intro
#1
Posted 13 January 2006 - 11:08 PM
kaa mbali ntakutia kabali na rhyme zako mbovu
fikra hapa kitovu thamani zaidi ya ndovu
#2
Posted 15 January 2006 - 09:59 AM
nakufunza una mawazo ya kiajuza nakutuliza,
nakutafuna ka'piza,nakuweka kwenye jeneza,
huwezi weza shika kipaza bora ng'aza
jinsi navyoumiza chalaza wadwanzi niite mkufunzi
kichwa cha panzi,utabakio mwanafunzi
NON SHOBO CAMP don't mess with sucker!!!!!!!!!!!!!!
T.M.K akademy-non shobo squad
#3
Posted 18 January 2006 - 01:03 PM
vinara tumelia vinabo msithubutu :evil: kupenyeza demo/
hiphop kwangu imebaki taswira/
mashairi yamesimama lakini bongo hakuna biashara/ :cry:
naitaji ku-endesha gari yenye dubs thamani ya ndege/
sio hizi watoto wanazopata sasa za kutuliza nyege :twisted:
ni bora kubaki mfukoni kama msenge/
nakupa Big up mzee Shomari wa tandika kwa kuuza kenge/
anyway,lets go back 2 our topic/
sina zaidi ya kutema sumu mwanzo mpaka mwisho wa week/
jamani vinabo mpo wengi na tena hamuambiliki/
na si rahisi kuimili mikiki mikiki ya uu muziki na mashabiki/
WEEEEE! :evil: KOMAAAAAAAAAAA
She**zi type!
Quertzal a.k.a lyrical blower
#4
Posted 20 January 2006 - 03:37 PM
ukiona unashutumiwa,jua kipimo kimezidi mapendo
utangara kwa mazuri,na kuangushwa kwa mabaya
napenda jinsi Fid,asivyomfeel dudu baya
haya ni ya upande mmoja,nitakupa ya upande wapili
nimetendewa tu hisani,kwa kula nyingi fadhili
ni zaidi ya askari kanzu,aliyenasa kwenye mapenz
au mvaa miwani,asiyejua tofauti ya lenz
wasonijua ndo wananijua
wanaonijua wanakana hawanijui
they r' fake niggaz nasema nanyi adui
kama dada zao na vazi la baibui
mafanikio yanakwenda,sambamba na vikwazo
siwezi kurudia topic,kwani sifanyi matangazo
njoo third eye,nitakupa u-vice prezzo
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#5
Posted 21 January 2006 - 12:12 PM
waache na chuki zao hata wavunje chungu
wana act kama wazungu vichwa vimejaa majungu
hazina zao wamezificha kuzimu kamwe hawawezi battle na mbingu
hata watie ngumu hawawezi ficha ukungu
hizi zana za chuma zalinda sera zangu
Quertzal a.k.a lyrical blower
#6
Posted 21 January 2006 - 12:12 PM
waache na chuki zao hata wavunje chungu
wana act kama wazungu vichwa vimejaa majungu
hazina zao wamezificha kuzimu kamwe hawawezi battle na mbingu
hata watie ngumu hawawezi ficha ukungu
hizi zana za chuma zalinda sera zangu
Quertzal a.k.a lyrical blower
#7
Posted 26 January 2006 - 10:23 AM
mnaremba kwa kuuza sura hii hiphop inahitaji mzuka,
naona zianwadatisha, bange zenu mnazovuta,
msivutie chooni, njooni maskani,
najua watoto wa mama, au mnaogopa kufanywa vibaya
ni depressado, zaidi ya gado,
fani hii kitambo, kabla wewe hujanza kujua mambo
hizi sio tambo, bali nabaelezea nyinyi batoto bakambo wenye mnato
vina vyangu vinafinya, njia yake kwenye nyika,
kokote vinapita na hata kwenye tundu vinapenya
unahitaji pumzi kuhema, utakimbia bila kupenda
nakimbiza zaidi ya marathon, iwe ndefu au fupi hamuwezi kufika mwishoni
sinza, kilima nyege maskani, RIP D-rob n cousin nigger one.
mnatembea kwenye barabara hamjui kuona wala kusoma alama
kama kwenye maji mtazama,mtoni mtaliwa na mamba,
mapinduzi ndio nakuja nayo wazushi kibao zaidi ya poyoyo
hamna cha maana bwana wadogo ondoeni kwanza zenu tongongo
manaake mmechoka zaidi ya mnywa gongo,ndio maana zimefubaa/ zenu bongo,
jibuni lakini kuweni makini,mistari yangu inaidhini, kutoka wizara ya mambo ya ndani, kwa mheshimiwa chiligati,
msinongonezane chinichini , ongeeni niwasikie ikibidi kwa kasi niwajie niwafanyizie hadi mkimbie,
Base one, doer of great deeds, thinkee of great thoughts!
