Jump to content


MISTARI....MISUMALI...KAMALI...


92 replies to this topic

#41 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 08 September 2006 - 06:34 AM

stoneface said:

Its like that man.
Mmalize huyo msenge dogo Ungarateful
anaejiita ninja wakat malaya mmoja tu
anataka kufront
Mzimishe kwa mbaya man.

NAKUACHA WAZI KA DOCTA WA KIZAZI/
KUMAYAKO YA MDOMONI WE STONI/
UNASAKA BASHA KWA UDI NA UVUMBA/
TAMBAA SIHITAJI ZAKUJIFICHA NYUMA YA KITAMBAA/
USJIDAI MWALIMU WAKTI NI MSENGE BARA & PWANI/
STONI HUONI UNALAZIMISHA MBOO KOONI NIKUZAMISHE MPAKA TAKONI/
MWAKO KUMAMAMAKO WE CHOKO HOKOHUKO HAPA STAKI UTOKO/
USLAZIMISHE NIKUZAMISHE MPINI MIC UNASEMA NITUPE CHINI/
FUK U FAGGOT NAKUONA MAGGOTI UNAUSAKA WANGU UBOO KA MLINGOTI/



ONDAKA HILI ENEO SOMA POSTI YA KWANZA
UTAGUNDUA WE PEKEE UNALETA UKUMWA WANGU MTUMWA
KULE USHACHEZEA MBOO ILA UNAKIMBILIA HUKU USIONE SOO..

FUK......U.........

#42 stoneface

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 22 posts
  • Locationchimbo

Posted 08 September 2006 - 04:26 PM

TIMBWA TOMBWA
SIONI SOO KWENYE UMATI KUKUPA MBOO
MSENGE UNANIITA MWALIMU NIKUTOMBE UNTOLEE WAZIMU
SIO MSUKULE NIKUPELEKE KUZIMU KUNDU LAKO NILIFANYIE STIMU
SAKA NAVYOSTEP HUWEZI NYAKA
SI WAKO WAZAZI WALIKUTOA SADAKA
YA KUTOMBWA NA MABRAZA KAKA
UNASEMA NIPITIE PAGE YA KWANZA TAKATAKA???
NA SASA UNAUTAKA NO SWETI FEEL WA STONI
WE MWALI KIPOFU HUONI HUCHOKI KUTOMBWA SI ULIZALIWA CHOONI
AINA SOO TWENZETU PAGE YA 1 HUKUTOMBWA KIRIJALI.... NIMEONA
MISTARI.....MISUMARI.....THEN SOMETHIN......POMBE KALI.....
KAPOMBE MWALI....KUNYWA UTOMBWE MIKASI MIKALI.....
NA MABASHA WAKO WA KAMALI.......KUTOMBWA KWAKO ZALI......
KUNDU LAKO RASILIMALI..... BINJWA UPATE MALI.....
SKIA WE SAKA STAKI KUSIFIWA USINIITE MWALIMU
MI NAKUFUNZA TU MTOTO LAINI KAMA FUNZA
ULIKUWA HUJUI UKIJICHANGANYA MI NAOVA FANYA KUMA NAKUKANYA
KAMA HUKUFUNZWA NA KUMA LA MAMAKO
UTAFUNZWA NA UBOO WA TAKO

NA SASA UNATAKA MI 2 LEAVE THA PLACE
4 U MISS MIC ACE ASS
PUNK ASS MATHAFACKA
KATOMBWE
FEEL WANGU UBOO......

#43 stoneface

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 22 posts
  • Locationchimbo

Posted 09 September 2006 - 10:35 AM

FEEL THIS......THA MATHAFACKIN NAME OF YA FUCKIN ALBUM
FEEL WANGU UBOO....... THA NAME OF THIS TRACK


CHORUS.....

