Jump to content


B4 HUJACLIC HAPA FANYA SALA YA MWISHO


133 replies to this topic

#121 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 19 November 2008 - 08:05 AM

line zenye radioactive zimerudi
panzi headed ku-bow down hamna budi
easy supress :cry: moshi wa bangi dhidi ya udi
lack of skills ndio m-destroy kusudi
brain inadinda mistari inasimama kama piramidi
vichwa vinawavuja blindness utadhani female bleedi
vina vina-wa-sneak then attack kuwagandisha baridi
nawapanga mafungu kama sherehe za maulidi
kuma zenu this time am half human half vampire
born to spit :evil: gwaya....
coz kwa hizi chemico una-x-pire


#122 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 09 January 2009 - 07:34 AM

nachonga mission' ka wabas'
n put straight in thier chest
just 2 make my day manifast
the shit classic competence wit da most
ghost kama face inapowaka nyekundu
wanajua nn kinafwata hawa mikundu
nawatoboa matundu kiutundu
diss forum hii!!ufyekwe style ya mundu
anza kuhusudu otherwise sujudu
kibatari kwenye upepo,haizimi mistari
ain't fear hata yaje majabari
i will stand!hata 4nchakari
hata juakari....si-father-iki sipindi kimisumari
soma ka'waroma,utakoma na kibano mithiri sodoma
nawaskuma skuma
pekenyua medula zao ka 4ne book
hawana bahati ka za'bukuku
chachawa toa kitu......
nipo zaidi natoa line za mita 4000
natupa fikra 66 enzi shillingi
pump ur fist!run!
run muh'faka nusa
haya matuta hutogusa!
this just dodosa dodosa kwani kinachofata ni waraka wa kuleta posa...........!!!!! :roll: :roll: :roll: :roll: :roll:

#123 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 18 February 2009 - 09:06 AM

bomoa mipango
kohoa michongo
acha longo longo
kama bongo flava singo
kamongo ndani ya tumbo la sangara
umeanzisha mjadara
bila kuwa na dila,wala mila za kusimamia
unazila na nyingi hila
kila kimya kinapora wako uvumilivu
mla mbivu sasa sikupi shavu
zako mbavu kinanda napapasa
hasa unapoinama hii mistali ikidisa....... :arrow: :twisted:
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#124 breakingnewz

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 111 posts
  • LocationTanzania

Posted 19 February 2009 - 09:13 AM

mistari ndio kitu naona hauna,
sikuhanyi hata kwa beef ntazidi kukukuna,
hii yangu ni phat yako naona imetuna,
nakuzibua seal kama makopo ya tuna,
nakutafuna nikicheka :D wakati umenuna :cry:
ngedere kama we sicheki nae mabua sijawahi kuvuna,
nasaka michongo we wangoja upepo kuvuma,
nakuzika mazima sikuangushi kwa kukusukuma,
we ni kuma

#125 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 14 April 2009 - 07:57 AM

:lol: :lol: :lol: :lol: :lol: :lol: :roll:
nakamata key nikishika beti
huku niki-activate scanna
wanajikana napenyeza huku wanapanua
am the author dibaji unapoona
ever since umeklic trojan zinafunguka
kuiweka narrow mind effective
nakaza kama kifungo wala usi_estimate
silabi zinazunguka nyuma ya ATM
nawafunga vitambaa vyeusi machoni
huku nimewa-alert 9mm hadi mafichoni
ukiweza jiokoe uki-mess nakusend kaburini
majibizano ya risasi
niki-freeze silence huku nikipoteza
jichenge :mrgreen: nyuma nikufuate nyatunyatu
piga 911 haipatikani life mashakani...................................

#126 mizani

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • Locationmombasa,kenya

Posted 21 April 2009 - 12:14 PM

sihairishi kutapika atakijakazi hailambe dasta
kiharambee wanajipanga mzee tamaa inawakaanga
kanga,shanga viunoni onjeni ladhaya mideki yahii anga
pwaguzi kwa hivi vipwagu vya juzi
vijimamluki jina hakuna ujuzi vitoozi
siishi kwa pongezi ka c mola chochote hakiniongezi
ubishi haunikondeshi kama si hoja sieki gozi
wanamapozi ka blue wadwanzi hekima hazigamishwi na glue
suluu wanaambulia

#127 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 28 April 2009 - 09:41 AM

mlipokuja na mapanga nikachomoa rungu
kisha nika press button kwa speed
milango ikajilock kisha nika unlock poison cocky
deadly nerve agent zipo active
wanavyopumua sumu inasambaa effective
muda si muda body tissue zinaacha ku_function
life span ya mistari ya kihiphop ina take over
room inamasaa machache midget energy ita_release
kisha nikawa nikitoa last warning kupitia telescreen
wakawa wakifikiri nitaleta forgiveness kama jesus
nawakikishia hapa kutakuwa ni damu tupu
vichwa vyote vitawekwa kwa makapu
zone inatoa alert system fatal error
miili inakaushwa na gamma rays
forensics zinabring feedback access denied
what followz is wary for the night...........................

