j4 vipi mambo mimi ninataka kutengeneza website lakini sijui website gani ya kwenda...halfu pia ninataka ya dotcom je unajua website gani naweza kutengeneza website yangu mwenyewe...halfu pia njia gani ninaweza kutumia kulipia kwasababu mimi sina credit je is there any other way to pay...nina hela lakini not in credits..or is there a place holla 8)
j4
Started by Guest_mr blow_*, Aug 21 2002 09:54 AM
5 replies to this topic
#1 Guest_mr blow_*
Posted 21 August 2002 - 09:54 AM
#2 Guest_unknown_*
Posted 22 August 2002 - 08:04 AM
pumbavu, kama unaongea na j4 kwani hujui email yake umtumie hukohuko, chiziass kid.
knocka niggaz dont boucka
knocka niggaz dont boucka
#3
Posted 22 August 2002 - 09:16 AM
isee kama unataka dotcom inabidi uwe na credit card au uwe na mtu wa kukusaidia... sasa kumpata mtu TZ si rahisi lakini ukienda kwa internet provider kama Raha (raha.com) inabidi wao wataweza kukusaidia. sasa tatizo inaweza kuwa gharama. domain names za cheap zaidi niU$ 20 kwa mwaka moja lakini sijui kwao Raha ni dola ngapi?
hosting unaweza ukapata bure lakini haziko huduma nyingi kama zamani, yaani sehem nyingi zimeshaanza kucharge kidogo kwa huduma zao.
pia huwa wanaweka banners kwenye ukarasa wako.
bado unaweza kucheki http://www.t35.com na sijui watu wanatumia nini tena.

#4
Posted 08 October 2003 - 04:49 PM
Sup hatters!!
Wabongo mnasemaje? mambo yenu vipi?? HIki kwa nini watu wengi unapoenda kwenye chatting hakuna watu wa kuongea nao, especailly watu kama sie ambao tunaishi nchi za watu, tunataka kujua wats cookin in Bongo.
Hollllaaaaaa!!

#5 Guest_shefa santos_*
Posted 09 October 2003 - 05:03 AM
ndugu zangu jitahidini muongee vitu vya maana sio kuuana ,mnatusikitisha sisi tunaoishi nje ya nchi.
#6 Guest_ILLA_*
Posted 11 October 2003 - 07:39 AM
Nendeni darhotwire mtapata habari kutoa kwenu,,hapa sio mahara pake,,
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users