Nani anataka kipaji kikuwe aje
#61 Guest_RXPLOSIVES_*
Posted 17 September 2003 - 11:14 PM
#62 Guest_knoka_*
Posted 18 September 2003 - 05:50 AM
tuffjam a.k.a bwana masanja
#63 Guest_knoka_*
Posted 18 September 2003 - 05:52 AM
i'll murder u on both start shit.
tuffjam
#64 Guest_Knifebutcher_*
Posted 18 September 2003 - 11:13 AM
#65 Guest_HE.KI.MA_*
Posted 18 September 2003 - 12:19 PM
PA1
#66 Guest_ILLA_*
Posted 18 September 2003 - 06:45 PM
#67 Guest_knife butcher_*
Posted 18 September 2003 - 07:58 PM
Nimefikia kwenye level yangu kima huwezi ongea
kwa mafree style jibaba nimebobea
Kutonifesi mi k-bucha kila dakika unaombea
kama wataka vita jaribu nisogelea
raundi ya kwanza umewini lakini siwezi kukuita cleva
Nakurushia hivi vipisi ukipenda ita flava
zikiingia ubongoni zinapasua zako neva
sasa nipo fulkl gado undava undava
Nafyatua kombora uzito tani ndanui thread
kabla halijakupata nadhani utakuwa umededi
huwezi battle nami kipaji kama slimshade
barz zinapenya kama masikioni kama infrared
kila nikidaka kipaza nakupandisha midadi
Nipe dakika mbili nakufanyia onyama utadhani savimbi
Nakuonyesha kwamba kwenye game we bado pimbi
nakushindilia tu..hata illa akipuliza filimbi
kaa mbali hapa moshi ndio unafuka
fanya zindiko naibuka kama mzuka
pigo takatifu ndio sasa linashuka
likikupata nakuapia huwezi inuka
kunipa kO ni kama umechokoza
nakuattack kama dondoza
manundu nakuumua ulipoingilia nakuongoza
ukigoma nakutoa na bulldoza
#68 Guest_Knife_butcher_*
Posted 18 September 2003 - 08:07 PM
Twende verse moja moja raundi ya pili halafu watu wapige kura.Verse yangu hiyo hapo chini
Nimefikia kwenye level yangu kima huwezi ongea
kwa mafree style jibaba nimebobea
Kutonifesi mi k-bucha kila dakika unaombea
kama wataka vita jaribu nisogelea
raundi ya kwanza umewini lakini siwezi kukuita cleva
Nakurushia hivi vipisi ukipenda ita flava
zikiingia ubongoni zinapasua zako neva
sasa nipo full gado undava undava
Nafyatua kombora uzito tani ndani ya thread
kabla halijakupata nadhani utakuwa umededi
huwezi battle nami kipaji kama slimshade
barz zinapenya kama masikioni kama infrared
kila nikidaka kipaza nakupandisha midadi
Nipe dakika mbili nakufanyia onyama utadhani savimbi
Nakuonyesha kwamba kwenye game we bado pimbi
nakushindilia tu..hata illa akipuliza filimbi
kaa mbali hapa moshi ndio unafuka
fanya zindiko naibuka kama mzuka
pigo takatifu ndio sasa linashuka
likikupata nakuapia huwezi inuka
kunipa kO ni kama umechokoza
nakuattack kama dondoza
manundu nakuumua ulipoingilia nakuongoza
ukigoma nakutoa na bulldoza
#69 Guest_ILLA_*
Posted 19 September 2003 - 06:42 PM
"ya they hot,but i got dis mann"
ILLA a.k.a MACHO
#70 Guest_Knoka_*
Posted 20 September 2003 - 08:20 AM
Knoka
#71 Guest_Knoka_*
Posted 20 September 2003 - 08:22 AM
HE.KI.MA said:
PA1
Hekima ulikuwa unataka Knoka au Butcha? Kama ni miye poa tu anzisha nitajibu battle.
Knoka
#72 Guest_HEKIMA_*
Posted 20 September 2003 - 12:28 PM
Knife butcher said:
WEWE BUCHA NI CHA MDOLI KWANGU HATA KAMA TUKA-BATTLE AKA MBILI..
