OYA VICHWA!
#1 Guest_HEKIMA/WODI YA UPASUAJI_*
Posted 08 August 2003 - 11:49 AM
ni hivi, Mi na-anzisha vesi naandika mistari kadhaa...halaf Mc mwingine anatakiwa kuiendelezea pale nilipoachia,na mwingine hivyohivyo-inakuwa vesi moja ndefu iliyochongwa na vichwa tofauti...SIO BATTLE!
unachotakiwa kufanya ni ku-quate kwanza Vesi ya juu halaf kwenye comment unaiendelezea pale iliposhia..kimtindo wowote ule..ilimradi ionyeshe link na Vesi ya juu(sio lazima uendeleza kina cha juu,ila kama utaweza itapendeza zaidi)..
NB: ALCAPAINO nakuamini on this one,na machizi wengine WOTE!
mi naanza hivi..
oya!
nacheza na maneno,nayafanya ninavyotaka
naweza kukusifu ukajastuka nakupaka
nachana ma-MC na kuwashoneshea vilaka
wanazimwa moto wakijifanya wanawaka..
#2
Posted 09 August 2003 - 03:46 PM
sichagui wa ku-battle nae awe m-dada ama m-kaka
nambeba mzogamzoga na kumtokomezea kwenye kichaka
namtua kwenye takataka na kumtenda navyotaka
kwa hiari yake mwenyewe akigoma nambaka
'Good Idea Hekima'
alcapaino.Mg
'the Most Illest 1'
#3
Posted 11 August 2003 - 03:51 PM
ni battle kwa yeyote, hata polisi wakitaka
kwa vile nipo stimu, wanadhani watanidaka
nawapiga kwa vina,sio mangumi motherfucker
#4 Guest_HEKIMA_*
Posted 12 August 2003 - 12:39 PM
ka vina-madini,migodini vinasakwa..
basi mi Askofu-maana ninatoa sadaka
wezwa elimishwa au pumbazwa-utavyotaka
weza lewa pia, ni ka Gongo yenye ulaka
njooni tuwale nyama Jmosi ya Pasaka..
lazima waheshimu,kwenye hii fani watu tuko miaka
#5 Guest_noto_*
Posted 13 August 2003 - 12:04 PM
Rusha microphone kihuni naidaka
Ukibattle na mimi nakuacha nyakanyaka
Bling bling mwili mzima nawaka
kutoka bongo mpaka states mbuga naruka
Endeleza gurudumu kabla wachovu hawajastuka
#6 Guest_HEKIMA_*
Posted 13 August 2003 - 02:15 PM
tunamwaga dam,twaacha thread imechafuka
'stimu' zinapanda huku 'utu' unashuka
akili imesharuka,tuko tayari kulipuka
ndimi zimekokiwa,vina vyafyatuka..
mnaona hii bluu,nitampa atakaye-amka
#7
Posted 03 September 2003 - 06:18 PM
yaani kwa wiki moja tu, utafikiri bao la punyato
au cafe gharama, kimeshakata chenu kipato
tunawahitaji humu ndani, msiikimbie lyrical battle
The Cumin Soon Nigga
'the Most Illest 1'
#8 Guest_kNIFE_BUTCHER_*
Posted 03 September 2003 - 08:31 PM
knife_butcher nimedata majibu yangu mkato mkato
Huu moto kaa mbali usijaribu kubattle
Nakuja resi kama space shuttle
usilete ushindani wewe kwangu ni kama kibito
We mlalahoi mi kingunge bin kizito
Mc najipigilia Timberland we unavaa kito
Bling bling zimezagaa mwilini uzani mzito
#9 Guest_Tuffjam_*
Posted 04 September 2003 - 08:34 AM
N'cheki.. n'mevaa gadhabu, kaa kovu na binti mjando,
Kanyimwa raha? Lakini kwangu, n'kimtanda.. kudata kando,
Aitwa Kipaza bin Sauti, kajitambulisha hapo mwanzo,
Tangu hapo kaa kinyago, namchonga nikipata wazo,
Niite Knoka au TuffJam, huyu mrembo sa' zoza lako.....