FEEL WANGU UBOO.............GIDA HILI HIGIDA HIGIDA
FEEL WANGU UBOO.............GIDA HILI HIGIDA HIGIDA
FEEL WANGU UBOO.............GIDA HILI HIGIDA HIGIDA
FEEL WANGU UBOO.............GIDA HILI HIGIDA HIGIDA

#44 stoneface

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 22 posts
  • Locationchimbo

Posted 10 September 2006 - 10:13 AM

POST YA KWANZA


YEAH...
FEEL THIS KUMA.....
DA MATHAFACKIN NAME OF YA KUFILWA ALBUM

FEEL WANGU UBOO...
DA NAME OF DIS TRACK

VERSE 2:


binjwa banjwa
mwali wa kamali
malikia unasema mi ndo nimebakia
kukushindilia mboo zilizosalia
kabla ya fungate walifamya mistake waliku fuc na mate
sasa nakupiga dry ask me why
we mwali si umezoea pombe kali
b4 hujapigwa nyoka ulpoambiwa ujihadhari
uliropoka uko tayari kutombwa huoni hatari
kule ulipota kukacha b4 hujazalishwa mapacha
ulipoutaka ukapewa nao ukaachiwa talaka
ulipelekwa shule ukaropoka freestyle utoi bure
mpaka mabasha wako wa kamali NIGGAZ wakupe mali
masela!!!... au sio... wakupe hela!!!
nakuuliza we mwali ?
time's up ulirudi walikushindilia mingapi misumari
ya kirijali najua ushazoea we hujali
we zuga na wida afu feel wangu uboo dinya gida
hili linajiita higida higida
na umesema higida ni kisiwa cha stimu
baada ya kutombwa ukantolea wazimu
ukumbuke nimeover fanya nimekukanya usiniite mwalimu
we chanwa kwa sana mtoto wa kisichana kwa hivyo vina
vya kindina MC BARLELINA kumamako bado kupakwa ina
na hao makuma wanaokufeel wote vitundu style yenu kupigwa nyuma
mi nakufeel yako kuma tu nakudinya bila huruma tu




chorus:


zuga na wida afu feel wangu uboo dinya gida
hili linajiita higida higida......
zuga na wida afu feel wangu uboo dinya gida
hili linajiita higida higida......
zuga na wida afu feel wangu uboo dinya gida
hili linajiita higida higida.......
zuga na wida afu feela wangu uboo dinya gida
hili linajiita higida higida.......

#45 khalid-zogo

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 5 posts
  • LocationKENYA

Posted 10 September 2006 - 03:07 PM

lakini ni bora ukiwacha cursin.kazi yako bado changa

#46 stoneface

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 22 posts
  • Locationchimbo

Posted 11 September 2006 - 06:37 AM

SANA CHANGU

#47 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 11 September 2006 - 07:09 AM

ufahamu wa fasihi hizi sisifihi asili mizizi
sikizizi chizi masaka nawafanya wakimbizi
vingi viemcez vya leo navifananisha na vipepeo
vinapepea ili vipateonwa ka kideo matokeo vilio
kimbilio matusi sio vina ni harufu zaidi ya kinyesi
kasi si ndefu uchafu mrefu ukweli wanapatwa wasiwasi
mistari uspime tafadhari ikulishe kitungo upate shibe
hutungi shangingi unaandika afadhali wala mitungi
fasaha nyingi falsafa vina maafa mceez fafa wafa
nasaha katika tungo staha mhimili machoko wahaha
kamanda naazibu kiajabu sababu wanastahili adhabu
wanakiuka miiko ndo napandisha ghadhabu nawagonga ka sumu ya nyoka wa ajabu
nikali kimistari vimwali wanajilaza chali ili jabali niwakabili kilijali
vipusa naviasa vitofautishe ya kale na sasa
kwasasa natambaa bado na vina ka stimu za chasa
nadondosha nyuklia wanalia uzito ndo sikitiko nikifo
kifleva wamelalafofo ntawaamsha naviboko wote machoko....
wanaopost massege za kisenge wachinge staki mawenge
kenge nyote popote ntawanyonya mate mkaukiwe afu mfyate..


"yeah you can't battle me, so you'd rather embarrass me
I maintain dignity in the face of calamity"
SONG:M-SEA-CRESY
ARTIST:CANIBUS
ALBUM:RIP THE JACKER

