B4 HUJACLIC HAPA FANYA SALA YA MWISHO
#101
Posted 03 April 2008 - 03:57 PM
ukatuandalia nikahi kabla hujapata mchumba/
bila kujua ukabishia mauti na ukadharau uhai/
sasa wajinyonga na yako thread wajitoa uhai/
ndio maana una-drop shit,damn! una-need daipers/
6 million ways to die!!,so I chose 4 u' this cyphers/
ujimalize nazo coz naona uko na suicidal moves/
naku-attack kama viruses,uta-need reformat/
vile nitaku-corrupt brain yako nikufanye scam/
halafu nikuache behind bars,uki-serve life sentence/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
#102
Posted 07 April 2008 - 01:27 PM
brain surgery/kwa hivyo andika will coz hii operation ni hatari/
high pressure rhymes,zinakupasua mpaka your main arteries/
na kukuacha uki-bleed through every openin' kama Ebola patient/
sio cold blood murder lakini nitakuacha dead in a pool of cold blood/
na-pull hii thread longer,kisha niku-roll nayo kama Egyptian mummy/
ndani ya rhymes zenye ziko na probabilities mob kama pyramid/
halafu niku-burry kwa vishindo kama deadly desert sand storm/
usahaulike, huonekani tena hata kwa "The Mummy Returns"/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/
* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|
#103
Posted 08 April 2008 - 01:19 PM
usione nimesimama kama mlingoti
niko stebo naku-targeti
na manati ki-misamiati
maumivu mkunduni ndio unacho-feel
hauko real with hard_lyrics naku_x-pel
hili chaka sio la vibaka
kwa formula za biochemical unalipuka
unatest kurukia forum unadrop_ooh shit unachubuka
beep fire brigedi nyumba inaungua
nadondosha tani 1000 za silabi nakuacha unaugua
niko deep mithili ya kina cha uke wa mamako
nakuinamisha mbele ya kuku wenzako
hii topic inanuka damu
we unajileta without kujifamamu
get elimu napotimba nakubebesha mimba
si_fuck na mceez wenye ukiritimba
mtoto unalegeza kiuno kwenye gangster corner
my hiphop is dicking u...dont x-pect kupona
muulize moderator na-kill sizimishi
so many wack mceez wamefanyiwa mazishi
unanivimbisha pumbu
una_survive short dayz utadhani mdudu mbu
mzito kwenye key....mbumbumbu
nuksi tu fuck coward unanyufa i mean unavuja
unaleta gundu nakustrap na mizani yenye makali ya mundu
nakubutua kama kabumbu
msenge we.....
#104
Posted 09 April 2008 - 10:46 AM
unatupa taka
nakufuta na update kila nikiamka
uko-colonized na mamboleo
lastly nimemwaga koleo....
la mistari hujainuka round hii
tokeza nakutokomeza
kama gonjwa la ndui
naku_treat kama mchumba sio adui
kaa huko kenya usitest bomu la sumu maeneo ya raia
muulize raila............
#105
Posted 07 May 2008 - 07:11 AM
in this forum katokea
ku-reply nilicho-spit
its like wamekufa na sasa wapo gravel-pit
none of kumma anarudi with my street chemistry
my information inachoma like sword poetry
mfyeka vichwa damu ya maiti inawakimbiza
long ago nimefahamisha ngumi nzito nabamiza
glance ya kwanza nishakaa na stance
bila hata any emcee kubattle na_advance
move like fish in water am shark
cutz more for all reasons
nazaliwa upya
na size kama sumo
dont try this at b4 hujaclick hapa fanya sala ya mwisho
#106
Posted 12 May 2008 - 09:40 AM
nachek clock inaclik tayari wakati wa kuwameza
sihitaji matusi kuffunza ni ujuzi na ufanisi juu ya meza
dam ya maiti isiyo na hatia inaniumiza
ndo maana sina muda wa kuwasikiliza
hawa mafisadi wanapojieleza
moyo wangu kanisa kila nalotema ni sala
mazingira yanafaida na hasara
mazingara katika kula
yanafanya kufura kwa mwenye mdogo mshahara
hii ni riwaya ya ujenzi wa ubongo lala ama imara
lkabla ya tendo la hasira
mwenye busara hufikiri zake hasara
mwindaji haitaji papara
mkwara haunitoi mbio jasiri
na wala sifikirii kukwepa kinvuli
nguvu za mola pekee ndo wangu utajiri
utambuzi ndo unaonipa kiburi
nguri katika maisha ya hatari........1
T.M.K akademy-non shobo squad
#107
Posted 12 May 2008 - 10:54 AM
mistari inakupeleka kwa mganga wa jadi
unachanjwa kama njembe
nakuparamia kiharamia tifua kama jembe
vina vinarushwa kama vitanzi kukaba shingo za rapper wazembe
tazama kama umekufa onyesha huruma usitegemee forgiveness
mmekodi turubai coz now funeral ni endlessness
#108
Posted 14 May 2008 - 10:20 AM
mashairi yamejaa mtungi
but kabla huja-battle ondoa kwanza ushungi
line zitashuka na kukulewesha kama mrungi
kuwa real sio unaanza kuandika ushangingi
acha kukodoa tamani yangu mistari utadhani shilingi
kimsingi uje umestick sio unaleta usenge
nishachinja kuku kibao na bado..................
