Jump to content

EAST COAST TEAM KWELI TUTAFIKA

20 replies to this topic

#1 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 10 July 2003 - 06:28 AM

Washikaji mi na wasi wasi kuhusu hii core inayojiita east coast team au watoto wa upanga.Wasiwasi wangu ni kutokana na team yao kuwapo ma presenter humo humo nao wanajiita east coast sasa itakuwa vipi?Mfano watangazaji wa clouds VIVIAN,SKILLS,VENTURE Wote wamejikuta wakiangukia humo humo sasa wakikaa kwenye kipindi si wanajifagilia tu watu wengine wanabaniwa halafu kuna kamtindo watangazaji wa clouds wameanzisha eti kabla ya nyimbo yoyote ya msanii wa upanga ikitaka kupigwa wanaweka promo ya mwana FA aliyotumia bit ya NI RAHA TU Halafu ndo nyimbo iafuata,Mi naona huko mbeleni tunapoelekea kuna kitu tu kitatokea,sijui tupo!

#2 Guest__*

  • Guests

Posted 14 July 2003 - 10:48 AM

ODB said:

oya

#3 Guest_kizixst_*

  • Guests

Posted 07 September 2003 - 08:14 PM

Ahaaa, Usikonde mzee unajua hawa madogo na hiyo core yao watakufa kifo kibaya ila siwatakii mabaya naongea hivyo kutokana na jinsi wanvyoipeleka hiyo core yao, unajua unapoiga mambo ambayo huyawezi ni tabu, namfagilia sana GK ila nayeye anawapotosha washkaji. kitu kibaya kama kuigawa Hiphop changa ya bongo katika EAST COAST na Wale wa uswazi TMK core, siyo siri Mi siifagilii hiyo separation, make hata Featuring sasa hivi ni Upanga kwa upanga na TMK kwa TMk. then what next?????? Kifo.

Keep it up TMK core make wao wanawakilisha real life la mbongo na siyo kujifanya mambo supa wakati Njaa tupu

#4 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 08 September 2003 - 04:51 PM

nini hii sasa.. :evil:

#5 mkuki

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 132 posts
  • LocationDar es Salaam,Tanzania

Posted 12 September 2003 - 03:36 PM

ODB hiyo mwanangu itatokea tu maana kila mahali ni hivyo hivyo tu promo zinaanzia kwenye redio na madj wa club na hapo ni kama unawajua au kuna kitu wanapata kutoka kwako...kuwa Rapper sio kuimba tu inahitaji ujue pia industry inapelekwa vipi? Na kwa bongo promotion kwa kiasi kikubwa inaendeshwa kwa redio na sijui sasa hivi nadhani pia clubs kwa hiyo ukiwa mjanja inatakiwa uwe una establish relationship na hao jamaa ili upae rotation. Kwa wale ambao wanaiangalia hiphop kama means ya kutengeneza mshiko ndio inabidi wafuate hii model (lazima utoe hela ili kupata hela...si ndio rule ya commercialism hiyo? na kama wewe ni commercial rapper ndio inabidi ucheze by the rules!)
Kwa wale Ma MC wa kweli ambao wanafanya sanaa kwanza kabla ya hela hao ndio inabidi wawe radical...hii ni pamoja na self promotion kama kuuza tapes kutoka kwenye buti ya gari, website, na kadhalika...lakini kwa hawa marketing sio muhimu kama skillz zako...hiyo ndio biggest marketing tool. Nchi yenyewe ndogo bongo sio kama Marekani ambapo ni size ya bara kwa hiyo kusikika kama una kichwa kilichotulia na unajua what to do basi unaweza kupata exposure. Option nyingine ni kuanzisha label yako mwenyewe na watu kama wewe ambapo mtakuwa mnasaidiana kuinuana wenyewe kwa wenyewe. Hao East Coast na Walumendago wanachofanya ni kama Semi-label yaani colabo mnafanya pamoja na kadhalika hii ipo kila mahali...kuanzia akina WU-Tang mpaka St. Lunatics (From real tu not-so-real!) hii inasaidia kuwa na identity fulani ambayo inasaidia mauzo, ni kama logo vile maana ukisikia sound fulani au style fulani unajua hawa watu fulani halafu kila mtu anamfagilia mwenzake mwishowe kila mtu anakuwa anachangia washabiki kitu ambacho kinaongeza mauzo kwa kila mmoja. Kwa hiyo mwana ingawa hata mimi simaindi huku kujifanya wamarekani wamarekani lakini hii haiendi popote kujua kupo kila mahali inabidi tu uwe mjanja ili kulicheza game ipasavyo