#48 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 22 September 2006 - 09:50 AM

buruza paraza ka kuadhibu ni mzee wa baraza
chakaza kwisha sambaratisha vimbisha
vina ujazo uozo mzozo hu mwanzo uite kimbizo
zoea genua potea ingia umeumia ushaskia
kito lazua skitiko toto mc nasaga ka kokoto
nawatoa ka bao la nyeto silolote n'viwete
kikwete ka kiongozi kivina natambaa ka na stimu za kitete
siitaji uza ka kete mcs kununulika ka ndoa za pete
ntawakilisha mpaka mwisho wa maisha hakika..
navuruga na kipaza nadunga ka stimu za nyunga
pumba mcs chunga hili ni zaidi ya janga nacharanga
bila mapanga natimba wajingajinga nagonga ndonga
ncha kali hatari shairi hariri ilhali ushakili
sambaza ka ukimwi athirika na virusi mi jasusi
wa taasisi ya uasi kunidisi ntakulaani ka ibilisi
pumbavu kabisa chakavu kivina mi ndovu nakuongeza makovu
mcs mchovu shika mic anza kutoa povu rhymez ouzo mbovu
kihiphop ni utovu wa miiko nyoko koko mliko machoko hukohuko
hapa nawageuza milupo nilipo hampo mlipo nipo nawatomba ka mlupo
mi ndo mchana usiku ni popo.......

FUKDIS....


QUOTE
"[Chorus]
Canibus: Consume Creatine and Create
cAnibus: Anemometers analyze air intake
caNibus: The H.N.I.C that narrates
canIbus: Innate intelligent Interface
caniBus: Biogenetetic Behemoth obliterate
canibUs: Youth on fire, You both bleed
canibuS: Micnificentlly sound Mc
Liberal Arts with JMT

[Vinnie Paz, AKA Ikon the Verbal Hologram]
I'm the god of war,
the resurrector of the horror-core
The carnivore, destroying you wasn't hard at all
I started raw, so the haters could see what could happen
I was Allah while the pagans were speaking in Latin
I'm the origin of science and math
I'm the origin of everything you trying to grasp"

ARTIST: CANIBUS
ALBUM: MIC CLUB : CURRICULUM 101
SONG : LIBERAL ARTS FEAT: VINNIE PAZ AKA IKON THE VERBAL HOLOGRAM

#49 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 28 September 2006 - 12:39 PM

hatari ya utumwa akili yakubidi kufikiri
sera za serikali naza wawakezaji ni za kiuaji
mauaji yalohalalishwa yaendekezwa nawala rushwa
vyombo vya habari daily live vyarusha
jinsi maskini anavyonyonywa mpaka anapoteza maisha
nini utawala wa wala haki mpaka hatubaki
maskini kilaleo kuhamaki vilio vya kutaka haki
uhuru wa mawazo usoleta mzozo ilhali polisi ndo chanzo
matatizo mitaani hakuna amani ka tunaishi kivikwazo
ukiangalia mamia waliangamia na tunaendelea kuumia
utawala wa maandiko katiba chimbuko kisheria iko
liliko kwa ajili ya wanoko wanaotunyonya kwa maumivu ya ugoko
mmiminiko ka mirija hali inapitisha damu ya mwanadamu kwao tamu
yaongeza udhalimu dhuluma inadumu hii ndo sumu inayotuhukumu
mwenye majukumu hawalaumu hutulaumu kwa kujiweka watu muhimu
katika dunia ya usiku na mchana yenye mwanga na kiza maasi yanatungamiza
tamaa kwa walewasio mashujaa imewajaa mauaji yalishatapakaa
ilhali wengine wamejaa kinyume wanakufa na njaa uhai ni ka taa
inazima na kuwaka ka nyota inavyomulika gizani we elimika..
hii kwa rika fika ka mtandao hakika ujumbe utafika....

#50 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 27 October 2006 - 05:58 AM

NSHAMONKA.......
STUKA KURUPUKA BABU TUPANA MASHUKA
HULKA YA KUSHUKA HUU MZUKA KAKA
NAKAMATA MIC YENYE MOSHI KUFUKA NASHUKA
NAWAKATAA MASAKA KA HARUFU INAYONUKA
UCHAFU ULIOTUKUKA NAUNGA VINA BILA NUKTA
WEE FUFUKA ELIMIKA KIFIKRA KA UFUNUO WA MTAKATIFU LUKA
BANDUKA MAZEE KIAKILI NAKUSHIKA KA NAKO2NAKO NAKUFUNIKA
KILA MSIMU KUANZIA KIPUPWE MPAKA MASIKA MI NDO MIMIKA
SKIKA KA SAUTI KA HAITOKI NAKUWASHA KA SPIKA NAKUBALIKA
KIASILIA MFANO UKOO WA KABAKA NANG'ANG'ANIA VINA KA MADARAKA
NACHOMA MASAKA KISTYLE KA WANANCHI WANAMCHOMA KIBAKA
NIKOTIGHT MI NA MIC NAFITI KULIKO KIRAKA
KIBARAKA KULA CHAKA KWAKULETA TABAKA LAKUNG'AKA
TAKATAKA KA WACK EMCEE NANYUKA HAKUNA INUKA PUTUKA
TOKA KA DESTURI YA WANA KWAYA HAYA OKOKA MINSHA MONKA