:mrgreen: :mrgreen: :mrgreen:
#109
Posted 14 May 2008 - 10:26 AM
kwa huyu ninja-minja- kidux mkaksi ndo nshakula nyasi
napasi ndani ya lako kolomeo naondoa kibesi
mtoto wa mama bado kengele umeshashiba matusi
nuksi umeileta unatweta inakutoa kamasi
vinamana nakufunza kuversi
versi clean -clear bila vimelea wa virusi
kama GURU -gansta to my penis
na bado naukataa utumwa wa matusi
yanayoNIGGAsi nayageuza habari kuwa hiyo kwa unayeishi kwa tetesi
ukweli mgumu ka yabisi huwezi kuutafuna we mla bisi!
unapaniki-mamluki unabaki tema matusi
na bado levo zangu hugusi!
.........................................SO SO CLEAN.........main......... :wink:
T.M.K akademy-non shobo squad
#110
Posted 14 May 2008 - 01:28 PM
kimbia hizi level
natiisha emcee kama 2000 kwenye site
cool with my favourite
huu msitu vietnam kama hujapata ufahamu
nishakufanya kitu mbaya ulizani kitanzi kitapwaya
mshenzi nakuloanisha na vitenzi hadi unataka tena
password nishaijua nateka hadi mjae contena
unfortunate umenikuta nipo fiti ita sho kosugi
navyokaba soon unatambua lazima nivunje chako kiuno
keyboard kinawaka moto mishipa inavuja mfululizo wa maneno
nyoko we!mi ndio babako kwenye hii forum
as a matter of fact unafata my curriculum
balaa hili lina kipimo cha ritcher nenda school
usanze battle huku umejitanda ushungi fool!1
kila ukiamka nakupitishia umotomoto malaya we...
#111
Posted 19 May 2008 - 06:37 AM
linaishi shetani la mistari yakutisha
nikiwasha computer site natetemesha
wack emceez wanaspeed kujificha
nawazungushia mstatili kuwafikicha
unataka kuamini soma kuanzia page one
2006 nilipoanza kuchinja one by one
hakuna kulemba ishu ufasta wa fingas
shaolin master kwenye key...bodi natoboa
my pistol inakohoa
mceez kama kumbikumbi nawatoa nishai
sijaja kuuza jina kama mitumba ya dubai
yangu confo sio kujidai
oppose line ya hapa ni kosa la jinai
nawalaza chali kisha nakaba kama jinamizi
kosa ukombozi niwamalize utadhani nzi
wameingia bila matazamio nikagonga kiuhakika
wamu_run but cant hide forever
mlipojificha ni sawa kuficha uso
hivi mnaakili
b4 hujaclic hapa fanya sala ya mwisho.......
#112
Posted 20 May 2008 - 01:40 PM
nakupoteza kiakili mkubwa wa mwili unarudia mashairi
hili jamvi la miba chiba halikaliwi na viziwi
sisifiwi mgema niko peke yangu sifiwi
bai-mlaghai nakuchoma sindano ya ndui
hujui nna vina vibaba vimejaa makalai
vaileth wa matonya endelea kunyonya c ulidhani chai
matta of fact nakudidact! kwa trick nimejikoki
jikoni nakuivisha kimistali kila nnavyojibu uendelee kubaki
staki makapi mi hapa kama spika adam sapi
nafurahi unakua kwa kunisoma ila hujui
T.M.K akademy-non shobo squad
#113
Posted 24 May 2008 - 07:41 AM
nipo kimistari sipo different
unadata.... :roll: una maruwe ruwe
line zinakobolewa kama mpunga kwa speed 100G/s unazipata
huna enough memory kuthibiti data
with my flash in darkness nipo so trix
stic and shinin since 2000 and six
na_magnify mizani utadhani megapix
ni kama glitch kwenye matrix
i keep weighing everyday
new thing coming pumbavu linasema narudia mistari
sasa naingiza uboo hadi kina cha mwisho upate full
na-change tactics with same technics
jifunze through me unbeatable utadhani immortal technics
fuck try another coz hapa utakufa....unanyufa......anguka kifafa
thats why nilionya;b4 hujaclic hapa fanya sala ya mwisho.........