#10 Guest_HE.KI.MA_*
Posted 05 September 2003 - 01:12 PM
natupa vina vyenye uzito wa ngumi ya matumla
nakuacha umefleti,nabeba tani mbili na nusu kwenye kila beti
kabla ya ku-battle na MC kwanza namuomba vyeti
kisha nampeleka hospitali wakamcheki..
natema ‘pumu’,nakunyima hewa kabla ya kukuhukumu
ujumbe sumu-nachakaza ‘vichwa’ kupita athari za ndumu
-nalainisha wagumu
ni upeo wa malenga wawili waliofufuka,kina usipoelewa pia akili inakuruka
vina ni masumbwi hata nikukose-unaumuka,sio utani NINANUKA..!
sina kikomo-fikra ka rababendi zatanuka…we leta za kinjuka!
Waniita HEKIMA ama Wodi ya Upasuaji, nachana ma-MC kwa makali ya kipaji,nageuza ‘hardcore’ MCz kuwa waimbaji…soma hii dibaji
nje ya ‘room temperature’ tungo zageuka Radi!
Ubongo unachochewa na mmea siishiwi chaji…battle uwe hayati!
sifa yangu ni ‘uchanaji’ na ni katikati, ujumbe wabadilika na mazingira ka nishati,ka sikosei ni aka mbili mbele ya nyakati….ni kheri ule bati.. kimtindo-hii staili ngumu ka mpingo,nabeba uzito wa album mbili kwenye singo,leta upinzani Kidume nikufanye windo-ukatwe shingo-nadili na vichwa ka utingo...
#11 Guest_ILLA_*
Posted 05 September 2003 - 05:16 PM
we sio hata mgumu kama nilivyo zani mwanzo,
eti umesha anza kutambaa,
mimi kama mualimu tafuata swali,
uwezi kwenda sambamba na mi,
na weka vina wazi kisha na kuchana kama toilet-pepa,
kama hii ni wodi basi nikisha maliza hapa lazima hu-end-up "ER",
nakujulisha kisha na kubasua bila kukupa ganzi,
natoa mstari kiasi kwamba una chansi mshikaji wangu,
wajulishe-----------
#12 Guest_HE.KI.MA_*
Posted 06 September 2003 - 02:11 PM
'anataka kipaji kikue' kama ulivyoandika wewe mwenyewe...
Lazima kuwe na mpango unaoeleweka...namna gani inakuwa HAILIPI!
PA1
#13 Guest_ILLA_*
Posted 06 September 2003 - 05:00 PM
{sintabadilika oops sintarudia}
#14 Guest_the ambax_*
Posted 28 September 2003 - 04:19 PM
na kama hakunalawama basi hakuna kutupana.....
vichwa vinapo ungana jua shatani ataungama....
alpainao mwana mtwana kipaji wakipaka laana...
hutaki kuoa dhana redioni tukupe maana.....
tukutunze mwana ishana kwa fedha hata fulana...
to be cont....
#15 Guest_the ambax_*
Posted 28 September 2003 - 04:21 PM
na kama hakunalawama, basi hakuna kutupana.....
vichwa vinapo ungana jua shatani ataungama....
alpaino mwana mtwana kipaji wakipaka laana...
hutaki kutoa dhana redioni tukupe maana.....
tukutunze mwana ishana kwa fedha hata fulana...
to be cont....
#16 Guest_the ambax_*
Posted 10 November 2003 - 06:26 PM
bithes were hokked up with ma sweet melodies fascinating like wine...
i remmember once upone time i got mail from shania twine...
she was confused wanted to kno everything of mine....
oooh ma ma ma ...she heard ma track n said its sounds so fine...
one time one time.....
kila napongaza naona ma feck mceez...
wannatoa pumba wamejaa kasumba...sijui wanarhumba?...ah kumamazao bila shaka ni wachumba...one time nataka ni wape vitu kama vya maumba :shock:
#17 Guest__*
Posted 11 November 2003 - 09:30 AM
#18 Guest_knifebutcher_*
Posted 11 November 2003 - 09:30 AM
#19 Guest_the ambax_*
Posted 12 November 2003 - 10:34 AM
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













