sum1 drop a line in swahili,drop sumthing on...
sum1 drop me a line in swahili
Started by sunshine, May 10 2006 09:08 AM
3 replies to this topic
#1
Posted 10 May 2006 - 09:08 AM
#2
Posted 01 June 2006 - 09:29 AM
rhymes nazoandika,
sizo zinazosikika,
kwenye radio au kwenye show,
ya any emcee
underground zasikika
sio za sucka,
kama kemiko reaction zafoka,
tokota,alwayz speed ka toyota zachomoka,
fahamu kwenye mishipa napozianika,zingatia vina
ongeza ufanisi na tija,
mchakamchaka chinja,
rap sio kama kilimo cha tumbaku,
bora uwe bubu kuliko zumbukuku,
pigana vita kama ibrahim
baba wa imani,
natoka zangu ghetto,
kwenda mbali,kutafuta uwa zuri,
kwa chakula,azuuuum we
msella we,kama gengster
fanya chochote,
ili mradi ku make life......
sizo zinazosikika,
kwenye radio au kwenye show,
ya any emcee
underground zasikika
sio za sucka,
kama kemiko reaction zafoka,
tokota,alwayz speed ka toyota zachomoka,
fahamu kwenye mishipa napozianika,zingatia vina
ongeza ufanisi na tija,
mchakamchaka chinja,
rap sio kama kilimo cha tumbaku,
bora uwe bubu kuliko zumbukuku,
pigana vita kama ibrahim
baba wa imani,
natoka zangu ghetto,
kwenda mbali,kutafuta uwa zuri,
kwa chakula,azuuuum we
msella we,kama gengster
fanya chochote,
ili mradi ku make life......
#3
Posted 04 June 2006 - 04:52 PM
ngenga tenga,nalenga,
ujinga pyenga,kimistali nanga,
ishafungwa,na fristyli si kutunga,
vina nakudunga,ka'shanga
kwa dem'wa kitanga,kama langa
haina vanga,wajinga nawakaanga,
ryme skonga,utamu wa manyanga,
nd'o unakunyonga,.
ujinga pyenga,kimistali nanga,
ishafungwa,na fristyli si kutunga,
vina nakudunga,ka'shanga
kwa dem'wa kitanga,kama langa
haina vanga,wajinga nawakaanga,
ryme skonga,utamu wa manyanga,
nd'o unakunyonga,.
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#4
Posted 23 June 2006 - 11:50 AM
Eyo natema mistari hatari/ina penya ubongoni ka misumari
micfoni sijashika juzi /ndio mana nawamwagia huu ujuzi
micfoni sijashika juzi /ndio mana nawamwagia huu ujuzi
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