#8
Posted 26 January 2006 - 10:28 AM
hiphop kwangu maishani sihitaji vidani
maisha kwangu vision natimiza zangu mission
afrika na yote tanzania bado umaskini unahitajika umakini,
tutafika pale tunapopatazimia au tutazidi kwenda chini,
nikitizama watoto, wanatokwa matongongo
vijana wanakunywa gongo, madem wanauza ngono
mashujaa wanazidi pata msoto, kila sehemu unanyongwa msokoto,hauchagui
mzee wala mtoto
Afrika wapi tunakwenda, maendeleo bado tunayatolea udenda,.watawala
wanazidi kuneemka wanakaa kwenye sofa, wananchi wamechoka wanakalia mkeka
wagonjwa hospitali wanateseka, madaktari wamegoma, wanasakata
ndombolo, majeruhi roho wanakata,yaani hii soo
mtaani majunk wanazidi kudata, ganja chata kwenye nguo ndio ujanja.
napinga hii najua, wabaya watakuwepo
watatinga na dis za kuua, wanaiga ulaya kufuata upepo inahitaji akili
ya depo. migogoro inatupeleeka kwenye giza tororo
hakuna wa mtu mkono, wenyewe tunaweka maisha kikomo,
haaishi vita kongo, wanakufa watoto
njaa inasakama, watawala wamekaa
aibu ndani hili bara, zuri afrika ardhi imejaa
Chorus; Afrika afrika lini tutafika
njaa magonjwaa ujinga, rushwa
kila kukicha naliaa machozi majonzi yametapkaa
inakuja verse ya pili, keep moving lets come with soln -problem rhymes about africa, sio mbaya masela!
#9
Posted 26 January 2006 - 11:32 AM
hisiyokuwa na point ki-hihop wewe bado mfu
umekuja kimgongo mgongo pumbafu :evil:
mboo ya quertzal inakupokea tuu kwa moyo mkunjufuu
hili si embe tunda la msimu ili dafu
kinywaji cha wastaafu
tunakunywa na kutafuna matako yako laini kama ndafu
nashangaa unajisiiiifu wakati u kinyama cha mwitu
popote ulipojificha niko radhi kuteketeza msitu
nitakusababishia jangwa na njaa ujue mimi jitu :evil:
depressado ka muulize dada yako
navyompa mikito na k*ma yake mnato
mimi mtoto wa mama au mzee wa jungle :twisted:
husicheze na NGE wala Quertzal
tumeanza kuliona jua la hiphop toka awali
karibu kimara maskani kama bado una swali :evil:
Quertzal a.k.a lyrical blower
#10
Posted 26 January 2006 - 05:26 PM
MISTALI YAKO C EPO NI PELA'
UNAKILI KUKWALA,HUIFIKIRII JELA'
UNAVUTA JANI MASKANI HUFIKIRII MAMWELA,
UKO KITANZINI,HUFIKIRII AHERA,
JIKONI MASKANI ,MISTARI ZAIDI YADIRA,
SIJAFURA UNASEMA 'NAHASIRA'
MI'CHILA C BOLA,
MVUVI HAJISIFU KWA UKUBWA WA SAMAKI,
BALI KWA IDADI,NIKO KWENYE LISTI YA H.ADADI'
NATAFUTWA KWA UDI,KULETA MBINU ZA KUDHIBITI'
UHARIBIFU WA AKILI;KWA YANGU MISTALI uliza sauti ya nani unaisikia kutoka gizani
hiphop kwangu maishani sihitaji vidani
maisha kwangu vision natimiza zangu mission
afrika na yote tanzania bado umaskini unahitajika umakini,
tutafika pale tunapopatazimia au tutazidi kwenda chini,
nikitizama watoto, wanatokwa matongongo
vijana wanakunywa gongo, madem wanauza ngono
mashujaa wanazidi pata msoto, kila sehemu unanyongwa msokoto,hauchagui
mzee wala mtoto
Afrika wapi tunakwenda, maendeleo bado tunayatolea udenda,.watawala
wanazidi kuneemka wanakaa kwenye sofa, wananchi wamechoka wanakalia mkeka
wagonjwa hospitali wanateseka, madaktari wamegoma, wanasakata
ndombolo, majeruhi roho wanakata,yaani hii soo
mtaani majunk wanazidi kudata, ganja chata kwenye nguo ndio ujanja.