MC YEYOTE KICHWA ATAKUAMBIA HILO!! SIKUBANII-UKO 'TIGHT' LAKINI SIO KUSIMAMA NA MIMI...SOMA HIYO VESI YAKO MPYA ULIYOANDIKA TENA HALAF UI-COMPARE NA VESI YANGU YEYOTE KWENYE HII SITE HATA KAMA FREESTYLE..UTAGUNDUA BADO HUJAFIKIA KIWANGO...SIJITAMBI! NAKUPA UKWELI WA WAZI NA YEYOTE ANAELEWA MASHAIRI ATAKUAMBIA THE SAME SHIT..MIMINAWEZA KU-BATTLE NA WEWE MPAKA MWAKANI UKITAKA! BUT THATS FUKIN' BORIN! HATA WATU WENGINE WANABOREKA PIA!-OK? SOMA VESI YANGU YA MWISHO KWENYE BATTLE YETU..UTAJUA KWA NINI SITAKI BATTLE NAWE TENA! NA KAMA UTA-INSIST! BASI NITAKUPA USHINDI WA RAUNDI YA PILI..
PA1
#73 Guest_HE.KI.MA_*
Posted 20 September 2003 - 12:35 PM
NANOA MIKASI...TAYARI KWA UPASUAJI!!
WODI YA UPASUAJI
#74 Guest_ILLA_*
Posted 20 September 2003 - 12:59 PM
let the battle begin ya`ll
#75 Guest_[b]explosives [/b]_*
Posted 20 September 2003 - 04:48 PM
i bust ya al in ur head eeehhh eehh
cause explosive is on top of the game mmhh mhhh
knoka beter understand u mesin with insane/
i like imposing pain no one can fow wit my ocean mayne/
my words are divine i just want u to interpret the lines/
try and ill grapple an ax and hack at ya back til u haclke and crap/
put u in a coffin and split ya adams apple and laugh/
my flow is pure but concise ican flip everyone verse on a mic/
i was reading you guys verses and i pressed the x to close/
i spit rhymes that stupify and leave people with black eyes/
my rap is for the gangsters not for sweet litle ass like u/
told u before my mind works the same as domo chawa
fuck hard blasters all ya are cowards/
u will nead asychiatrist to interpret this lines/
hollaa back kid
#76 Guest_ILLA_*
Posted 20 September 2003 - 05:15 PM
"u couldn`t move ur tung in swahili language,
"how dare you coming wit dat weak assult"
"i am deef and you mute so shut ur bi-hoe"
#77 Guest_Knife Butcher_*
Posted 21 September 2003 - 08:05 PM
Hiphop falsafa huwezi jaribu ipamba
Kwenye thread tunachafuka na kupasuka msamba
ingawa una nyodo lakini haujashika namba
Katika fani sijawahi sikia umetamba
take care watu watakumeza na kukuharisha kimba
Endelea kuniona kinda lakini mimi ni simba
Kama hiphop imekushinda bolingo utaimba
We mchimba chumvi endelea tu chumvi kuchimba
huwezi nistopisha kwa kuongea sana pumba
Kujiona emcee bora nachukia hiyo kasumba
Hapa tunavuruga usitake leta uchumba
#78 Guest_Knoka_*
Posted 22 September 2003 - 03:49 AM
Now few warned u n***a… about goin’ against the dons level/
I’ll tear u jaws dangle throat an’ vocal cord snatched off/
Son when u talk u mumble like the flow above… “mchemsho”/
Paying attention I’d be broke/ cause half of it joke u rhyme fables/
X-plosives lyrics Jurassic.... park that shit next to "classics"/
Bus ur weak style.. “kiwete”?/.... u cant kick this shit like Pele/
Son vipi nilete?/
An’ leave u stuck like periods rag on ur girls “pepe”/
Blow lil’ grenade? my shit is napalm/ stay more than 2 miles…
Ur battlin’ me on land mines/ get torn to atom sized samples/
Have ur fam pick bits an’ pieces of ur face in your own feces"…
Dogo" my flow is no contest/ yours I repel like Gore Tex/
The bulletproof vest wears me n***a cause I scare bullets/
Think that u can f**k wit 9 inches in ya mouth thats hard as bricks?