#51 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 08 November 2006 - 09:26 AM

NSHAMONKA TOKA NILIKOTOKA
ALLDAY NAFYATUKA ZAIDI YA TSUNAMI ILIKOTOKA
NIMEBOMOKA BABAKE HAINA KUSHOBOKA
KIBARAKA KULA CHAKA KWAKULETA TABAKA NG'AKA
GUTUKA NAMULIKA NA MWANGA MI TOCHI BUMBULUKA
NATWIKA VIWANGO KITAMBO NAVUKA CHAKA MPAKA NYIKA
NADAKA NYARAKA WAKA KA WE..SAKA NAGEUKA NYOKA
NAFOKA BILA KUCHOKA ANGALIA FAKE EMCE WALISHADONDOKA
NAKOKA KA MAJANI NAMBWENGA MAHOKA DATA MOKOKA
SIO MPAKA NIKIZIPATA KAMA ELUKA BUDI NI KUELEVUKA
AKILI PEVUKA KIDUME NADAKA NOTI ZAIDI YA DUKA
ROHO NGUMU SIO KA PAKA MREFU ZAIDI YA IDADI YA MIAKA
NATWIKA KA WE NYOKO KATIKA JITEMBEZE PUNK KA DALADALA MBAGALA_CHANIKA
BOMOKA NA VINA MAKINA KA MAO MUASISI WA TAIFA LA CHINA

#52 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 30 November 2006 - 01:23 PM

Mistari Ya Hatari
Misumari naikita Kikatili
Nacheza Game ka kamari
Kaa Mbali na Huu...


mwangaza unaomulika kiza daima unaangamiza
unakwaza Mc budi kukaza upeo huu zaidi peo la ajuza
kutoza muujiza adhma Mcs kukimbiza mbele ya upeo kinyuma
nageuza kitoweo cha leo kabla ijafika usiku maombolezo kilio
mi ndo Mc nawaingia ka sauti inavyopenya kwenye sikio
Fake Mcs daima watahenya Huu mzuka ndo dawa inayowaponya
natibu hii fani ka mitazamo ya vitabu mbalimbali usijaribu tabu nipandishe ghadhabu
wema ndo thawabu elimu dunia na ahera ndo jawabu ya adhabu ajabu
mwandishi aliyekubuhu anaandika bila kunukuhu? Ndo kufuzu au ndo
kuzuga kauzu? Mi ndo naendeleza vina ka wafuga mizuzu na videvu
uelevu wa busara kwa fala mchovu Mc Pumbavu ubavu huu ndo mti mkavu
natawala ka kiongozi wa mabavu mkakamavu Fake Mcs n'maumivu
nawadunga uvivu usiku inaitwa dawa kutoka Kivu Uvumilivu
miili tulionayo hugeuka mafuvu kupoteza akili na nguvu
LD naattack navina uzani pima ndovu tofautisha videvu na ndevu
kabla hujajiongalia tayari umetapakaa makovu nusu mfu unatawaliwa nahofu
ryhmes nazigandisha kwenye jokofu kipofu kaona mkufu
turufu ya vina mbanefu natawanya ka harufu

#53 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 07 December 2006 - 09:06 AM

