yap!umeingia kilinge
genge la mamba famba kenge hapa utajiuzuru kama chenge!
najua we ni choko ila sitaki nikuchenge
natambua kila baada ya muda unakimbiza mwenge
ndo maana mawazo yako chooni zaidi ya msenge
nakuchanachana nerve nakuachia malengelenge
jitenge upigwe mitungo na tungo frengwe!
naona kifua-bua na nguvu za bange
unajitutumua kwa hii ndoano kama samaki chuchunge
uko kati ya mamende tako lako lichunge
ninja-binti mpenda mikonge
kila reply unalazimisha nikugonge
tatizo sijihusishi na usenge!
tumia gunzi mlango wako wa nyuma ufunge
we kuma niko T.M.K kitaa nasaka tonge
unatuletea maneno ya kwenye kanga na vitenge
huna sera kama msenge anayewashwa kutaka agongwe...........
MOTO UNANIZIMISHA KWA PETROL.......NIPATE :arrow:
FID Q NI LOOSER KAMA BITCH
Started by ungrateful ninja, Jun 07 2006 11:58 AM
49 replies to this topic
#41
Posted 20 May 2008 - 02:10 PM
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#42
Posted 24 May 2008 - 06:48 AM
nakana wako uwezo lyrically
coz i can see clearly
huna style wala force
kupush unazorota meanwhile hujishtukii
natupa punch heavy kisha nagota kwenye key
nishazi-x-files za fid Q_UEEN WE MKUNDU juu juu kama brake ya ndege
hiphop sio kama jeans upige mlege
kisha ujione hard.......
nakushtua coz najua uko_fear
unabebwa kiujuzi nashona utadhani nyuzi
nakunyoa kwenye webforum utadhani mavuzi
sioni unachozindua daily naona utoko......
mistari ya chuma cha pua
inakulipua kama amri kumi nakuumua
tulia uwezi dogo kilichopo hapa usiingilie
bora ushangilie coz fid ni looser kama bitch..........

#43
Posted 28 May 2008 - 08:04 AM
napend kaz kifupi sipendi uzushi,usiniite mamba sababu simind mtungi,ni bora uniite nyati,man kachaa daily brunt,sasa kwa vp na kivip unaleta uzushi.unatangaza hiphop bongo haiuzi,wee nani kasema kazi ukifanya pesa inatema,si unacheki hiphop inavyo shine,vina vikali mashairi ya kidizaini.ukileta bif mi nyati nageuka mbogo,kubwa sio san mental napenda ndogo.ahhh.unashangaa si bora uulize utanyonga au ninyonge masela tustuke.
#44
Posted 28 May 2008 - 09:15 AM
Padri pio jinoe zaidi ka vipi we baki mtazamaji.......
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#45
Posted 28 May 2008 - 10:01 AM
HUWEZI NIKUBALI LYRICALLY COZ HUNA CRITICAL THINKING
unaroll kama ring!unataka fly na hali huna wing!
niko bling! bling! kimistali umiza yako macho-ona ryt kuwa wrong
ushamvalisha FID crown ingawa hajaclaim u-KING kwa zako HATING!
ni kama kuwa CAUGHT UP IN A HUSTLE!kutoka kimasomaso
wanga mnazua soo!blah blah bila tafakari huamini kama tomaso!
endelea kutafsiri verse za IMMORTAL TECHNIQUE!
weak wa kufikiri nakutumia kama chaki kuandikia waliobaki
wanaodhihaki kunde kabla ya dhiki
FID anavyokuFEED ukweli ni kama upele unawashwa wako mwili
mkali haloose makali endelea pasua majabali
ili wajinga kama wewe muweze kupita shwari
ukionacho sio mwili ni kinvuli
ndo maana huwezi kuDIG ukweli
sababu uko kati ya chuki hushtuki
radio magazeti sio mwisho wa fact!
unafurahia zawadi kabla hujafungua pact
inakulaki na punch!ulidhani umeiva kumbe bado mbichi nakuanika
umo katika theory ya LINCH!we ni SLAVE wa hila za matabaka
hadharani AHH nakustiri kwa kukuvika vina visivyohesabika
huwezi kiri hadharani ila moyoni nahakika unaadabika
kwa kuskiza gansta-hardcore rap najengeka
ajabu gansta rap inakufanya kupotoka waza takataka kama vibaka!

