Jump to content


Nani anataka kipaji kikuwe aje


157 replies to this topic

#81 Guest_HESHIMU KINA CHA MASHAIRI_*

  • Guests

Posted 22 September 2003 - 09:31 AM

OYA KAMA MNATAKA BATTLE ZA KIINGEREZA MUENDE KWENYE THREAD YA KIINGEREZA...MSITAKE TUYEYUSHA!

HE.KI.MA

#82 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 22 September 2003 - 09:45 AM

Sorry jama ilibidi nimfundishe dogo X-plosive king'eng'e flow. Hekima flow hapo safi sana I see more "wordplay". K- butcha twasubiri jibu (mzee jibaba chafua cypher.

Knoka

#83 Guest_Knife butcher_*

  • Guests

Posted 22 September 2003 - 02:35 PM

Emcee utabaunsi kama ni nguvu za ndumu
Chati yako inashuka sijui nani wa kumlaumu
Kila ukipanua mdomo k-bucha nakunywesha sumu
Nakuja kama sisimizi huwezi niona bila zoom
nakuattack bila huruma..ndio sasa natoa hukumu
muda wa kutengua viuno ndio umetimu
nawavuta makatuni kuelekea kuzimu
Nameza emcee yeyote anayentibua stimu
nalipua rymes.. madhara yake ka atomic bomu
Wababaishaji wanashake vichwa havipo kwenye form
wengi wao wanacheua pumba na fume
wananiota kwenye nightmare nikiwatesa kiroho ngumu
kama ffu namtuliza yeyote mwenye kuleta fyongo
Huwezi piku langu jokeri hata uongeze usongo
Katika rapu game...we nakona ka chongo
Weka beef....bado ntaroga wako ubongo
siachi chafua cypher..nichukie mpaka utapike nyongo
Sababu kila nikichana nakutoa matongo tongo
Ukija kama mlevi nakusukuma kwenye korongo

#84 Guest_HE.KI.MA_*

  • Guests

Posted 22 September 2003 - 04:11 PM

hakuna cha raundi ya pili, nilikuambia ile ni first round knock OUT!!! ALI-INSIST TUANDIKE VESI MOJA-MOJA ZA MWISHO..NIMEMPA!!-MWISHO..
KAMA WEWE KNOKA PIA UNATAKA KUPASULIWA...OMBA FOMU UUNGE MSULULU WODI BADO IKOWAZI!!! ANYTIME/ANYONE!!!

HESHIMU KINA CHA MASHAIRI

#85 Guest_xplo aka toto la mitaani_*

  • Guests

Posted 22 September 2003 - 11:41 PM

knoka kila jumpshot ukirusha nakufuta ubaoni/
kila nikiamka denda limejaa kwenye hii keyboard/
angalia hii mistari alafu jifunze kuzipanga hizi alphabeti/
hakuna mwingine bali EXPLO anatamba kwenye internet/
usilete kibesi ntakupa uppercut /lowercut unipe kesi/
pumzi yako fupi huwezi kujipima na mimi ntakutoa kinyesi/
ntakurarua nikuache umefleti alafu niulize whos next/
sichezi gonga gonga ndinga nalibutua kama fullbeki/
ntakubetua juu kwa juu nile zote alafu nikulambe kipepsi/
mitaani naeleweka vina vyangu vimezagaa everywhere kama noti feki/
hizi ni risasi za kuua tembo haisaidii hata ukivaa bulletproof vest/
kwenye miondoko nimebobea hii mistari nyeti never underestimet/
wengi kama wewe nimewaelimisha wametulia tuli kitako wameketi/
siitaji ku waste my bullets ntakukatakata na masheti[/b]/
biatchhhhhhhhh[/i]

#86 Guest_knife butcher_*

  • Guests

Posted 23 September 2003 - 10:48 AM

:twisted: :twisted: Explo ndio huyo amekuanza haya mlipue na vibaruti vyake :D :D :D :D

#87 Guest_knife butcher_*

  • Guests

Posted 23 September 2003 - 11:15 AM

Xplo ingawa hujanianza ..lakini nakuattack
Nakulipua wewe pamoja na zako fataki
mistari kichwani imejaa kama laki
mpaka mingine sijui wapi nitaipaki
Kaa chonjo jibaba nakuja bila breki
kwa usalama wako niache nikuovateki
Kama hiphop ina cheti..basi chako ni feki
Nikikamata kipaza hata wakongwe wanashake
Rymes zangu zimejaa ustadi kwa jinsi navyozimake
Ukibattle na mimi nakutafuna kama kipande cha keki
Tactics za maneno navyozipanga.. hebu nicheki
Piga mashuti kama fullbeki..mi ntakubutua na yangu madochi
Nakupiga kipigo cha mbwa mpaka unabaki ulimi nje
Unasevu kwenye hiphop unajiunga na wanjenje
.....................

