Jump to content


NI BONGO FUL'EVA SI BONGO FLAVA!


4 replies to this topic

#1 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 03 January 2006 - 02:36 PM

bado si bongo flava ni bongo ful'eva,naipa hangova
maajuza wa akili wanaikuza,taka ipoteza hiphop?wanacheza
nawachimbia jeneza'
.
:evil: hiphop msimamompaka kikomo ni somo litaloacha wazi
midomo ya waliomo kwenye shimo wanaoipabongo ful'evaaaaaaa
promo,
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#2 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 28 January 2006 - 12:39 PM

nafungua radio,nasikia imlazo inalazwa,
najiuliza yupi MC wa kwanza,huyu aliyeanza,
kabla B.HIPHOP haijachomoza,
au aliyeanza kabla ya wa kwanza,
mashabiki wanamcheki yule anayechombeza,
mwenye falsafa kubwa anapuuzwa,
anayewasogeza,kifoni wanamtuza,
bila kuwaza ,nani anaweza,awekwe wa kwanza,
matatizo jicho la 3 nayang'aza,
mwona mbali anafunzwa,
wa karibu anapotezwa,
hiphop ni ujinga kukataza'
ila wadau hawataki uza,
zidi kichwa umiza,kandamizwa,
lakini sintosizi ka'luza,
timamu nanyunyiza,kizani angaza,
VICTIM OF THE SYSTEM,
STAY CALM,KEEP'N REAL 4LIFE
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad

#3 NONSHOBO

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 35 posts
  • LocationSTREE DWELER

Posted 01 February 2006 - 07:40 AM

pindi hii fani inazidi kua,
nalenga nani wa kumjua,
na nani jukumu kumtua,
nani katafuna muwa, kisha sisi akatupa buwa,
deku jinsi mmakini anapokonywa uhai,
mfitini anavikwa taji kiulaghai,\\\\\

mengi yametikisa ila bado tumesimika,
vilindi tumepita na bado tunasikika,
vitimbi na vingi visa na naamini tutafika
mabalaa na mivutano isiyowezahesabika,
TAZAMA MUDA UNAWADIA
HUU MUDA KWA WALO NA NIA

Pindi
asopingwa atawika na anokingwa ataoneka,
haijalishi unakashi, na nguvu ya kushawishi
uwe zimiko la magashi
na ujitangaze kwa vitisho,
litakukumba gairisho,
pindi unamcheki mkenuaji wa cheko mwisho,... (ni sisi hakuna mwingine)
yap...............
watakubali tu acha 2songe nao kiubishi
Respect kwa VINAMAN'NA
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR

#4 uhuru

    Member

  • Members
  • PipPip
  • 27 posts
  • LocationArusha ,Tanzania

Posted 01 February 2006 - 10:35 AM

SIWATAKI NYIE MATAKO
NAANZA KUFANYA MSAKO
MAJINA MABAYA
KWANZA WE NI MALAYA
niaje j4.

#5 vinama'na

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 159 posts
  • LocationNyanDa Za JuU KuSini -Green CitY

Posted 05 February 2006 - 12:17 PM

mjinga uhuru,'taka proove kwamba c mjinga,
ni sawa na juhudi za wanga,kupanga uovu ,kwa mwenye panga,
la wokovu,na kujikuta unajifunga,topic imelenga,
unashindwa tia nanga, kama langa unapatwa na kipunga,
cha wakunga, mjinga, punnga mwenye shanga,
hili tope la shamba la mpunga,
SIKIA
NON-SHOBO&VINAMA'NA,NI KINVULI CHA UMAUTI,
HUWEZI ZUIA KWA KOTI,NAPORT TOPIC'
INAYO'KUDIS COMFORT,(hey)ILL SHIT MJAZO WAVUTI,
SIAFU WA MAITI,MTITI ,USIOJALI KA'UMEJIDHATITI
NIKIDISS,UNAJIHISI, MMOJA WAO SIJA'MISS'
YABISI VERSI GUSI,NANASI KWA WADADISI,
WASIOFATA KADAMNASI,
uhuru, sikutusi,ila versi zako zinanuka ka'kipande cha nguru
ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users