#46
Posted 29 May 2008 - 08:03 AM
Web ina-watch ukweli wazi
nimekupekenyua kama li-shangazi
nakuchojoa kama la kahaba vazi
nakubananisha kati ya mstari na mstari
no room for breathing nakudumbukiza kama golori
Mc kigori huna objection!
unapo-read ni syringe inaku-face this is injection
dhani na-copy kumbe nakuamisha kama goalkeeper position
lines zinaku-investigate ki-intelligence
pungu-one ji_upgrade hizi sio nonsense
with my writing skillz sipelekwi na any kind ya ignorance
fid ni looser like u...ooh shit nafarijika na hii sentence
as a matter of fact uko so weak
kuhusu ku-battle hapa hutafika peak
you got to chill...coz unaonekana mnafiki
feed queen ni queen hata kama hauafiki
kuma we.....mathafacker

#47
Posted 29 May 2008 - 09:52 AM
hupelekwi na ignorance
coz umejengeka ndani ya ignorance
na ignorance ni wewe kaa pembeni km kisiwa malagasy
kunitafsiri kujua lile NENO unahitaji kamusi
uko kizani kabisa chochote unaona cheusi
pussy-nakunywesha metaphos kama jangwani mi oasis
kiss ur ass goodbye nakurestisha in ibilisi-peace
yia!niko weak kutos ila kila nikitos dice ni six!
jifiche kama file la kifisadi-X
kila nikija ni double excel sikukosi
freestyli vocabulary pasua ndosi
ila still maana nzito kwa mistali myepesi
imekula kwako kwa kuni-investigate investigator snipper -jasusi
sina cha kupoteza kila dakika inayopass
coz-formula ya lyf ishafanya uasi kwa dhamira za yangu nafsi
unapopita ndipo sakaz wengi kaburi walipo-likiss
nakumwagia vifusi vya rym! kama shahawa najihisi na-pis kwenye zako lips
vinamana street survivor!only bilivin JESUS!

#48
Posted 29 May 2008 - 12:45 PM
sequence n series kwa mfumo lyrics zina-vibrate
mithili umepigwa na radi au electric shock zinavyo-penetrate
hunipi wasiwasi coz najua unanuka maziwa
kama water nishakuzunguka utadhani kisiwa
unatia kindness poetically upo state ya ukiwa
fuck huna stamina ya ku-stand hapa fire zone
ng'atwa ng'atwa na martial arts trapp u kama amazone
fid ni punga zingatia hasa napokupa dole la kati
update zinakufuta ooh!shiit zina-strike mfano wa nyati
pima size na speed of my brain focus unazama kama mapango ya tora bora
nakupeleka jando ya lyric coz rhyme yako imedorora
dogo usi-take simple coz kwenye kipimo thermometer una-read zero centigrade
unatetereka sababu umekutana na greatest self-proclaimed lyrical comrade
naipanga mistari nakulinganisha vina kijeshi kama presidential parade
mlete huyo fidlooser nimdunge kama shanga
level kindargaten still yenu mashairi maChanga
RUDIA SCHOOL

#49
Posted 08 June 2008 - 09:16 AM
makelele ya chura ndipo nyoka anajua alipo
misele ya town kila day ndo inayonipa malipo
nameza viagra kipapa ujapo
tuwapo kimya wanazuoni basi tunakupisha pepo
MC wa kweli ni kama common music 4 da pipo!
ingawa wapo wapiga kelele kama wewe debe tupu ama kopo
misele ya town kila day ndo inayonipa malipo
nameza viagra kipapa ujapo
tuwapo kimya wanazuoni basi tunakupisha pepo
MC wa kweli ni kama common music 4 da pipo!
ingawa wapo wapiga kelele kama wewe debe tupu ama kopo
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#50
Posted 09 June 2008 - 12:45 PM
HUNA ufanisi dhidi ya real artists
subiri kula misumari mitazamo yako imekaa kifisi fisi
bado una-ji_cheat unakutana kwa mara nyingine na jamii ya nyau
naparua vimistari vyako vilivyokosa dau
still fiq ni homoni ya kike
we unanuka uke na hapa nakuendelezea kibano ubanduke
apocalypto navyokuchanachana
jiandae na giza la mchana
unakimbia huku umejipiga finga
unarudi kwa kushtuka line zinakusababishia kifafa
niogope mi ni laukemia na-bring noma nyufa na maafa
endeleza u-pusty kwenye site ya mafia wa swahili lyric
nasa niku-dust kama herufi kwa kwa silent vokal yenye jeek
PANUA...........NA KAA MKAO WA KUINGIWA KIMWILI NA KIAKILI
FUVU LA KALE HALIOZI EVERY JUMP NAYO-THROUGH INA MADHALA KWA YA YAKO MEDULA
THAT Y HUTO-EXIST IN MY EXISTENCE
MALAYA KAMA SPANNER HAPA HUTOFUNGUA NG'AMUA DAY NITAKAYOKUZIKA KAMA NZI
UNAMWAGA MACHOZI KWA KUKOSA UKOMBOZI
FID STILL PUNKY..........NDIO DOZI

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users