#6 Guest_lovemakin,, sexymama_*

  • Guests

Posted 10 October 2003 - 08:37 PM

Unajua hii ndio inakuwa mambo ya Ja rule na 50 cent. Itafikia kipindi watu hawakai pamoja au kuongea pamoja wala nini. Au mambo kama haya yatakuwa ya East Coast and West Coast kama BIG na 2pac. sio vizuri lazima wabadilishe mambo yao.
Hollllllaaaaa

#7 Guest_kalindimya_*

  • Guests

Posted 25 October 2003 - 01:05 PM

Ni utoto tu wakikua wataacha hao.

Kikubwa kinachonikera mimi ni hiyo Radio Clouds kuwabeba hao East Coast team na wasanii walio katika lebo ya Smooth vibes.

Wasanii kama Juma Nature na Prof. J sasa hawasikiki tena Clouds kwa vile tu walikataa kushiriki kwenye tamasha la FIESTA lililoandaliwa na Prime time promotion - kampuni tanzu ya Clouds Ent. :shock:

Watu sas wameamua kuichunia hii station. :roll: :o

I HATE THEM :oops: :evil:

#8 Guest_Knife butcher_*

  • Guests

Posted 28 October 2003 - 11:20 AM

Wote nyambafu kuanzia huyo mjinga mjinga kusaga mpaka Ruge(wanaowasapoti).Wanaturushia stimu hawana chochote cha maana.Mi nina uchungu maisha haya halafu mtu ananiletea stori za eti baba fedha.Hao wa Tmk ambao mnawaona mambo sio safi ndio baadaye mabo yao yatakuwa safi.Jiulizeni jee hao babab zenu mnaoringia wametoka wapi.Kama hamjui ni kule kule kwenye vumbi mnakoponda.

#9 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 17 January 2004 - 10:32 AM

Hey mazee! happy new year!
Nadhani si peke yangu wala si peke yako unayekerwa na core hii ya kisenge,nadhani hata wasanii wenyewe wameshavumilia na wamechoka mmoja wapo ni mzee wa MTAZAMO a.k.a MZUNGU WA ROHO-AFANDE SELE
nadhani mmesikia wenyewe anavyowapaka watoto wa upanga ama kweli NI DARUBINI KALI-nasema hivi kwani ni wachache ndo wanaweza kumuelewa na waliopakwa ni kama ifuatavyo.
Mfano:-Nyimbo zima imejaa majina halafu haina vina
Hapa anapakwa GK na wimbo wake wa TUPO PAMOJA
Mfano:-kuna tofauti gani kati ya masaki na mbezi ni sawa kuvaa blanketi miguu inangatwa na mbu
Hapa anapakwa GK tena akimaanisha kunatofauti gani kati temeke na upanga
Mfano:-Unaimba nyimbo za sherehe kila siku wakati vijijini watu wanakufa kwa njaa
Hapa anapakwa AY "mzee wa comercial"kwani nyimbo zake zimebase kwenye raha kama vile NI RAHA TU,NIRAHA TU REMIX,RAHA KAMILI,RAHA KAMILI REMIX Unaweza kuona takribani ni nyimbo nne zinaelezea raha wakati kijijini watu wanakufa kwa njaa
Mfano:-Unasifia ngono na mademu kijana vipi!
Hapa anapakwa O-ten na wimbo wake wa NICHEKI anaposema
" NAPENDA SANA POMBE NAPENDA SANA MADEMU KIFUPI NI STAREHE"
Vile vile kapakwa mwana Fa kwa kuwafagilia mabinti nadhani mwana FA kashtuka na keshajitoka kwa habari nilizozipata.
BIG UP AFANDE SELE nadhani ni changamoto nzuri sana kwa wasanii wa bongo ila mwanangu kaua
mfano:-Unaimba nyimbo za mapenzi na unaishi kwenye jumba la udongo nadhani message sent!
Ni kweli hip sio kama siasa za bongo na kwenda mtoni si kama unakwenda kwa sir GOD
hiyo ndo darubini!