#88 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 23 September 2003 - 03:20 PM

WAACHE WATU WA-BATTLE! KAMA WANATAKA BATTLE!! NINAUHAKIKA KNOKA ANA-UWEZO WA KUJIBU....TUNATAKA KUONA UWEZO WA MA-MC WENGINE PIA...HAUKATAZWI KUSHUSHA VESI ZAKO..UNAWEZA KUANZISHA THREAD MPYA UKAA-ANDIKA KADRI YAKO!! ILA KAMA WATU WANATAKA BATTLE TOA PUA KWENYE ULINGO..!

NAWEWE KNOKA...KAMA UNATAKA BATTLE..BATTLE!!! HATUTAKI MAKOCHA HUMU!!
RESPECT THE BATTLE

#89 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 23 September 2003 - 03:55 PM

mitaani naeleweka vina vyangu vimezagaa everywhere kama noti feki/
hizi ni risasi za kuua tembo haisaidii hata ukivaa bulletproof vest/

#90 Guest_knife butcher_*

  • Guests

Posted 23 September 2003 - 09:32 PM

Nakuomba tafadhali uachane na mimi.Umeshasema kwamba level yako ni kubwa kushinda yangu nimekubali,sas mbona unaendelea kunifuata fuata.Nitaheshimu watu wengine wakiongea sio wewe,Sijui we mshikaji unajiona namna gani just mind ur fucken bussiness coz now u startin to piss me off.

#91 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 24 September 2003 - 09:42 AM

MIMI SINA CHOCHOTE NACHOTAKA KWAKO.KAMA BATTLE WEWE MWENYEWE ULISEMA KWA MANENO YAKO KUWA 'NIMESHINDA' NA WATU WALIPIGA KURA WAKASEMA HIVYO-HIVYO!! MIMI NIMEKWISHA SAHAU KUHUSU HAYO,WEWE SIO MTU WA KWANZA KU-BATTLE NAMI....NIME-BATTLE MCZ KIBAO(NASIJAWAHI SHINDWA HATA MOJA-ULIZA!).

SIMPLY NINACHOSEMA NI KWAMBA...KAMA MA-MC WANATAKA BATTLE LAZIMA WAACHIWE UKUMBI,HIYO NINAUHAKIKA VICHWA VYOTE VINAKUBALI.MIMI NA WEWE TULIPO-BATTLE,WATU HAWAKUINGIZA PUA ZAO KWENYE ULINGO-WALITOA 'COMMENT'-WHICH IS RIGHT!! HII SIO TAG TEAM WRESTLING' NI HIPHOP...WACHA VICHWA VI-BATTLE,MWISHO TOA MAONI WAKO...WEWE UNAONYESHA DHAIRI KUWA UNA-TAKE SIDE,WHICH AINT RIGHT!! SISI WOTE NI VICHWA,HAINA HAJA YA KUANZA KUMBAGUA MMOJA NO MATTER WOT!!

NB: NADHANI UMENIPATA!
PA1

#92 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 24 September 2003 - 07:38 PM

Ni wangapi hujitosa hii mbuga kuja gundua wadunda dunda/
x-plo unanitwika "flat" mchupa unatagemea nita yumba yumba?/
Hii spoti isha kumbwa zungusha hizo baru- zako kifuru-funga/
Butua tu magoli ntakudunga hii si netbo ukarusha rusha/
Kwanza futa chagua yeyote lugha zote naumuka kaa unga bila teja.. chunga/
Hii kamati uhakika hupati kura haya zusha utabakia nukta/
Hivyo pumpaa tu nta-vuta vuta mashaki pande hii mputa kuja/
Ukapata ufahamu mi si mshahiri mpya haya kanusha utakuja juta/
Lini baru- hizo utapata lipua tupate jua maana twachoka kujikuna kuna/
Usishangae mibao nakukung'uta na fyekeo nazirusha kisupa/
Ukiangua utashanga ni kansumba ghani hii jikuta huna bukta/
Hivyo kama mzee mwenye busha ukinipigia uluzi ntazusha/
Mi bwana masanja kutwa kuchwa ni mchanja mbuga/
X-plosives wanizuga bana na stori ndefu kaa Ikarius Kumba Kumba.

