic
#1 Guest_KiboroLoni_*
Posted 13 October 2003 - 10:59 PM
#2 Guest_xplycyt_*
Posted 14 October 2003 - 07:21 PM
Kama wasanii wenye hawaingii KORA awards mnateta nini? :idea:
#3 Guest_J4_*
Posted 15 October 2003 - 10:40 AM
Nimeangalia site yao, sasa wametangaza categories zote. Nadhani kweli Kenyan artist watakuwa wameregister wengi zaidi ila najua at least kundi moja kutoka Bongo kuingia Kora kwa kuwa nilipeleka tape mwenyewe.
Product yenyewe kama umewahi kuiona unaweza kujua kama ingepata chance au la ni 'Aha' ya Xplastaz.
Anyway nadhani kiwango cha video Bongo kinaendelea kupanda kwa hiyo Kora wakiweza kutangaza zaidi TZ ili wasanii walete kazi zao labda mwakani kutakuwa na representation nzuri. Kwa upande wa music sidhani TZ kutakiwa kuogopa wa-K.

#4 Guest_xplycyt_*
Posted 15 October 2003 - 04:52 PM
Kwa kweli wasanii wa Bongo wana set trend kwenye game ya Hip Hop huku East Africa (na hata bara nzima). Lakini inabidi watie bidii zaidi kama wanataka international recognition yaani katika KORA ni ma Hip Hop artists wa Kenya wata wakilisha East Africa, lakini sisi sote tuajua TZ wako #1 :idea:
#5 Guest_.5_*
Posted 12 November 2003 - 07:36 AM
hey guyz just dont hate on ma kenyan brothers and sisters kama wabongo wenyewe hamkupeleka video zenyu mnaexpext ..........a miracle from heaven but to tell u the truth ur videos are waq why lie seems to me they are low budget stuff just wondering how much is it to shoot a video in TZ.50,000 tzshs .
but i believe inspite of all the kenyans in that category the winner is gonna be chameleone the airtime that guy is getting and on top of that he is being feautured by channelO this month i say we have the winner already.

#6 Guest_J4_*
Posted 12 November 2003 - 12:58 PM
Nasikia kuna waTZ wengine ambao walipeleka kazi zao, pamoja na TID (hajapata nomination) na pia waimbaji Jaydee na Renee. Sasa wale wawili wamekuwa nominees katika category ya Most promising female. Ila sio hip hop. Pia Renee ni Mtanzania lakini alikaa zaidi Ivory Coast.
#7 Guest_Kwame_*
Posted 12 November 2003 - 02:24 PM
yall vote for her 'most promising female'..ms. lamira had come a long way yall and represents the east and the west of our continent!! peace
#8 Guest_J4_*
Posted 13 November 2003 - 12:21 AM
Would love to hear her music. Anything out yet?
Also what happened to Pauline, she was recording with Miika Mwamba at some point... anyway I will be in TZ in December, time to buy some new tapes.
Also what happened to Pauline, she was recording with Miika Mwamba at some point... anyway I will be in TZ in December, time to buy some new tapes.
#9 Guest_Kwame_*
Posted 13 November 2003 - 04:34 PM
i got an email and peeped her site http://www.reneelamira.com. we all grew up together in abidjan with ludi and co. will be hitting you up soon with some ambassadoz stuff j4. peace.
#10 Guest_ELDOGO AKA TZBOY_*
Posted 13 November 2003 - 05:48 PM
KiboroLoni said:
Embu cheki finalist katika tamasha la Kora 2003.
Katika nafasi kumi kuna wasanii nane kutoka Kenya.
Wawili waliobaki ni mNgazija na sijui mHabeshi.
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... t%20Africa
Sasa... chekini ukarasa wa Judges. Mmoja wao mKenya!? Mmhh...
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... judges.asp
WaBongo tuko Wapi?
:evil: :evil:
Katika nafasi kumi kuna wasanii nane kutoka Kenya.
Wawili waliobaki ni mNgazija na sijui mHabeshi.
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... t%20Africa
Sasa... chekini ukarasa wa Judges. Mmoja wao mKenya!? Mmhh...
http://www.koraawards.co.za/english/mus ... judges.asp
WaBongo tuko Wapi?
:evil: :evil:
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users