Jump to content


Intro_ contn


4 replies to this topic

#1 Depressado

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 16 posts
  • LocationDar es salaam, Sinza

Posted 21 March 2006 - 10:05 AM

uhuru tano kuwapa ukweli hao kunguru
kwao ndondo si chururu
wanakuja matako juu juu
nani anataka maji taka
hasa usawa huu
wanaongea madudu
noshobo, vinamna nge
si watu wa vitobo nyie waseng**e
mi zaidi ya msafiri ikibidi mkafiri
maskani chumavisi sinza
mwashahiba washikaji kikosi
si watu wa force bali wa kutoa dozi
zaidi ya mikosi ukija unakula nddo ya utosi
kwa nyie mabitozi
Option for Action

#2 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 01 April 2006 - 11:08 AM

FALA WE MTOTO KIAKILI UMELALA/
AMKA WE MTOTO KIMASHAIRI BADO UMECHALALA/
UNAJIFANANISHA NA BEN MWALALA/WAKATI MI NAKUONA KA JIVU LA SIGARA/
ACHA MASIHARA/
UNAENDELEA NA FORUM UCHWARA/AFU INAONEKANA UMEZOEA KUPIGWA KIPARA/
BATTLE FIELD HUWEZI MI NDO MKWEZI/NAENDELEA KUKUPIGA KWENZI/
SHENZI -NAKUPAKA AFU NAKUCHAPA/VILEVILE NENDELEA KUKUSAKA/
KICHAPO POPOTE ULIPO/KIBANO NA MIFANO YA MICHANO/
JUU KWA JUU NATAMBAA KA KICHAA/
MSELA WA MTAA/SHUJAA/
NAZIMA NA KUWASHA MSHUMAA/
WE ENDELEA TU KUSHANGAA/MAISHA HAYA

#3 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 05 April 2006 - 08:10 AM

STREEThustlar,kama kung fu hustlar,
naishi hii haina ubishi,UTAHIRA sihalalishi,
WEREVU sibishi,mzushi,umekaribisha mazishi,
wako utashi,wahitaji marashi ya dira,
shetani kakwara,yako akili mara hasara,
hiki king'ora,ona nakupora ujasiri,
unaomba nikusitiri,
HUU UFAHAMU,UTAHARUBU,
YAKO CELLEBRUM,BORA USTAY CALM ,
AU BASI KUWA CHAM,
UNAPENDA VITAM,MGUM.,UNANITUHUM,
UMEKARIBISHA HUKUM,
ogopa bado nakuja!!!!!!!!!pewa
ona unachuja!!!!ryme si ngekewa
elewa!!NON-SHOBOZ zidi kuwa!!!!!!!
[/b]
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#4 Depressado

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 16 posts
  • LocationDar es salaam, Sinza

Posted 29 April 2006 - 06:57 AM

hii ni dhahama kwenu/ watoto wa mama/
hiphop ladha /sikilezini nyie vilaza/
niko uwanjani/ katikati dimbani/
nathaminisha mistari/ yenu isiyo thamani/
mnsema sana mnakimbia,/ post reply mnashindwa kutoa/
mnaniboa/ mi nakuja hatua kwa hatua/
mkistukia mgongoni/ nyuma nawahemea/
ikibidi wazungu nawatoa,/kwenye ndogo nawamwagia/,
watoto wadogo ,a/kili hazijakomaa kibongo/
toeni kwanza tongotongo/
nini ben mwalala mi napiga bao /kama robert sentogo/
Option for Action

#5 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 31 May 2006 - 03:51 PM

MISTARI urari,nd'o wangu dalali
nna fury ya bull,nadhuru mc batiri
pilipili, ikupayo ugirigiri,kandiri,
kwa jahiri,uone ukweli,unapatwa beriberi,
kwa hizi tungo katili,depressado
bado 1-2bado,kisado mashairi robo,
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users