Ese e um bandido grande. nom mpodesh tentar falar comigo nese jogu de palavraz. Bado amebakia Hekima wacha hasira na watu anza na mkongwe hapa basi.
Knoka

#93 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 24 September 2003 - 07:50 PM

mashaki=mashabiki
utashanga=utashangaa

#94 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 25 September 2003 - 01:43 PM

UKIMALIZA BATTLE NA EXPLOSIVES....NJOO NIKUPASUE-PASUE-KINDA WE!!
UMEOGOPA KUINGIA ULINGONI....AT FRIST-NOW U WANNA TALK!!

'UJE NA VIJIJI/KWA MUPUO NIKUFULIKE KA RUFIJI'
I CANT WAIT...

NB: EXPLOSIVE TUNAKUSUBIRI JIBABA!!...MALIZIA HII KAZI!

#95 Guest__*

  • Guests

Posted 26 September 2003 - 01:40 AM

y'all niggas is whats up. dis nigga knoka spittin this shit in english then he switch it na kuwanyonga na swahili sanifu. nuff respect to u nigga i wish i could do what u do but mad years of livin in da u.s have drained most of ma swahili outta me.

#96 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 26 September 2003 - 08:25 AM

Anzisha hiyo battle basi. sijawahi kuogopa ku-step kwenye battle yeyote niko kote za kizungu na hapa kote na battle. nilianza na Butcher, nawe ukamaliza na Butcher sasa ni zamu yako kwa mara ya pili au umesahau niliwahi kubattle nawe (Tuffjam)? basi Knoka mbaya zaidi ikibidi ntamleta Bwana masanja vile vile ulingoni......ndi..ndi...ndi.. ndi. Haya anza basi.

Knoka

#97 Guest_Knife butcher_*

  • Guests

Posted 26 September 2003 - 09:57 AM

Knocka kama ni kuendelea kubattle na mimi twende kwenye ile thread tuliyoanzia kubattle mwanzo ili kudumisha amani humu ndani au sio mzee kwa sababu hapa mimi naonekana kama nacoz problemmer kibao

#98 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 26 September 2003 - 10:47 AM

Hiyo si neno Butcha sema tu nilishawahi ku battle na Hekima unda Tuffjam na hakuendelea tena na alishawahi kubattle na mdogo wangu moja na hakuendelea pia. Hata hivyo anza kwenye thread ile mchafuaji miye nitajibu.Hekima nakusubiri naoana Baruti zishaloa maji.
Knoka

#99 Guest_explo_*

  • Guests

Posted 26 September 2003 - 06:47 PM

knoka life yangu ni majanga, nachofanya ni kuyasimulia/
all day navuta ganja nigger stimu zangu unanipeperushia/
kwenye miondoko we ni mrembo be real vua hio sidiria/
mavesi utosini yamepangana moja baada ya moja nakushindilia/
serebuka na hili kwanja au zubaa upigwe loba kisogoni tukupumulie/
na rhyme so good mpaka sometimes nataka kujibatle mwenyewe/
haya ni mabazuka yatakupa kiwewe yatakupandisha mzuka we njuka/
ka panya buku nauma uku na puliza tuliza hicho kiviringo we kichabingo/
vesi zako nyepesi sikuoni kukujibu na type kwa mkono mmoja wa kushoto/
bugia huu uboo mong"onya ka umemeza msosi wamoto we mtoto woohh/
hiphop tuachie magangsters kata kiuno kacheze taarabu au bolingo/

#100 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 27 September 2003 - 07:21 AM

Mjawa wazi zako pungufu usiniletee kuzaa na paja ukabana/
Kama mibao ushanyukwa rupu lilo baki kujaa mipacha/
Nazagaa mraba wa eiffel tower mnara hutotikiswa uu kimnyapara/
Ni zako kunguni kujidai kachawa binjuka wangu hili tanda hujigamba/
Jibaba artist katika fani mfinyanzi.. kinyago wazi eye-line ebo lemba/
Ufanane nyani fanani zangu ni ngangari jitie kidomo chelechele ungali nakupepeta/
Tangu kulizwa kipenga umenijia dizaini kimeta/
Kilemba juu.. gangsta? Kidawa angalia utapewa?/
Anti Moodi hii wazi hapo nyuma unakipaji usijali wapo watao-upenyeza/
Changudoa bobea tu mlingoti hautobonyea koo ukilegeza ujikuta unamezea/
Kiboya-boya nimefloti juu ya Viktoria bila tone moja kunilowesha/
Miye siyo gansta rapa kama Toni Montana lakini utashangaa nakuchana-tana panapo-upara/
Mpaka Texas na huu wa tisa lugha bado inaringa ki-wanja/
We leta ngonjera namalizia kiganja umeotea kilianza kwa Bwana Masanja.

Nilikuonya Knoka nyoka na mbaya zaidi lakini.......mmmmhhh.
Knoka





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users