#114
Posted 28 May 2008 - 08:52 AM
kihoro kinakupata unaevaa joho kabla ya mahafari kufika
tuliza moyo-poyoyo nisome niyasemayo
sisemi KAMA WALE kama usemavyo sadukayo
nasema mimi sababu ndimi yule wa WAKATI UJAO
nna MISTALI MWAMBAO HUONI KITUO
kivutio cha CEREBRUM kama kilimanjaro kwa watalii
huwezi magnify ufupi wako wa mawazo kwa kushow
mistali yako emolo!naendeleza mbango
mgongoni nna blak cargo
mi ni value ya X formula ya kunikokotoa nnayo mwenyewe
sina maruwe ruwe! una mapepo unastahili uombewe
nakulisha misumali mpaka uvimbiwe
ujue!kuomba sio lazima ujibiwe
ila ukipanua lazima utiwe!
jitetee!kabla hakim sijakumwagia mvua usahauliwe
change tactics with same technics how! :D
kimistali una umri mdogo kama bow wow!
mi mdau!hapa kama voodoo unashtuka wow!!!!!
nakufananisha na bi.chau nakutafuna kama kau-kau :lol:
hapa mnadani mistali yako inakushusha dau!
ni kama nguo ya zambarau jinsi nnavyokudharau! :arrow:
T.M.K akademy-non shobo squad
#115
Posted 28 May 2008 - 12:13 PM
gang-lyrical sniper fyeka unavyonepa
am break any rappa come on my position
knowledge is the best duwaa kama kipofu kanunua television
jipeleke artistically level university
every writer every city remain immortality
medula itself ina_integrate the presence of vanity
tua mzigo wa foolishness sasa naziunga line kwenye unity
skillz inachimbuliwa kama madini
unachotazama sicho unachoona au unachoota usingizini
amini napaisha fikra hadi mbinguni
mbali without lens pata pumziko la kisomo
hakuna komma ujue sijagota kikomo
hasira zinafurika kwenye nervous systems
Wack Mc wana-scare these rhymes
machozi yaandika silabi
opponents wana-hesitate hawakabi
loose matumaini mi napanda kama CD4
HUNA MAANA vinavisivyo na maana vinamanuka vinamana
ina maana hii forum mi dingi we mama
utazalishwa kwa formula ya reproduction
kinywa kinatoa nyaraka maneno yanasimama kama uboo masturbation
am the chemical kama organic usipaniki
nakuchakaza na vimistari vyako chakavu kama ya bibi kizee kaniki
vuta hisia unatiwa umetaitiwa.......ndivyo ilivyoku-make hii topiki
#116
Posted 29 May 2008 - 10:43 AM
nakuchek pande mbili snitch huna ufanisi
nafanya kama EPMD -STRICTLY BUSSINESS
huna position uko kwenye vacuum kama vyombo vya anga vya US
na mi ndo mtaalam wa NASA nacontrol zako nerve baki kuwa nevious
spinal nnacode ya mtaa kiumeni halisi
kama za microsoft kwa bill gates
sina kawaida kutoa siri mbele ya kadamnasi
ila yako kwamba we ni choko sina jinsi
sihesitate kutoa punch ktk ulingo wa kick box
nakufanya umeditate ukiri mi nuksi
nakupumulia sikioni hupati nafasi
umeingia makutupola hutoki smooth bila scarface
upeo wako ni chini ya twin tower za B.O.T
hunioni nakotokea invicible kama kujua molecule-density
nazalisha mistali kwa nguvu za blood iliyokua crucified
kila reply yako nacancel yaani ile briii! nashork ur world!
ur soal ur finger tips on this keyboard :( :shock:
yia!kwenye hii forum mi ndo mama by asexual reproduction nazalisha vina vyenye maana
na we ndo mdingi hanithi huna maana :lol:
........ :evil: lil bich........ :evil: :evil: :arrow:
T.M.K akademy-non shobo squad
#117
Posted 29 May 2008 - 01:10 PM
sorry !umefika limit mi napokutwanga kama kinu
rudia school ......hii measure ipo kwenye state of emergence
ficha script zako online coz it doesn't make sense
hapa always nipo kwenye JUDO stance
#118
Posted 31 May 2008 - 06:45 AM
hofu iwapande kama ingizo jipya kwenye charts
lenga gaps zenye points as narusha in a game of darts
badiliko ni kemikali zinazopenda uhasama kama osama
kutana na kisomo kama holy Quran kwenye koo kinawasakama
beef kwangu mbolea vocaburary zinashitaki kama mahakama
nishawasotesha WACK MCEEZ kama gereza
life sentence ina-face kila ukichagiza
#119
Posted 04 July 2008 - 10:00 AM
my sound ina-activate toka digital code
ingia kama syringe zilizochemshwa na electrode
nipo kwenye kipindi cha mpito,mchovu usijipenyeze
ukubwa wa huu uboo ni mistari ya kimafia all the time
napanda mnara kikomando nikielewa uoga ni ugonjwa
topic ina-mzuka ukijipika unaonjwa
this is short circuit kwa anaepima current flow kwa macho
udongo una kiu ya damu bila murderers haita-rain
hisia zinajenga concetration on my brain
#120
Posted 16 July 2008 - 09:28 AM
na nyendo za maisha ya kigangsta
nakata mitaa
daily nashtukia issue tofauti
ndo maana nastay quieti
feli kupanga alfabeti kwenye ubeti
sio kwa spanner navyobinya bajeti....ya kibongo
makumazani jina la kizamani
nabenua brain yako kama boneti
bugi hii zone still utatombwa kiumbwa
naandaa scan now...coz najua maadui wana jelous kama wake
naanza catch one kama example...
mistari inanasa kama magetic field zenye fezi tatu
sema "MUNGU WANGU" ku-find wokovu b4 hujaclic hapa........
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












