Jump to content


Nani anataka kipaji kikuwe aje


157 replies to this topic

#101 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 27 September 2003 - 11:22 AM

marekebisho........

Mjawa wazi zako pungufu usiniletee kuzaa huku paja ukabana/
Kama mibao ushanyukwa rupu lilo baki jua mapacha/
Nazagaa mraba wa eiffel tower mnara hutotikiswa upo kimnyapara/
Ni zako kunguni kujidai kachawa binjuka wangu hili tanda hujigamba/
Jibaba artist katika fani mfinyanzi.. kinyago wazi eye-line ebo lemba sawa?/
Ufanane nyani fanani zangu bin ngangari jitie kidomo chelechele ungali nakupepeta/
Tangu kulizwa kipenga umenijia dizaini kimeta/
Kilemba juu.. gangsta? Kidawa angalia utapewa?/
Anti Moodi ni wazi hapo nyuma unakipaji usijali wapo watao-upenyeza/
Changudoa bobea tu mlingoti hautobonyea koo ukilegeza ujikuta unamezea/
Kiboya-boya nimefloti juu ya Viktoria bila tone moja hata kunilowesha/
Miye siyo gansta rapa kama Toni Montana lakini utashangaa nakuchana-tana panapo-upara/
Mpaka Texas na huu wa tisa lugha bado inang'arang'ara ki-wanja/
We leta ngonjera ntamalizia kiganja umeotea kilianza kwa Bwana Masanja.

Nilikuonya Knoka nyoka na mbaya zaidi lakini.......mmmmhhh.
Knoka[/quote]

#102 Guest_HE.KI.MA_*

  • Guests

Posted 27 September 2003 - 12:32 PM

MIMI SIJAWAI BATTLE NAWEWE!!! SIJUI NINI UNAONGELEA...KAMA ULIBATTLE NA MIMI KINDA USINGEKUWA HAI SASA HIVI!!
HIYO BATTLE MIMI SIIJUI.ULIKUWA UNAJI-BATTLE MWENYEWE.
NA KUHUSU MDOGO WAKO 'MOJA', ALIPEWA FREESTYLE 'MOJA'-AKAKIMBIA MWENYEWE-MUULIZE KA UKO NAE KARIBU(HAPO ULIPO!).

NB:MALIZA BATTLE NA EXPLOSIVE...NIKUONYESHE 'WORD PLAY' DOGO...!

#103 Guest_knoka_*

  • Guests

Posted 28 September 2003 - 03:33 AM

Ulibattle na Tuffjam ambaye ni Knoka vile vile unakumbuka? angalia thread za nyuma zitakukumbusha. si lazima ni malize X-plosiv kishaloa maji sasa kijibomu, kibaruti kacheche hata fegi haiwashi. we anza nitabettle X-plo nawe kwa wakati mmoja stimu nyingi tu. Wa.....What.........

Knoka

#104 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 28 September 2003 - 04:40 AM

Haya hiyoooooo...........


Nichukulie msiri lakini wakilisoma kumbuka vyao kudadisi vichwa/
Mfinyanzi naanzisha battle na Hekima kupetapeta kinapkin ntakuzima/
Kama Biggie nilikupa "chance" kemkem la mkereketwa bado ukajipinda/
Wanipeta kiwinta wakati tuu kifriza we kinda hutomeremeta kivina/
Nisharoga roga vichwa vikaitika macho mekundu yaniviringa viringa/
Nibetulie tu hicho chako kibesi hutoringa zako nyepesi "rap singer"/
Endeleza kuchimba mpasuaji ntakulisha mizinga ya Mtikila/
Ukilihimili ntakuzidishia lita huu mwelekeo wako ustahili Muhimbili tiba/
Nakuzidi mipumzi kama kilomita mia uu mjinga kujiita "last" na ukashinda/
Utavimbaa mimba zangu ukashiba kina tafsiri rasmi utajaa pipa.

Knoka

#105 Guest_Knoka_*

  • Guests

Posted 28 September 2003 - 05:56 AM

Marekebisho............

Nichukulie msiri lakini wakilisoma kumbuka vyao kudadisi vichwa/
Mfinyanzi naanzisha battle na Hekima kupetapeta kinapkin ntakuzima/
Kama Biggie nilikupa " chance " kemkem la mkereketwa bado ukajipinda/
Wanipeta kiwinta wakati miye kifriza we kinda hutomeremeta kivina/
Nisharoga roga vichwa vikaitika macho mekundu yaniviringa viringa/
Nibetulie tu hicho chako kibesi hutoringa zako nyepesi " rap singer "/
Endeleza kuchimba mpasuaji ntakulisha mizinga ya Heiniken na Mtikila/
Ukiihimili ntakuzidishia lita huu mwelekeo wako unastahili Muhimbili tiba/
Nakuzidi mipumzi kama kilomita mia uu mjinga kujiita " last " na ukashinda/
Utavimbaa mimba zangu ukashiba kina tafsiri rasmi utajaa mpipa.