#10 Guest_Moafrikha_*

  • Guests

Posted 19 January 2004 - 06:13 AM

oya sosa,ambakas na wengine ...mambo vipi
nimebadilisha jina kutoka bongonian kwenda moafrkha ...muda ulipita mpaka nikasahau password

hii ishu ya east coast west coast kama ilivyosemwa "wakikuwa wataacha" bado wanaota kuwa wataibadilisha marekani ihamie tanzania wakati hata hao wamarekani wanajaribu kufuta hayo mambo ya east na west.

Huyu GK na wenzake kaburi la usanii linawaita kwani kuanzia mwanzo anajaribu kuleta umarekani ambao huku tunakokwenda hautafika popote. We msanii kila siku kwenye daladala tunabanana wote leo kwenye nyimbo unaniambia unaendesha ma Beemer hilo BMW la mwaka gani?

ukijaribu kuangalia muziki wa bongo umepita stage hiyo sasa hivi unajaribu kupata kitambulisho chake cha pekee sasa [size=18]ole wao wale ambao bado hawajafumbua macho kwani ufalme wa bongo flava hawatauona[/size]

#11 Guest_Bingwa wa Mistari_*

  • Guests

Posted 03 February 2004 - 01:17 PM

eastcoast kumanina zao tu hawana chochote mambwiga tu wa mtaani kama mnabisha kumamae zenu njooni maskani kimara ulizeni bingwa wa mistari hapohapo tuanze beef mapumbu yenu......kuma ninyi

Bingwa wa Mistari

#12 Guest_watagwan_*

  • Guests

Posted 03 February 2004 - 02:51 PM

acheni izo you guys are just mare player haters you live in kimara and east coast team ni uzunguni sasa wapi nawapi the area is immaculate and we the ultimate so tell me niambie beef gani ambayo utaleta kama huelewi kingereza beef maana yake nyama so lets take o it to the kitchen it gets cooked or to the refrigerator[/b]

#13 Guest_k-bucha_*

  • Guests

Posted 14 February 2004 - 12:55 PM

watagwan said:

acheni izo you guys are just mare player haters you live in kimara and east coast team ni uzunguni sasa wapi nawapi the area is immaculate and we the ultimate so tell me niambie beef gani ambayo utaleta kama huelewi kingereza beef maana yake nyama so lets take o it to the kitchen it gets cooked or to the refrigerator[/b]
Wewe msenge unayejiita watagwan inawezekana ni moja wao
That fucken shit is not gonna last forever they will have to eat their shit those east coast faggots.Now they have a new song so called "ama zangu ama zao" wametumia combats za jeshi kwenye shootin yao na jeshi la bongo linataka maelezo kwanini wamefanya hivyo na walipata wapi hizo combats.Haya mambo ya kuiga kila kitu kutoka states hayafai.Yaani sababu watu states wanatumia combats katika shootin na we mbongo unataka kuiga mi naona kama hawa madogo wanalamba matapishi yao na kula mimavi yao

#14 Guest_the ambax_*

  • Guests

Posted 26 February 2004 - 07:02 PM

k butcher ....thats the real stuff....
mazee keep it real......