An’ I ain’t talkin' bout no metal n***a/ its my hip level barrel…. (dick)/
If I squeeze… make ur brain spill send u to hell quick n***a/
Your kind I nuke sick…. wit noose around ya neck swing n***a/
Hard Blasters stands for breakin’ ass mushy pussies like u...
I ain't even got my crew/ still X’d ya bullshit out that ass dude/
Knoka's dick size enormous/ nuff ta fit tight ur esophagus/
Name ur fag styled verses crooked/ shit’s nonsense… your fam took it/
I see “ur shook deep”… J closed this like Z now watch the "blueprint".
Skillzonary
bus=bust or kick
feces=kinyesi
rag=tampon
set=crew u roll wit
X=X-plosives
fam=family
nuke=attack wit nuclear weapon
nuts=kende
pepe= spanish word 4 pussy
J=jamtuff
napalm =oxygen burnin’ bomb
Gore Tex=moisture repellant material
Illa embu niangalizie kama “lip-stik” imemka huyu mwali? Maana kwangu rhymes bado hajalemba. Who cant understand that nursery rhyme X-plosives… kwangu uu-kama kende... daima utakaa nyuma ya “mchuma” (sensored).
We “kibaruti” ntakutoa kweli baruti ukirudia weak rhymes zako … Hichi kina kirefu… “kwanza tazama au utazama”… Ur not in my rhyme level baby.. go back to ur cradle an’ learn 2 rock….. If I sit down I’m still 5 feet taller than u.Leta viji-rhymes vyako kwenye battle rhymes za kizungu, huko naua wenzako vile vile.
Usinitishie moto wa cheche miye.. maana hata fegi huiwashi.. talk about blow me n***a? Yeah “blowjob” maybe…….
Knoka
#79 Guest_Knoka_*
Posted 22 September 2003 - 03:53 AM
Now few warned u n***a… about goin’ against the dons level............
Hii ni rhyme kumlipa explosives.
#80 Guest_HESHIMU KINA CHA MASHAIRI_*
Posted 22 September 2003 - 09:27 AM
vina vinang'ara-makali kupita sime,aka kachalii bado kataka kanipime
basi njoo na rula...ujinyooshe baadae-nakupinda sura!
ni kichurachura-huku unapigwa kama 'kura' nakupa guu la..
ubongoni...vipi hautaki shindwa bwa mdogo-ulidhani koni?
nang'ara na upeo ukiniangalia tena hauni-ka ni lebo SONY!
sijitambi,ila ka vina ni utajiri basi mimi ninakitambi
hauko level yangu 'battle' nawe naona dhambi
ninakusamehe-ukilala naichoma kambi,nina HEKIMA kupita Gandi
kinabo usinichezee-unihofie ka wazee,usitake watu wakupepee
huna dili 'kichwa ngumu' we kwangu che! utaomba wakutetee
nakupa miujiza,nakupuliza-ukipanik nakutuliza
unaachwa umepooza kama maji kwenye freezer,'bado unataka dogo' nakuuliza..ukijibu nakoki vina kwa mafumbo nakumaliza!
ka mwanga unatandwa giza....
ni WODI YA KUPASUA, nakufumba kwa mafumbo na kukufumbua
nakutunga ka tungo na kukutungua-nje ya thread nakulipua!
muulize mkali wako ananijua,huwa nina-nasa vibao na kunasua
inabidi kujifua,kuhusu kukauka usihofu-nitakukamua
we ni Chipkizi BUSHA! Komando huwezi kumsumbua,utabaki unamafundo mwili mzima kama mua...
NB: nadhani umefurahi sasa,maana naona mambo ya mipasho yana-anza humu! anyway ulitaka vesi moja ya mwisho, well there u ve it!
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












