Jump to content


Utakataaje kwenu???


2 replies to this topic

#1 Guest_lovemakin_*

  • Guests

Posted 10 October 2003 - 08:32 PM

8) Hey sup yall!!
Mambo zenu vipi washikaji??
bwana mimi kuna kitu ambacho kinanikera sana kuona waafrika wanakataa kwao, i mean utakuta wanajifagilia saaaaana au wanajisikia kiasi kwamba ukiongea kuhusa Africa watayosema utadhani hawajui Africa, au hawajazaliwa Africa, Hivi ni kweli mtu mwenye akili zake atasahau kwao, au atakataa kwao?? kwani watu wanasema "MTU KWAO" inkuaje watu wanachange hata majina yao, ili wasiweze kujulikana. NOma hiyooo!! washikaji!!
PENDA UTOKAKO!!
HOllllaaa!!

#2 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 11 October 2003 - 07:34 AM

Watu kama hawo wanafa kupigwa risasi,, :twisted:

ILLA a.k.a MACHO

#3 Guest_MTuKwao_*

  • Guests

Posted 11 October 2003 - 11:24 AM

na mix herufi kubwa na ndogo kuonyesho msisitizo
Asiyependa kwao ujue kweli ana matatizo





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users