Nani anataka kipaji kikuwe aje
#1 Guest_ILLA_*
Posted 18 August 2003 - 07:37 PM
nani anataka kipaji kikuwe, aje kubattle na mi,
whoeva can step in do it and when you open this topic feel like replying do reply in verse, dont wanna talk ight..
#2 Guest__*
Posted 19 August 2003 - 02:41 AM
EXPLOSIVES
#3 Guest_HEKIMA_*
Posted 19 August 2003 - 10:57 AM
PA1
#4 Guest_ILLA_*
Posted 19 August 2003 - 04:26 PM
#5 Guest_EXPLOSIVES_*
Posted 20 August 2003 - 12:13 AM
ONCE AGAIN BAHASHA WENU NAWATULIZA
KAMA MNATAKA NIWATONGOZE KISWAHILI HAISUMBUI
"USIGUNE NIKIWA NAKUSUKUMIA MIMBEGU YA KIUME MKUNDUNI MWAKO
KWENYE HII FANI YA KIUME MIMI NI MWALIMU WAKO
HABARI HIZI ZIKUFIKIE CHOKO ILLA NA MASHOGA ZAKO
NILIANZA KU SPIT TOKA ENZI HZO UKINING!INIA KWENYE PUMBU ZA MZEE WAKO
KWANZA JIFUNZE KUTUNGA MASHAIRI KABLA UJAOMBA KU BATTLE NA EXPLOSIVES
#6 Guest_Knife butcher_*
Posted 20 August 2003 - 08:26 PM
Kama samaki mimi papa wewe sato//
Anza vita nikotoe mnato//
Fuata barabara kinabo masela tunakula mkato//
Pima uwezo wako sio unakuja kiminyato//
mc Nangara pamba,bling bling na manukato//
Ndani ya fani mambo ndio yamekucha//
usinchezee mi ni idi Amin aka Knife butcher//
Nachinja wabaishashaji wenye ndoto za alinacha//
katili roho ngumu kama sani abacha//
Explosive usije moto fani utaikacha//
ujinga wako nilizani umeshaacha//
kumbe bado pumbavu usie na mwelekeo//
Punguza matusi tuipeleke fani kileo//
#7 Guest_ILLA_*
Posted 04 September 2003 - 06:16 PM
knife sizani kama unajitambua,
mi ni kama mualimu,
tafuta swahili upewe jibu,
we na ma-bling yako,
kama giza lipo sizani kama una-appear,
mi kama kipofu halafu unajaribu kunionyesha muhandiko wako,
uwezi kunizuia hatakama we ni zima moto na-me niko on fire,
mawazo yako ndiovyo yanavyo kudanganya kwamba unaweza kubattle,
usijalibu kujibu kwasababu utajukuwa round dogo,
mida
#8 Guest_knife_butcher_*
Posted 05 September 2003 - 07:58 PM
Mc unaspit utumbo hapa utasiliba
Fani inahitaji wenye vina vilivyoshiba
Naongea lugha ya kiemcee huwezi kunielewa
nikitupa mawe nakuacha umelewa
Kipaji kimekomaa kama kubattle umechelewa
humu ndani hakukaliki jibaba nachafua hewa
Vichwa panzi hapa vyote vinachezewa
#9 Guest_HEKIMA_*
Posted 06 September 2003 - 02:03 PM
natupa vina vyenye uzito wa ngumi ya matumla
nakuacha umefleti,nabeba tani mbili na nusu kwenye kila beti
kabla ya ku-battle na MC kwanza namuomba vyeti
kisha nampeleka hospitali wakamcheki..
natema ‘pumu’,nakunyima hewa kabla ya kukuhukumu
ujumbe sumu-nachakaza ‘vichwa’ kupita athari za ndumu
-nalainisha wagumu
ni upeo wa malenga wawili waliofufuka,kina usipoelewa pia akili inakuruka
vina ni masumbwi hata nikukose-unaumuka,inapobidi-upeo ka rababendi watanuka....sio utani NINANUKA..!
sina kikomo-fikra ka rababendi zatanuka…we leta za kinjuka!
Waniita HEKIMA ama Wodi ya Upasuaji, nachana ma-MC kwa makali ya kipaji,nageuza ‘hardcore’ MCz kuwa waimbaji…soma hii dibaji
nje ya ‘room temperature’ tungo zageuka Radi!
Ubongo unachochewa na mmea siishiwi chaji…battle uwe hayati!
sifa yangu ni ‘uchanaji’ na ni katikati, ujumbe wabadilika na mazingira ka nishati,ka sikosei ni aka mbili mbele ya nyakati….ni kheri ule bati.. kimtindo-hii staili ngumu ka mpingo,nabeba uzito wa album mbili kwenye singo,leta upinzani Kidume nikufanye windo-ukatwe shingo-nadili na vichwa ka utingo...