Stuka !Uhuru tarehe tisa yani 2006 keshokutwa
ndo siku mashujaa wanakumbukwa kupinga utumwa
kupigania Uhuru na utawala Tanzania Bara
kumng'oa Mzungu mpaka mzalendo kuwa kinara
hii ilianzia bara mpaka mapinduzi Visiwani kumng'oa Sultani
1964 ndo muungano baada ya mapambano katika bara la Afrika
ikasimama Tanzania Imara na sio tena Uhuru wa bendera
Mola walaze mahara Pema wale wote waliojituma sisemi majina
kwa kuwafanya WaTz kuwa kitu Kimoja na kudumisha Umoja
Hoja Naileta mfumo wa ujamaa ni ishara ya ushujaa
tatizo nchi maskini!wafadhili wakasitisha misaada ikawa balaa
miaka Ishirini baadae sera zikaanza kubadilishwa ili tuweze-lishwa mikopo
viongozi kupenda madaraka na siasa ka bendera inayofata upepo
kung'ang'ania vitini kuwepo utadhani wamehakikishiwa milele watakuwepo
kuona dunia zaidi pepo wanawabembeleza kwasasa wawekezaji ilhali
mwanzoni hawakuwahitaji? leo kisingizio wanaleta mitaji kumbe ndo ulaji
kwa walarushwa wajuaji wafujaji wa vyanzo vya wahangaikaji wanajaa tumboni
kumbe kwa jasho la maskini wanaopiga kelele lakini serikali haiwathamini
wao silaha ndo neno wanatupandikiza kwa kila aina ya vislogani na vimisemo
wanaendelea kutupa mifupa ilhali wanajua hatuna meno
ni sawa na kukung'oa jino bila kukudunga sindano ya ganzi kitanzi
chakunyonya wananchi wanaooneka waduanzi kwa watawala washenzi
Fuk kasi mpya ni risasi yenye nguvu na ari kutusambaraisha ilhali kifikra shwari
tafakari uchumi ulishashuka Tz zunguka kilamahali ukiwa huna chochote hawakujali
utu kitu mwananchi hataki shari? tusidanganyane Dola zinatuminya kabali ilhali
vigogo wanatucheki kama taarifa ya habari walioitengeneza walimbikizaji mali
Fuk sera za Mabepari na Mabeberu wamo nao wanasherehekea Uhuru?
hasara ya sera isio imara kwa mwananchi ni ishara na dalili za ufukara....
sio masihara jiulize kwanini Iraq au Palestin wanajitoa kafara?
Sa Ndo Kaa Tayari Kwa Heri Au Kwa Shari.......
Ndo Mistari Misumari Kamari.........


TroGloDyte.

#54 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 08 January 2007 - 08:27 AM

elfu mbili na saba troglodyte bado nakaba
nawang'ang'ania kooni ka wakristo nayao misalaba
fake mc naona ka janaba rhymes mbovu ni chovu
nachoma na hii kitu kuliko jua la utosi fake mces ucforces
kula kona hilo donda ndugu kamwe haliwezi kupona
mizoga kifani naiona inazuga bado ntaendelea kuipiga viboga
nawasambaratisha hiki kitanzi jihesabu umekwisha
we pisha hiz hisia kimbia hiki ndo chuma cha pua
nshakubabua longtime- kitambo kitombo chimpolombo
njoo hapa unyonye hii mboo…

#55 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 09 January 2007 - 09:11 AM

piga mistari stimu zikupe akili tafakari usielemewe na utabiri
niko real mistari nafanya kila baada ya sekunde mbili
ukistick we utakili mashahiri kwangu sio kitendawili
nakuja mfumo wa jedwali niko kitaa game silijali
alwayz kamili bongo levya kwang haina deal
naivua ka kandambili hii pekupeku ka sholi nnavyomkabili kimwili
akili ni mali ila mali sio akili samtaim ni utumwa wa akili ukafiri
naruka hewani kijasiri hizi harakati sio za kisirisiri
kwa mimi rap sio kazi naizungushaga ova sifuri
nnavyobang ndo nazidi kuwachimbia fake mc makaburi
hii haiitaji skuli wala kutunisha misuli au miguvu ka makuli
kichwa jabali mistari nawachoma hii ni ncha kali lugha swahili

#56 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 21 February 2007 - 12:51 PM