#128 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 29 June 2009 - 01:03 PM

yo!block ishaamka toka usingizi
mageuzi nimekua mzizi
naghairi kustaaafu kama jay z
ninja utoapo mistali ya kisenge kama lil weezy
freezy km p sqwea na a yee
afu kiss ur ass good b yee
ni styli moja c tatu kama za okoi
inayokuzima km upepo kwa kibatari
siishiwi vina kama buibui na wake uzi
niko tyt c luuzi
kivina mchawi wa mbozi
nshakuvua brauzi
sasa nakutomasa matiti
haina date haina gesti
ni chini ya mti nikikupa pipi kijiti
jicheki feki huu mziki spidi haishuki
nsharudi kutemesha mamluki.......am baaaaak! :lol:
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#129 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 16 October 2009 - 10:43 AM

forum iko HAI
wadau wana USINGIZI
wenye mawazo laini kama mapapai
walidhani huu mtandao wa kutoa HI!
na kuchart na mabinti!
kumbe ni battle field kama enzi za wagiriki
mi kama mlinzi kwa geti
kamwe sikuwaacha waketi
wakawila kama mabepari zimbabwe
vina ubabe-mtabe nawapeleka mzobe-mzobe
napiga mbombo nipate shibe
mafisadi wanastahili kunyea debe
kwa mwendo wa kobe
naacha urithi wa ukweli kama dube
sintochoka kuwakilisha
kama la mgambo-naamsha..........GET UP
whats up!!.........
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#130 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 21 June 2010 - 09:55 AM

hey nishakuja
na nitatumbukiza mafinga kama bluce lee
kama 13 families bloodlines
African great seal usiguse hizi package
top secret zaidi ya uchi wa malkia
nachungulia tu kwa juu huku nikitega mabomu kwa interval

NAANDAA VITA KUU YA TATU........

WODI YA UPASUAJI
USHINDI KUPATA HAPA ANZA KUJIHOJI!!! :mrgreen: :mrgreen: :mrgreen: :mrgreen: :mrgreen:

#131 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 27 June 2010 - 12:34 PM

ninja hii nchi nyeusi umekuja na mavazi meupe
unaonekana sucka uliechoka kama mlope
wako utumbo ndo nakata utepe
si unajua filimbi ikilia inamaanisha nini?...(mchape)
mchonga kope,hupiti nchi ya tope
unanasa kama nzi kwenye web za buibui
kiluilui,nakuchemsha kama engene ya fiat
hatihati nshakuweka kati laiti ungejua kuwa we maiti usingerudi
vinamana niko hood rude kuua hatufill sad
especially kama wewe wenye tabia za kibinti
kwa mistali unaketi kwenye hii ncha kali
ilhari unajipetipeti kama msanii wa bongoflava kwa promota
unadream za makota,ndege usie na kiota,nakufuta
mwafrika nnaesound ngoma sio gita
mi ni mafuta huwezi juu yangu piga chata
hupati ushindi labda uishie kung'ata
kwa fasihi sahihi nakula kichwa
je nikitukana c ndo ntakuficha?
huu moto ndo kwanza napekecha
niko nawe kama kinvuli kila kukicha
utabadili jina ama forum kuikacha!
............................USIWILE MBWIGA UR NYTMARE NIPO :arrow:

#132 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 26 July 2010 - 10:37 AM

wewe chakubimbi kuma sana
huna cretivity unavuja mautamu kuliko machungu
nakukalisha huku unaharisha
unapewa mkong'oto huku unapwaya
battle goes to the wire....
nimerudi kama bangi kwa pusha
nAbamba unaghushi mizani
:lol: :lol: :lol: :lol: :lol:
Mi ndio bepari huku nikikusanya mawazo kama mazao
uzao wa nyoka nanyooka
nakuandalia CHEMIKALZ ZA KUKUCHEMSHA
Nikupoteze kama Patrice LUMUMBA.

USIJARIBU MOTO USIO UFANYIA KAZI
nitarudi

wodi YA upasuaji :mrgreen: :mrgreen:

#133 ungrateful ninja

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts

Posted 29 July 2010 - 10:42 AM

..................kuna atetOkEa
nimpotezE kwenye AiR
kUna ukimYa baaDa kusudi LA mauti
UKajIFanYA unapamba na aCtivatoR
oRiGiNAToR sitoJIBIzAnA ZAidi NI sHOwDown
nAtamBUA HUjA STanD for SoMEtHiNg


mistari ipo GyM :arrow:

WODI YA UPASUAJI

nItArUdI

#134 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 04 September 2010 - 11:51 AM

Umeshikilia bomba
kukutomba uliniomba
sasa nakuchezesha samba
sambamba nakorodani unalamba
mpenda vidani punga unayumba
nshatimba na manii ujazo wa pipa nshakubamba,u'mtam km odemba,ushachojoa nami bila kulemba nakupa ukuni usiojua dini.....KM IFUATAVYO
niko levo,ovyo kwenye sumu umefanya chovyo,
ckupi onyo,lonyo,u dance with devo!
Unafanya mzozo,na mwenye nguzo,angalizo,sintatatua matatizo yako ya nyuma,ila kwa principle uwende mbele nyuma ntakusukuma,kwa momentum ya duma,usiogope haitouma,
kuvuma kwahitaji mkandamizo
naona yako mawazo yana vingi viulizo
hujui uniite mume ama dume
yote niite kivyovyote utanifanya nisimame
tambua hata kimya ni jibu
hasa ukinena pumba
mistali nakufunza taratibu
hiki kipindi kiite cha uchumba
ukijua A E I O U
ndipo ntakuomba unyumba
ushasema suu!
Km kimbunga nakukumba
we kwangu ni sista duu
kukukumba naifanya kuwa kasumba.!





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users