Jump to content


BONGOFLAVOUR is for BONGO FOOLS EVER


3 replies to this topic

#1 NONSHOBO

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 35 posts
  • LocationSTREE DWELER

Posted 01 February 2006 - 07:42 AM

pindi hii fani inazidi kua,
nalenga nani wa kumjua,
na nani jukumu kumtua,
nani katafuna muwa, kisha sisi akatupa buwa,
deku jinsi mmakini anapokonywa uhai,
mfitini anavikwa taji kiulaghai,\\\\\

mengi yametikisa ila bado tumesimika,
vilindi tumepita na bado tunasikika,
vitimbi na vingi visa na naamini tutafika
mabalaa na mivutano isiyowezahesabika,
TAZAMA MUDA UNAWADIA
HUU MUDA KWA WALO NA NIA

Pindi
asopingwa atawika na anokingwa ataoneka,
haijalishi unakashi, na nguvu ya kushawishi
uwe zimiko la magashi
na ujitangaze kwa vitisho,
litakukumba gairisho,
pindi unamcheki mkenuaji wa cheko mwisho,... (ni sisi hakuna mwingine)
yap...............
watakubali tu acha 2songe nao kiubishi
Respect kwa VINAMAN'NA
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR

#2 uhuru

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 27 posts
  • LocationArusha ,Tanzania

Posted 01 February 2006 - 10:09 AM

AISEE ANDIKENI VITU VYENYE SKLIZ
ACHENI USENGE NYIE MACHIZI
WEWE VINAMAN'NA NA NON SHOBO
NYIE WOTE MNAVITOBO
KWANZA NYIE NI BONGO FLEVA HALAFU MACHOKO
MLIANDIKA NINI KWENYE INTERNET HAKUNA SOKO
PILI INAONYESHA HAMJATAIRIWA HALAFU MAGOVI
SASA JE MNATAKA JANDO AU MNATAKA UGOMVI.:?:

U C P M E
niaje j4.

#3 NONSHOBO

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 35 posts
  • LocationSTREE DWELER

Posted 01 February 2006 - 10:56 AM

umelitamani mwenyewe dogo uhuru..

skiza uhuru....

nlishakucheki kwenye ramani na
nakujua tangu zamani kimwana toka tunduru...
tangu nimtongoze dada ako pindi nlipokuwa mbulu..
nahisi we na mkurdi mna njama..
za kugeuzana kina mama
usifikiri m**bo yangu haitazama
kwako wewe mwanamama,
kukubattle we kimwana kwangu ni sawa na kula ndizi,
siitaji maandalizi kukupa maangamizi...
unathibitisha huna tungo...
unasubiri langu pingo..ili ukatolee singo...
jitizame kwanza ajuza..
kabla hili hujalikuza...

nna hasira nawe ila narudi mda si mrefu....
:arrow:
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR

#4 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 05 February 2006 - 01:25 PM

radio,ingekuwa mwongozo'
nani angefanya katazo,katizo,
kwa mizozo,uozo,ujazo wa angazo,
ulio pitilizo na bado si fagio kwa vimeo,
chetezo busara,agizo dira,
msafara wengi papara,
KUSIKIKA si lazima kwa masaka ka'(uhuru)
tafsiri kwa mipaka,sio unakurupuka,
ni sawa na niseme nimeona,
useme sijaona kisa we,haujaona,
TAZAMA TAFSIRI,HARIRI KABLA UKIRI
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users