http://www.africansoul.4t.com

#15 Guest_ELDOGO_*

  • Guests

Posted 27 February 2004 - 05:56 PM

k-bucha said:

watagwan said:

acheni izo you guys are just mare player haters you live in kimara and east coast team ni uzunguni sasa wapi nawapi the area is immaculate and we the ultimate so tell me niambie beef gani ambayo utaleta kama huelewi kingereza beef maana yake nyama so lets take o it to the kitchen it gets cooked or to the refrigerator[/b]
Wewe ms**ge unayejiita watagwan inawezekana ni moja wao
That fucken shit is not gonna last forever they will have to eat their shit those east coast faggots.Now they have a new song so called "ama zangu ama zao" wametumia combats za jeshi kwenye shootin yao na jeshi la bongo linataka maelezo kwanini wamefanya hivyo na walipata wapi hizo combats.Haya mambo ya kuiga kila kitu kutoka states hayafai.Yaani sababu watu states wanatumia combats katika shootin na we mbongo unataka kuiga mi naona kama hawa madogo wanalamba matapishi yao na kula mimavi yao
DOGO********************************************************
Say firstly im not taking any sides concerning East Cost teams video...whether its fake or real which is non of the two. In my opinion is i see them as being them selves.I say if they feel like representing our country on a video wearing our man and woman uniforms then so beat it and also our government should like it because those kids love they're country.I say lets go with the flow though easy on that splurging ya'll know what i mean ! if you dont have it dont talk about it.

#16 Guest_k-bucha_*

  • Guests

Posted 01 March 2004 - 09:00 AM

ELDOGO said:

u did'n watch dat shootin dats why u re sayin so.But the mesaage they were tryin to give is to show how solid they are.Fuck that shit.Listen to their fucken lyrics and watch the video 'n u will see that their main objective wasn't to represent our country.

#17 Guest_pharao'watengwa ATOWN_*

  • Guests

Posted 02 June 2004 - 07:29 AM

k-bucha said:

ELDOGO said:

k-bucha said:

watagwan said:

acheni izo you guys are just mare player haters you live in kimara and east coast team ni uzunguni sasa wapi nawapi the area is immaculate and we the ultimate so tell me niambie beef gani ambayo utaleta kama huelewi kingereza beef maana yake nyama so lets take o it to the kitchen it gets cooked or to the refrigerator[/b]
Wewe ms**ge unayejiita watagwan inawezekana ni moja wao
That fucken shit is not gonna last forever they will have to eat their shit those east coast faggots.Now they have a new song so called "ama zangu ama zao" wametumia combats za jeshi kwenye shootin yao na jeshi la bongo linataka maelezo kwanini wamefanya hivyo na walipata wapi hizo combats.Haya mambo ya kuiga kila kitu kutoka states hayafai.Yaani sababu watu states wanatumia combats katika shootin na we mbongo unataka kuiga mi naona kama hawa madogo wanalamba matapishi yao na kula mimavi yao
DOGO********************************************************
Say firstly im not taking any sides concerning East Cost teams video...whether its fake or real which is non of the two. In my opinion is i see them as being them selves.I say if they feel like representing our country on a video wearing our man and woman uniforms then so beat it and also our government should like it because those kids love they're country.I say lets go with the flow though easy on that splurging ya'll know what i mean ! if you dont have it dont talk about it.
u did'n watch dat shootin dats why u re sayin so.But the mesaage they were tryin to give is to show how solid they are.f*ck that shit.Listen to their fucken lyrics and watch the video 'n u will see that their main objective wasn't to represent our country.
kwanza nawasalimu kwa kutumia hata simu ikibidi
eastcoast wote nawaona sawa na wasichana sio kwamba
nawatukana bali nawachana kwa marefu na mapana
wote nawafananisha na mfu sababu mimi ndie mchangamfu
mimi naona bora mnyamaze kama ni mtoto apewew siagi na mkate
east coast wote nyamaza napitia kwenu upanga huku nimeshika nanga
kwa nia ya kuwacharaza na huyo kiongozi wenu bokasa nannasa kama panya au kama gomba napotafuna,nitambamba hata kwenye migomba/
tunajua nyie ni wakali kama maji moto lakini sidhani maneno yenu,
yanaweza kunitisha au kunitingisha mimi ndo pharao aka waowao/
yo nimechoka kumoka na sasa nasomoka bila nyie kujua napotoka
kana ni govi nitawafodoa nawaona kama mjipodoa yani changudoa
hakuna wa east coast anaeweza kunichana wanaojifanya wanaweza
nitawavua masharti na hizo pamba kisha niwalishe maranda
nawafanannisha kama ma anti bigup to ladyjaydee kuimba na wanaume kama mabinti/
na mtachukia mimi ndo kichwa nyie ndo mkia raia huwa wanalia napowambia ukweli.mimi kazi yangu ni kujazia mahali mungu amekosea
mkiendelea hivyo nitawasea kama babu sea dekelea darkmaster niggerz wanasister.namalizia hii shit na proper digestion mimi ndie shetani wa mistari hakika ni hatari jihadhari kaeni mbali eastcoast fool
(bigup to chindo jcb track zenu ni bala acaneni na hawa mafala wa upanga ndo hivi nawamwagia mchanga,bigup to my watengwa soldiers who are in the front line to take over and not making changes hiphop4ever n fuck commercial ,kikosi cha mizinga pamoja mstari wa mbele salute .)screw ay,gk sneere,buffg nakutafuna kama,bigaG oten Watchout ukija atown we will castrate you fuck all east coast team.
come after me and my lyrics will leave you anally reamed bitch you talk so much shit your breth got issues i don't know whaether to wipe my ass or your mouth with this toiletpaper tissue.big to mwanafalsafa wewe ni hard core respect kwa kuwa aukuchana kwenye amazao keep it up bud
bigup toyou.fuck the east coast team and thier bokasa.ATOWN 4ever hiphophuree HARDCORE ON AIR????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

#18 Guest_Chacalito_*

  • Guests

Posted 02 June 2004 - 01:00 PM

Nyie wapi???? Fuck you all wit ya east coast fucken team mother fucker
ya can't hold us down mutherfucker.
ya E.C all singing like bitchers mutgherfucker try to act like mens.
HIP HOP FOREVER,
I REALY APRICIATE, hOY HOY HOY HOY KIKOSI CHA MIZINGA, WADUDU WA KUUMA XPLASTAZ, HUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU SQUAD HARDCORE UNITY, AND ALL DAT NIGGAZ WHO BIG UP TO HIP HOP.

#19 Guest_emanuel fungo_*

  • Guests

Posted 09 June 2004 - 01:20 PM

hey out there!
i would like to congratulate all the artist and producers here in Tanzanian cause their work is so tight,and its acceptable inside and outside the country.Big up!!!
I realy appriciate their contribution in pushing up the bongo flava into the next stage,thats what we want men!
big up to EAST COAST TEAM, GWAIR, MCHIZI MOX,SIR NATURE and all artists who are serious wit dis game.
KEEP IT UP, WE ARE BEHIND YOU.

#20 Guest_MSUNJO_*

  • Guests

Posted 09 June 2004 - 01:44 PM

[u]im not like much writing dis messages, but im being forced by those
mother fucken hustlers writing fucken messages based on the east coast team,beginning with chacalito and his fucken mamma,i don know wat u wanna dis people do 4 u,may be ya annus have got an appetipe of being fucked,if its dat issue im here 4 u,and i've got a satisfactory size of tha dick. Cause at the moment the east coast team have got no time enough to fuck u.GAT DAME SHIIT!!!!!!!!
KISSING YA ASS!!!!!

1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users