napinga hii najua, wabaya watakuwepo
watatinga na dis za kuua, wanaiga ulaya kufuata upepo inahitaji akili
ya depo. migogoro inatupeleeka kwenye giza tororo
hakuna wa mtu mkono, wenyewe tunaweka maisha kikomo,
haaishi vita kongo, wanakufa watoto
njaa inasakama, watawala wamekaa
aibu ndani hili bara, zuri afrika ardhi imejaa
Chorus; Afrika afrika lini tutafika
njaa magonjwaa ujinga, rushwa
kila kukicha naliaa machozi majonzi yametapkaa
inakuja verse ya pili, keep moving lets come with soln -problem rhymes about africa, sio mbaya masela![/quote]
T.M.K akademy-non shobo squad
#11
Posted 27 January 2006 - 05:45 AM
SI WAELEWI NA MI-VERSE YENU!
Quertzal a.k.a lyrical blower
#12
Posted 27 January 2006 - 01:22 PM
WE ANDIKA MTU AKUELEWE/
MCZ ANATAKIWA ASIWE NA KIHELEHELE/
KEEP IT REAL AFU UWE MZEE WA MISELE/
UDAKE MAPENE MAMBO YOTE MAZURI YAKO MBELE KWA MBELE/
KUWA M-BISHI/
BEEF MI NAONA NI STYLE YA KIZUSHI/
MNATUKANA TUKANA WAKATI WATU WENGINE NI WAKUSHI/
AFU PEACE MZEE VILEVILE TUNAJALI, KAMA KAMPENI NI ISHI/
MISTARI NINAYO WAPA NI KA JABALI/
KAMA UNABISHA BASI TUKIKUTANA UTAPIGWA KABALI/
AFU SIO MKWARA ILA NAONA MNA PAPARA/
TULIENI MTAKUJA PIGWA VIPARA/
WATU TUNA VITU VIREFU KA BARABARA/
SIO MASIHARA/ MPAKA NAAMU KUTUKANA NI SABABU YA HASIRA/
NAISHIA HAPA MPAKA ILA NIPO NITARUDI HAPO MTAKAPO ENDELEA KUPAKA/
#13
Posted 29 January 2006 - 02:37 PM
duniani haijatokea kuku kukaa na mwewe
napenda zaidi adui,adui ukawa ndo wewe
unakula na kipofu,unamshika mkono
umekosa cha kufanya,unakopa mademu ngono
hujui unachokifanya,ndo maana papara na pupa
kwa mgongo wachupa,eti unawapaka mafuta
unachungulia kaburi deprassado,
na ndivyo itavyokukuta,
watu wawe mbegu,ukweli ndio udongo
na kukua kama mti,uliopandwa kwenye angle
nitakufa niki-struggle,kama N.G.E kwenye orbit
ni kabla ya kwenda studio,na ni kabla sija-react
......................................................................
next epsode.........
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#14
Posted 30 January 2006 - 07:40 AM
DOGO UKISHOBOKA UTALIWA TAKO/
CHOKO/ WEE UNAKUJA NA INTRO MI NIKO KAMILIGADO/
ULIPO MI NIPO ILA NILIPO WEE HAUPO/
KOKO UNAIMBA MASHAIRI KINOKO/
UKILETA FYOKO KINACHOFUATIA KICHAPO/
AU SIO MTOTO...
LAST DTYE A.K.A POLTERGEIST EVERLAST/
AM FROM CAMP CRU/I WANNA TELL U MY NIGGAZ IAINT PLAYIN LIKE U/
SO IF U DISRESPECT DA GAME FUK U TOO/
I AM COMMIN' TO RESSURECT THE WHOLE SHIT/
COZ U R SHIT DONT MAKE SENSE/
SO IF U DONT KNOW ME U CAN CALL MI EVEDENCE/
THE LAST LINE OF DEFENSE/
PEACE BLACK/
ITS' NOT LIKE I DONT RAP/SO
COPY DAT/
AKA TROGLODTYE POETICAL POLTERGEIST.
#15
Posted 31 January 2006 - 11:13 AM
unatumia viwango vyetu kujipima kishairi,
:lol:
kabla sijaamua kukukata kauli, kwa rym kali
budi u kiri, mapema kuwa wewe si msafiri,
.....
..........
...........
..................
.......................
usianzishe battle usiloweza maliza nideku tena maeneo.....
