Jump to content


ANY KENYA MC WANNA BATTLE IN SWAHILI???


58 replies to this topic

#1 Guest_HE.KI.MA_*

  • Guests

Posted 19 July 2003 - 11:11 AM

Yoh!! I wanna extend some bounderies,I know Kenya(Swahili Mcz) are tight.. so if any of y'll iz down for dis,we can do it..for da luv of it...
PA1

#2 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 21 July 2003 - 09:46 AM

Letz do dis Headz..au vipi!
PA1

#3 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 24 July 2003 - 11:40 AM

WAGANDA JE?

#4 Guest__*

  • Guests

Posted 24 July 2003 - 10:40 PM

u wanna battle am here son

#5 Guest__*

  • Guests

Posted 24 July 2003 - 11:57 PM

HEKIMA said:

Letz do dis Headz..au vipi!
PA1
come on kenyan boy

#6 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 12:22 PM

I hope unajua kwamba ni Swahili battle!...kama unaelewa hilo basi poa....UKUMBI UMEANDALIWA..

Sijui nikuchane vipi,lakini poa nitaanza hivi
leo sina vesi hivyo nitakupa nyepesi,
kijana usije resi,usije ukanipa kesi
maana ka vimondo,naacha mashimo kwenye ubongo
ukija kinyumenyume Mkenya unavunjwa mgongo
chungulia uwezo wangu nikutoe chongo
hutohimili kipigo,utatoa hongo...vina ni mkorogo wa kitu,tambuu na gongo
ujumbe ni mchungu,kuzimua utaomba nyongo du! sio uongo..

NB: Siandiki sana,Jibu kwanza nipime uzito wako..(kisha shughuli ianze rasmi)..Giv it ya best dawg..it aint safe...

PA1

#7 Guest_hekima_*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 12:25 PM

Am Tanzanian!!
PA1

#8 Guest_makaveli the boy_*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 01:08 PM

Hivi ndio sisi hufanya, si kama nyinyi mafala
mnao lala halafu mdrink maziwa mala
ARE YOU FEELING ME SUKAS
yeah BAD BOY KILLAZ

#9 Guest__*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 01:09 PM

TUNA JUA NI SWAHILI BATTLE fALA

#10 Guest_makaveli the boy_*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 01:11 PM

come on KENYANS

#11 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 25 July 2003 - 01:15 PM

NAOMBA MNIAMBIE MKO WANGAPI KWANZA,OYA!! ALCAPAINO...SHUHUDIA MCHEZO HUU!!
NAWAONA MNAKUJA UTITIRI....ANDIKENI VESI SHUGHULI IANZE,SIO MNAJICHEKESHACHEKESHA MAKINDA NYINYI...

NI MIMI HEKIMA
BABA YENU!

#12 Guest_Nimimi_*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 08:17 AM

Kama ni mashairi si ungejiita Robert, au Shaaban kiaina,
Ni kijana au mkongwe katuita mashindano?
Bongo boy kashindwa na ubao tayari tushakudharau
Si juzi tuu ulikua manamba Kariokor,
Na sasa juu ushapanda Akamba hadi Nairobi unajidai jogoo?
Usione miti mjini ukadhani shambani,
chunga usije ukachoma ubani takatakani,
Hapa mtaani
kijana hakuna amani,
Kama karau mwenyewe hakusikii,
nani atakuachia uchafue M.I.C pale South C?
Unachoita fani mimi kwangu maisha,
Dhibitisha wewe sio bubu,
tukutane Jumapili F.2,
Utajua NIMIMI utakapojikuta na pumbu tuu.

#13 Guest_Nimimi_*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 08:21 AM

No Pain, No gain.
No battles, just plain an' simple war.
Where's this Hekima pup at?

#14 Guest_Nimimi_*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 08:27 AM

This dick bitin Makavelli bitch, unafichia nani kuma. You want Kenya, I'll bring Nairobi to u.
Jiulize tena, je utafika?
Nitakumaliza kabla hujaanza.
Bongo bitch.

#15 Guest_makaveli the boy_*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 12:08 PM

[F...k You Son of A B.....
sUCK MY ...... Between my leg and Back
YOU BITCH YOU AINT GRAVE ENOUGH

#16 Guest__*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 12:10 PM

HE.KI.MA said:

Yoh!! I wanna extend some bounderies,I know Kenya(Swahili Mcz) are tight.. so if any of y'll iz down for dis,we can do it..for da luv of it...
PA1


#17 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 26 July 2003 - 02:12 PM

sijakimbia,nitakumaliza sasa hivi-niko bussy kidogo...ile hapo juu ilkuwa ni freestyle tu,,hata hivyo bado ni nzito kuliko huo upuuzi wako hapo juu usioeleweka...subiri kinda we...mwisho wako unakuja...
HEKIMA

#18 Guest_Nimimi_*

  • Guests

Posted 27 July 2003 - 08:42 AM

Just what I thought, another empty debe wanting to be a gangster. Guess what you turned out to be, wankster!

#19 Guest__*

  • Guests

Posted 27 July 2003 - 08:45 AM

Is uz a bitch Bongo boy? What's this shit of being busy and cuming back later... uz niggas suck!

#20 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 28 July 2003 - 02:06 PM

U kidz iz young all y'll,dont sound like ya verse was tight bitch! ma freestyle was better than that shit you spat..lets do dis..

Oya we Masakuu!! Nina kishindo ka la Mkuu
sa jifanye hausikii-kiziwi nikuvunje Guu
huo moto utazima ghafla bin Vuu,nikatuacha kichwa chini-miguu juu
nyuma-mbele-mbele-nyuma kama Juzuu
ka fani kwako maisha,umekutana na Israeli-sasa yanaisha
angalia vizuri ndhani umenifananisha…
Mkenya utahenya,ni tundu la sindano hili battle sijui ka utapenya
Nakupa masumbwi,we pumbaf! unanitekenya
Kwako situmii nguvu,ila nitakuchomoa nje ya huo mwili nikuvunje fuvu
nitakubakiza macho tu ushuhudie muvu!
umekauka vina mithili ya kiangazi Ruvu,njoo nikupe shule..
kama Alcapaino upeo ninagawa bure,haya nawa mikono hivi vina vya moto ule,vikikuunguza taratibu ukateme mule…
kwanza sijui kama pumbaf! unanielewa,maana Kiswahili chako ni ka Mbongo aliyelewa na hapohapo kama Chewa!!nitakuacha taabani,shingo juu-unasaka hewa..na hicho kijiwe chako sijui South C,cheza na Hekima kitakuwa South Jii!

NB:NYI MAKINDA WOTE!!





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users