Knoka nyoka tu...... sumuuuuuuuuu....

#106 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 29 September 2003 - 12:24 PM

Kwanza kabisa,kuhusu battle yako na Explosives..mimi kura yangu nampa Explosives tokana na sababu zifuatazo:

1: Knoka haueleweki mambo unayo-andika..kama ndio word play yako..well then its WACK!

2:Kiswahili chako kimepitwa na wakati..una-complicate mambo ili uonekane uko kina as a result,unarudi tena kwenye namba 1

3: nakumaliza!!

We kwangu ni kibibi, jifanye kichwa ajuza nikuvike wigi
uje na vijiji-kwa mkupuo niwafulike ka Rufiji
kwa HE.KI.MA huleti ligi…
nakubandua kwenye ‘HARD-BLASTER’, nakuchana nakukupa PLASTA
achana na hili chata-ni Professa aliyedata
msiniletee viburi- mdogo wako (1) nilimgawa kwa sifuri
hayo mashairi yako mazuri-napigia Puli! Nakutwika vina kwa magunia kama kuli-huwezi hii shughuli…
umepitwa na wakati, unayepigana nae vichwa sio mtu –NYATI!
ka chapati-nikikupitia nakuacha flati,utashindwa shika shati
kwa maneno-nakuvunja meno-nakuacha na nderemo..
naheshimika ka vimemo-siishiwi na misemo-naleta mitetemo!!
uwezo wangu ni pekee-sina mwenzangu, kwenye level yangu bwa mdogo niko peke yangu ,sikuanza leo-njuka muulize ‘tangu’ ka hauna upeo hauelewi vina vyangu...
Njoo na tuff-jam,masanja…kwa panga wote nawachanja
muadithie na Knoka pia-muanze andaa matanga,hamgusi hizi anga
mje mande niwachange ka napika kande,ni makali ya ‘jua la bongo’ wewe kwangu ni ‘umande’ nakuchana nusu, nduguyo nampa kipande……njooni niwapange!!!

nb: its on!!

#107 Guest_EXPLO_*

  • Guests

Posted 29 September 2003 - 09:02 PM

si utani knoka anachoandika simuelewi anazungumzia yupo texas
kwani anadhani mimi niko wapi( NEWYORK) nigger, since 1998 na swahili slang hainipigi chenga u r simply mchovu.
and im done with u nigger.

#108 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 02 October 2003 - 07:06 AM

Oya hek,
wat`s e-mail dawg,need to holla something,
Got work!

ILLA a.K.a MACHO
"wajulishe"

#109 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 02 October 2003 - 12:21 PM

hekima_asilia@yahoo.co.uk

PA1

#110 Guest__*

  • Guests

Posted 02 October 2003 - 12:23 PM

HEKIMA said:

hekima_asilia@yahoo.co.uk

PA1

kati ya hekima na asilia kuna underscore..
yaani hekima_asilia

#111 Guest_foresight_*

  • Guests

Posted 02 October 2003 - 02:12 PM

dah!!battle ilikuwa ngumu!!!!lakini hekima safarii hii alikuwa hafanyi upasuaji alikuwa ana chinja na kukata kata!!!!big up hekima...keep it movin' blood!! i officialy present the crown to you!!!peace

#112 Guest_EXPLO_*

  • Guests

Posted 02 October 2003 - 10:40 PM

NASUBIRI KINDA MWINGINE AINGIE MTEGONI NI MRARUE.
BUTCHER = :lol: KISU BUTU
ILLA = MTOTO DOGOu
HEKIMA = JIHADHARI.
NA HUYU WAKUITWA FORESIGHT MACHUCHU YAKE BADO SAA SITA AU VIPI? :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil: :evil:

#113 Guest_knoka_*

  • Guests

Posted 03 October 2003 - 07:15 AM

EXPLO said:

si utani knoka anachoandika simuelewi anazungumzia yupo texas
kwani anadhani mimi niko wapi( NEWYORK) nigger, since 1998 na swahili slang hainipigi chenga u r simply mchovu.
and im done with u nigger.

Try 1994 explo thats 4 more years huh?
knoka

#114 Guest_HEKIMA/CHINJA-CHINJA_*

  • Guests

Posted 03 October 2003 - 10:41 AM

WEWE bado SANA...KAMA UNATAKA FURAHA YAKO IFIKE MWISHO-NIGUSE!!...KINDA WE!! DON B GETTIN' OVER EXCITED..!
ETI JIHADHARI...FROM WOT.KIWASHE NIKUMALIZE !!!!!!!!!!!!!