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#16
Posted 05 February 2006 - 12:38 PM
toka kwa fanani
na inakwenda kwa adhira
maproducer wananitamani
mi nawakana kwa hasira
wanakiri kipaji changu
daima hihop ndo ajira
nakuja kwako depressado
na ku-kill huku nakufira
kamuulize dada yako
ananijua kama ndo dira
anaponipa matako
na namfira bila ya mpira
sio kila jani
ukiweka nazi eti ni mboga
we choma mahindi,mimi sitokungoja
njoo mtaani kwetu,kuna hadi wazeeeeee
napiga nao stori huku wanapata bla-zeee
usiniangalie usoni,ukadhani ninafuraha
nakuja na trigga J,a.k.a james gwivaha
magwanda mnayovua kwa ufupi ndo navaa
pale unaponyanyuka namchizi ndo nakaa
mjeda anapokufa,mjeda anazaliwa
tunaziba nyufa,na tunajenga ukuta
kule nilipolalia,eti nyinyi mnaibuka
nafika mpaka sinza,kwa mchiziwangu Eluka
Tha sagga continous
pat_hila@yahoo.com
[/i]
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#17
Posted 05 February 2006 - 01:14 PM
ili uvishwe taji,
mfamaji, ngekewa sio kipaji'
vipi uhiji bila imani,msahishaji, hujulikana kosani,
dunia vitani,ukitulia pembeni,kama si mghani,
sinta hoji kwanini,usijaribu mafuta motoni'
bubu tofauti yake nini,
kwa we'mpumbavu hekimani!?
fikiri kabla tenda,
yanayojiri ulipenda
T.M.K akademy-non shobo squad
#18
Posted 07 February 2006 - 02:54 PM
ni kama pain killer
ni kama vichwa ngumu
wanavyo mrespect hila
au masai pound na rap zao za kimila
aliyesema leo kwa heri
kesho huambiwa karibu
unanusa nusa ka mbwa
kwangu usijaribu
hili ni kama onyo
kwa ufupi nitakwaribu
I learned a lot in this world
Got a profession that keeps me stressin
Facin criticism,
And you still keep me happy and healthy
Nyuma naona mbali
bora mbele kuelekea.
#19
Posted 10 February 2006 - 01:12 PM
UNAJITAHIDI KUCHANGANYA KISWAHILI NA KINGE..../
AU MZEE UNAKUWA GWEE AFU ANAKUWA NA MAWENGE/
BASI SI KISENGE/
AMANI KWA J.C.B NA MASELA WA KIJENGE/
MI NSHAZOKA NA KETE ZA BANGE/
ZINCHANGANYE ZISINCHANGANYE/
MI NATUPA MAWE/
AFU KILA WAKATI NAKUWA NA MWENGE/
NACHANA NA VINA KA KIWEMBE/
KWEMBE-KUMBE BONGE LA KIMBEMBE/
MWENYEWE KWENYEWE/
MWEWE WEWE/
SIO WEWE ILA MWENYEWE/
NI MIMI ILA SIO WEWE/
BASI TULIA TULI UNAWEZA PEWA VIPURI/
AU MKIMUONA MZURI UPIKIGIE PURI/
UKIMPATA UNAMBEBESHA MZIGO KA KULI/
ILI AKIKUONA AKUKUMBUKE VIZURI/
SHHHHHHHHHHHHHHH......... WE NGE/
SIO KAMA MALUMBANO AU KIBANO/
NI UJUMBE/
AU SIO MZEEE.............
PEACE GUY/
ALL TIME AM HIGH/
TILL DIE/
SO........U NEVA HIDE YA SMILE/
LIKE EMINEM IN 8 MILES/
SO......CHECK THIS.....
B4....AM BREK DIS........
#20
Posted 15 February 2006 - 10:05 AM
ndio maana unazuga/ unarhyeme
untafuta bwana kwa kufight
kwa sababu /ushazoea kusuck
hii adabu/ msistaajabu ya firauni maajabu/
nna gadhabu na nyie waseng'''
qert'' na nge''''
nshwastukia mnataka/ nije niwapime
baya sijazoea maji taka/ tafuteni wengine wawakune/
verse zangu zaidi ya tatu/najua zinakuja kuwapa upofu
nshawacheki/ nimewaona wachovu/kwenye hii hiphop
Nna B.A ( Hons) ya mistari/yenye takriri , tashtiti na tafsiri/
ladha ya kiswahili/ kwa nyie makafiri
mnatazama lakini hamuoni/mnasema lakini hamuongei/
kisa mmekaa sana unyagoni/mmefunzwa jinsi inapoingizwa/
utamu vp mtausikilizia/lastdyte nasikia unakunywa gongo vs bia
noma maisha utayakimbia/ angalia usenge utakujia/
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