#10 Guest_ILLA_*
Posted 07 September 2003 - 04:39 PM
round hii simpii muda wa kuhema wala kustep,
uwazi na ukweli umeshazibitisha una force mchezo,
kama hii no soccer basi we ni mpila,
ujakoma illa tuu ni kiburi chako,
nasikia umesha kuwa sh.oga,
toka ni kurushie maawe,
unahema kama ujawahi kusikia moto,
#11 Guest_explosives_*
Posted 07 September 2003 - 07:18 PM
explosives nawatuliza illa, hekima na knife butcher/
mic napasua nikiwa mitamboni ma mcee wanauma ukucha/
pangeni foleni mmoja mmoja nitawachambua kama mchicha/
kiulaini sela linatambaa linawaacha mnakuna vichwa/
mabinti wazuri kama nyinyi ntanifanya niwabake alafu niwapige picha/
mimi ni jack the ripper kama wewe ni knife butcher/
i spot phoneys miles away[/i]
#12 Guest_Knife_butcher_*
Posted 08 September 2003 - 01:58 PM
Nichambue yupi real yupi katuni
Wengi mwarapu bila kuelewa huu utamaduni
Explosive take care bomu litakulipukia mkononi
eti wajita kidume wakati umejaza shanga kiunoni
Narusha punch nzito zaidi ya tyson
Navunja bila kusita mic ikikaa usawa wa mdomo
uwezo wangu wa kuchana hauna kikomo
kama hujui nini rapu nini hiphop kula nyomi
ukibattle na mimi nakuacha umelowa jasho tepe
hizi rymes za moto dogo usilete mapepe
Naleta propaganda namwacha wodi upasuaji ameganda
Hajui la kufanya anabaki anaranda randa
Wababishaji naona sasa homa zinapanda
Vipande vizito mnadaka kama manyanda
Nipo stable kwenye game emcee usijifanye umepinda
upende usipende fala hapa utanyoka
illa jibaba kwangu una hoja
kula kona kwenye cyber nini unangoja
tangu poster ya kwanza naona vyako vioja
Nataka kubatlle na real emceez sio wanaojikongoja
nadhani hapa mmenielewa nini nasema
matapishi yangu mtakula hamuwezi kutema
#13 Guest_HEKIMA_*
Posted 08 September 2003 - 04:07 PM
Oya!!
Dogo,huna beti na hilo jina lako pia FEKI!
kumtaja HEKIMA kwenye vina vyako ni misteki
nitachofanya next time ni kukunyang'anya vyeti
siwezi battle nawe,unavyoandika havieleweki
hata kukujibu sio utani ninaona uzia
kama ulivyoambiwa,hilo Bomu litakulipukia
haugusi level yangu hata kama ukarukia
ukileta mapambano,poa! utafanywa mfano
vina ni masumbwi nilishasema-ni kibano!
kachukue wengine kama wewe-muwe watano....
KINDA MANYOYA WE!!
U can spot phoneys from a distance,how come u cant spot ya self-right next to u??!....FAKE ASS!!
#14 Guest_HEKIMA_*
Posted 08 September 2003 - 04:36 PM
Nawewe njuka pia nakuona bado unaota
endelea kujikongoja,nimeweka Nukta utapogota
Bado haujakoma?? ruka-ruka..kwangu mweupe kama foma
una mapepe,tangu umekuja ninakuona..
battle hutohimili bwa mdogo-utakula Kona!
utavyopasuliwa,hakuna dokta ataye-kushona
nyie manjuka..wabishi! mnakuwa mbona..??
Wajifanya unabesi..wakati unatema gesi
hivyo vina ni vyepesi na vitamu ka-fenesi
Pumbaf kama wewe ndio wanaonipa kesi
unadonyoa-donyoa..dogo unashindwa kuni-fesi
hakuna kizito hata kimoja..kwenye hizo vesi....
Njoo nikuchane,nikufanye huo mdomo na kinyeo-vikutane
KINDA MWINGINE WE!!
#15 Guest_ILLA_*
Posted 08 September 2003 - 05:08 PM
#16 Guest_Knoka_*
Posted 09 September 2003 - 02:02 AM
Makinda waje... kimila kaa mmakonde… ntachanja pande/
Butcher...mfano kipa-nyuma-ya-lango/uhakika ntafunga bao..kimande/
Mafinga.. gumba zote natinga kina hapo unyapo.....
