toka enzi za alpacino mpaka era za serghinio
watu wanalia hana rhymes aliuwawa na aka smokinio
unaandaa mazishi ama nisha kuua
si vidole vyangu vitano vilikubana koo ukaacha kupumua
leo nakuteketeza na kukuacha uliposimama
ndo ujue dunia si baba si mama
kenya wanan'gota mbaya bongo wananiaminia
ju ya mistari imekunjwa braza masela wako wananifagilia
mizani toka kwa friji kaka zitakuchoma
sijui niendelee...hapana nitakoma
alpacino potelea pote shindwe!!!!!!!!!
Started by smokey, Apr 27 2006 12:18 PM
No replies to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users