naleta mapinduzi kwa wack mc's kimbia uonapo hili jinamizi
nahifadhi vina kama kambi za wakimbizi usione maangamizi
naganda kwenye fani kuliko agano la zamani nadeku darubini
mioyoni! mc's watupu nawawasha amsha kwa mwasho wa upupu
mtaaluma napambana na mashetani kamwe sitarajii kurudi nyuma
ndani ya roho naganda naingiza hisia wanapatwa kihoro
huu ujio wa mti mkavu situmii dola usione kiongozi wa mabavu
nagangamala kishupavu fake mc's nampiga kofi la shavu!
pumbavu bado ntarhyme mpaka kichwa kitakapogeuka fuvu!
kiwiliwili kitakapokuwa majivu bado mc's kuendeleza uvivu!
last dyte nakuja na vina kwanguvu! hapumui mc's asiyemsikivu
sio simulizi za ghadhabu pale mashairi yanapogeuka dhahabu
jua litapokesha mc's wasisingizie mwisho wa dunia ni maajabu!
nakuja tofauti na historia hizi hisia tambua sio za vitabu!
serikali yaendesha wananchi! amka hiz rhyme zina uzito ka winchi
sibebi ujumbe kama mwanasiasa natambaa kichaa huku nawaasa
kufananisha miziki na anasa! kaa mbali! hiki kichwa ndio makabrasha
yaani kumbukumbu mpaka maemcees niwatoe umbumbumbu!
ntapambana ka nyungu ya mawe kiongozi wa kabila la kikimbu!
alipopinga ukoloni,hadi leo dyte napambana na ukoloni mamboleo!
vibaraka na viongozi vimeo!wanaotajirika kwa kukataa maendeleo!
usiiulize serikali kwanini? soma mwenyewe jibu utapa kichwani..akilini!!!

#57 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 23 March 2007 - 09:01 AM

ponywa hiki kinywa dawa sasa kunywa
pona kivina minywa mashairi kunywa
tuna kitambi fanya beti kuwadinya wadunya
kimya ghafla oza kama nyanya banwa n'nya
chanwa bila kutenya tembezewa skillz nyonya
nyonywa wack mc karisha hisia meng'enywa
kitambo kanywa volt za umeme hasi na chanya
tafuta engo kipenyo au kipenya timua we panya
fungua domo fanywa na hizi beti fasta utakunya
levo za kuhenya ogopa utabinywa_binywa____

WTF……………………………………………….

I'm a weapon that fires/
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:

#58 bahati

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts

Posted 04 August 2007 - 05:32 PM

haijalishi ka the last dyte or troglodyte,
we bado kinda, nacheki yako mistari naona chalii anajivisha sanda,
nakuwa mwokozi wako na mistari yako iliyo pinda pinda,
nainyosha ka sketi ya narinda, unajribu?
huwezi fata hii mwana nakupa najua huwezi shinda,
natinga ka author japo we ndo makili wao it semez, ujue umemezwa
ka bia pale 2000..madscientist waliniita leo naibuka bahati,
mwana si mchezo madi msala nakupa nakupa hujibu sijuii hii ndo yako tamati,
au ushafikwa na umauti? dunia tambara bovu ukinicherki unakutwa na kizungumkuti,
usinishangae sijakalia kavu kuti

#59 LAST DYTE

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 242 posts
  • LocationSluMz oF HeLL

Posted 08 August 2007 - 11:12 AM

bahati mbaya bado unapwaya hufiti varangati
usjaribu asilani kuendesha boti barabarani
tamati yako ndo mwanzo wako ka nalipua majani
raundi ya kwanza nakuchubua ka kubanda wa mwanza! mwanza!
mad sasa mweupe kuliko malaya mapepe
nakuzimisha nione ndupe levo zangu za juu ka Lupe!(Fiasco)
huwezi nikong'otea mboni zako za macho zitapotea
nakufungia wigo bwamdogo usicheze karibu na mbogo!!!!!
I'm a weapon that fires/
Lyrical projectiles with no mercy/
I'm cold blooded like reptiles/
Touch a pregnant bitch and make her give birth to a dead child/___IMMORTAL TECHNIQUE:

#60 bahati

    African Hip Hop Newbie

  • Members
  • 9 posts

Posted 09 August 2007 - 05:11 PM

jitahidi kuwa kafiri ndani ya mto wenye majitu ya hatari
huvuki round ukali wako wa sauti ni uchovu kimistari
mvuto wako wa nje ndani kumbe si shwari matusi si ushairi we basi mi kidhibiti, mwendo wako u function yangu huna kipya unabatisga, usipojibiwa u mshindi wajiona,
batle na wao wao juniors, ni ajali isyo na kinga mi woga sina,
ila mistari mi nina, sikualiki kamwe kwa bia labda late nite dinner,
nikupe mistari na michano na style za kichina ukihemea ukubwa wa shina,
hakuna cha suna hapa full mzuka lazma utachuna,
hu mwanzo tu shehena inatuna,
wacha mchecheto mbona unanuna hii batle kaka get ready





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users