Hii kambi una-rap kimwali/style yako "naiozesha".. kunuka mimavi/
Butcher ni wazi uu-level ghani/kwa bwana Masanja uu kimo ardhi/
Wapi “Knife” butu kunitisha makali?/yako style mandhari ya joto bar’di/
Pima wangu wewote mstari/unakuta nakutwika tani.. robo ngangari/
Robo tatu baki ni madongo “standadi”/
Mfano wa zogo katika rhymin' una gongo? miye ntashika “gani”/
Hatupimani “size” wangu miye "flow" chakali/
Badili zako zilipendwa hapo zakale.
Knoka a.k.a tuffjam
#17 Guest_Tuffjam_*
Posted 09 September 2003 - 02:42 AM
knoka
#18 Guest_tuffjam_*
Posted 09 September 2003 - 02:51 AM
Knoka
HEKIMA said:
Nawewe njuka pia nakuona bado unaota
endelea kujikongoja,nimeweka Nukta utapogota
Bado haujakoma?? ruka-ruka..kwangu mweupe kama foma
una mapepe,tangu umekuja ninakuona..
battle hutohimili bwa mdogo-utakula Kona!
utavyopasuliwa,hakuna dokta ataye-kushona
nyie manjuka..wabishi! mnakuwa mbona..??
Wajifanya unabesi..wakati unatema gesi
hivyo vina ni vyepesi na vitamu ka-fenesi
Pumbaf kama wewe ndio wanaonipa kesi
unadonyoa-donyoa..dogo unashindwa kuni-fesi
hakuna kizito hata kimoja..kwenye hizo vesi....
Njoo nikuchane,nikufanye huo mdomo na kinyeo-vikutane
KINDA MWINGINE WE!!
#19 Guest_tuffjam_*
Posted 09 September 2003 - 02:55 AM
Knoka
Knife_butcher said:
Nichambue yupi real yupi katuni
Wengi mwarapu bila kuelewa huu utamaduni
Explosive take care bomu litakulipukia mkononi
eti wajita kidume wakati umejaza shanga kiunoni
Narusha punch nzito zaidi ya tyson
Navunja bila kusita mic ikikaa usawa wa mdomo
uwezo wangu wa kuchana hauna kikomo
kama hujui nini rapu nini hiphop kula nyomi
ukibattle na mimi nakuacha umelowa jasho tepe
hizi rymes za moto dogo usilete mapepe
Naleta propaganda namwacha wodi upasuaji ameganda
Hajui la kufanya anabaki anaranda randa
Wababishaji naona sasa homa zinapanda
Vipande vizito mnadaka kama manyanda
Nipo stable kwenye game emcee usijifanye umepinda
upende usipende fala hapa utanyoka
illa jibaba kwangu una hoja
kula kona kwenye cyber nini unangoja
tangu poster ya kwanza naona vyako vioja
Nataka kubatlle na real emceez sio wanaojikongoja
nadhani hapa mmenielewa nini nasema
matapishi yangu mtakula hamuwezi kutema
#20 Guest__*
Posted 09 September 2003 - 11:06 AM
Knoka said:
Makinda waje... kimila kaa mmakonde… ntachanja pande/
Butcher...mfano kipa-nyuma-ya-lango/uhakika ntafunga bao..kimande/
Mafinga.. gumba zote natinga kina hapo unyapo.....
Hii kambi una-rap kimwali/style yako "naiozesha".. kunuka mimavi/
Butcher ni wazi uu-level ghani/kwa bwana Masanja uu kimo ardhi/
Wapi “Knife” butu kunitisha makali?/yako style mandhari ya joto bar’di/
Pima wangu wewote mstari/unakuta nakutwika tani.. robo ngangari/
Robo tatu baki ni madongo “standadi”/
Mfano wa zogo katika rhymin' una gongo? miye ntashika “gani”/
Hatupimani “size” wangu miye "flow" chakali/
Badili zako zilipendwa hapo zakale.
Knoka a.k.a tuffjam
wajiita knocka a.k.a tuff to tha jamm
Narespect level yako ya ufahamu
kumbuka walimwengu wanasemaje
mzarau mwiba inakuwaje?
Nakotoa kamasi ingawa ulikuwa kinara hapo zamani
Mistari yako tani yangu haipimiki uzani
kama unajiamini ingia uwanjani
Nakula sambamba na vina muulize fanani
Mimi ndio nabii nakuja kuokoa fani
Nachambua mbabaishaji ni nani
Na nani ni Mc aliye makini
katika kuchana silaha yangu ni mic
Tukiingia ulingoni napora wako mashabiki
flow yangu jibaba haikamatiki
Naleta mapinduzi mbona haufikik
eti kisu butu labda una makengeza
We tupa mawe mi njia natengeneza
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