NB: 'SIGHT' I like the nu name..!think I'll keep it!!

#115 Guest_K_bucha_*

  • Guests

Posted 05 October 2003 - 01:20 PM

Explo emcee mwenye kipaji chipu
Huwezi battle nami sababu hauko diipu
Vibomu vyako navipasua kama majipu
Nakuchana na butu kisha nakutundikia dripu
Nishakunywa maji ya hardcore wewe bado wapiga visipu
kama uko idle..busy nitakukeep
barz zako lelemama ni kama thread unabeep
kupewa ushindi wa chee na bichwa linavimba
unamgusa k_bucha...huku ngonjera unaimba
ntakupakata kisha ntakufilimba............

#116 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 05 October 2003 - 04:28 PM

Wewe expl,,usipende kuchonga sana dogo,,unakitu alafu unajisifu,,,sasa basi kwanza naacha k-b akualibu alafu mimi nitamaliza mchezo,,,
"ILLA a.k.a MACHO"

go

#117 Guest_knife butcher_*

  • Guests

Posted 11 October 2003 - 09:10 AM

vipi emceez mpona mmenyamaza
na battle ndio kama vile imepoza
msikalie vipaji lasivyo vitaoza
Njooni lukuki k-bucha nawachokoza
wapi explo,knocka na hekima wa upasuaji
Ukipasua ni kama unafanya mauji
:roll: :roll: :roll:

#118 Guest_TZboy_*

  • Guests

Posted 23 October 2003 - 04:29 PM

Knife butcher said:

Mc gani yuko yuko fiti kubattle
Kama samaki mimi papa wewe sato//
Anza vita nikotoe mnato//
Fuata barabara kinabo masela tunakula mkato//
Pima uwezo wako sio unakuja kiminyato//
mc Nangara pamba,bling bling na manukato//
Ndani ya fani mambo ndio yamekucha//
usinchezee mi ni idi Amin aka Knife butcher//
Nachinja wabaishashaji wenye ndoto za alinacha//
katili roho ngumu kama sani abacha//
Explosive usije moto fani utaikacha//
ujinga wako nilizani umeshaacha//
kumbe bado pumbavu usie na mwelekeo//
Punguza matusi tuipeleke fani kileo//
OH WELL WE ZUMBUKUKU MIE NITAKUWA KIBORO CHAKO/KNIFE BUCHER
KWASABABU NAONA UMEJICHOKONOA MKUNDU SANA NAKISU HICHO
HAVE NO DOUBT NO SHAKA,SATISFACTION UTAPATA HAPA
SEE UNAONA DAWA YA MCEE ANTIMUDII NIKUMFINGER FUCK KISHAATATULIA
SIMADEMU TU BALI KUNA WANAUME WANAO ACT SHADY
WANATAKA BOO WALI NYOEYE HEMBU,PANUA NIKUSOKOMEZA KIJIITA
HIVI NDIVYO TUNAVYO WA MODA WASENGE WANAOPENDA UJIKO

#119 Guest_Knife butcher_*

  • Guests

Posted 24 October 2003 - 10:49 AM

ngoja niulize mbona waingia kwa pupa
au unafikiri mambo humu ndani yako supa
Ntakusukumuia mboo mkunduni nikuvunje mifupa
Pima uwezo wako kabla mawe ujaanza kutupa
Raundi ya kwanza umeanza na nyingi soga
na hii inanipa wasiwasi kama wewe ni shoga
mikogo mingi unatafuta bwana wa kumkoga
Mpaka nikufire ndio ujue kwamba fani inanoga
huwezi battle na mimi rudi jikoni kapakue mboga
ukizidi baki humu ndani nazani utarikoroga

#120 Guest_EXPLO A.K.A SNIPER_*

  • Guests

Posted 25 October 2003 - 11:12 AM

HIVI KWELI MLIZANI EXPLO ATAKUACHENI NA NYEGE BIN MIDADI
NA SPEND TIME KIDOGO NA WHITE WHORES SASA MNAJIFANYA MARIDADI
NO, NA SASA NAWAJIA KINGANGALI YANI KAMILI GADO NAWAAHIDI
NAWAONA MNA YUMBAYUMBA MWENZENU NIKO WIMA YANI STEDI
THIS TIME NAFANYA KWELI KWA YEYOTE ATAKAYE JIPENDEKEZA
KWANI MITAA HII MBWA WAKALI MSIBUGI STEPU
:evil: SO ANY NIGER WANT TO BE MURDERED HOLLA BACK AT THIS :evil:





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users