naona Vinam'na umzoea kuiinama tena sana,
mtoto wa mama, unaingia kwenye za watu anga,
hiphop kwetu ladha na si mistari yako yenye kifafa,
uliza watu wa chaka, story utapata, tangu enzi za kwanza,
mistari yenye akili, yenye verse kipeo cha pili
si yako mfano wa namba witiri, kaambali
tena nyumbani msaidie mama kukata kachumbari
kasi yangu zaidi ya kimbunga katrina
naflow kama tsunami isiyorudi nyuma
maisha haya kwetu mchezo
bcoz we ve been raised from the gheto
najua unakikalia huku unakisilizia
acha kulia kitapoa than utakitoa
raha utakuwa umesikia, utaniomba tena kukupatia
check out hii kubwa,
-
Vinam'na
Started by Depressado, Jan 17 2006 12:57 PM
2 replies to this topic
#1
Posted 17 January 2006 - 12:57 PM
Option for Action
#2
Posted 20 January 2006 - 02:03 PM
:oops: Depressado (aka KATRINA ass u call urself)
kwako dogorasi rapa usiye na kasi///
hatuli nyapu tunakupiga bao kwapani,\\ :shock:
umabeba kapu la ndizi kisha unaleta pozi kwa nyani\\
haukogado labda ukibadilika ufeki rym uwe makini,\\
kabla hujaandika cheki nyuma kakaa nani,\\
kabla hujarealize utashtuka umezamishwa mpini\\
na ukija kushtuka utakuta una kiumbe tumboni\\
halafu baada ya ezi tisa tukusabahi wodini\\
VINAMA'NA :twisted:
non shobo chama na tukitaka hunyimi,\\
leta pozi uone jinsi vidume tutavyobatua hilo simi,\\
tuta kuza misha dude mpaka manii yatoboe ulimi,\\
jua ukimtaja vinama'na mojakwamoja umeniboa mimi.\\
mwanzo alikuwa mkurdi nawe umelisaka shabobo//
tutawabatua kwa battle mrudi nyumbani na matobo//
rym zenye akili zing'atazo ka ndorobo//
HILI ONYO LISO SONYO KAA MBALI NA CAMP YA NONSHOBO.....pussy maji we.....
:twisted:
:shock: KARIBU mashindano nikumalize......eti depressado....watu tumeona FEBBRESADO itakuwa wewe......pimbi maji..... kama unajiamini
:arrow: KIMA njoo mashindanoni......na siyo unakana kutoa
HESHIMA KWA VINAMA'NA

NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#3
Posted 26 January 2006 - 05:06 PM
depress kitenesi ,unataka uwanja wa nyasi,
unafikiria ass,unapoteza ufanisi,unaiigiza halisi!
c maigizo ka' ya mpoki na joti,nikisizi ka'GURU NANAK,
na ill ka' SVT MOVEMENT,si akili ya kijiti,kifua wazi
kuhisi unakoti,wakati wa baridi,sifanyi feki,ka'noti,
niko real ka'KANYE WEST,fataki kwa we'saka
unreal ka 'wiggy la mariah kerry,ukifikiri
meli kabla jahazi utaferi,usideal na matapeli,
ilhali kuongopa huwezi,haujasizi ka'uko siku
za mwezi!,we'ni mndizi c mchizi,ka'asemavyo RODICE,
NON-SHOBO&VINAMA'NA ni kipande cha ng'ana,
mwanana mchana,huku tukiona sembe ya azam
ukitugwaya dona,

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users