naaanza na kuwapa salamu ndani ya langu goma tamu/ :(
Kumamae zenu mnaojiita vinara wa bongofleva/
Hamsongi kwa bongo zenu bali kwa hongo na feva/
natangaza vita nanyi msojua lakujua na bado hamjikanyi/
BEEF NA VINARA WA BONGOFLAVOUR
Started by NONSHOBO, Jan 02 2006 10:56 AM
10 replies to this topic
#1
Posted 02 January 2006 - 10:56 AM
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#2
Posted 03 January 2006 - 09:36 AM
unajita kinara wakati una tabia za sonara mtoto laini unagaa nakupiga kimbubuwazi nakuacha mdomo wazi iaelekea huna kazi unaleta matusi ya kibazazi ki vp utaweza shindana na mzazi niite captain wa jahazi nasongesha ma danzi wanaoleta shazi kama nyiyi fuck non shobo unatangaza vita na mwanzilishi wa sita sita.NARUDI :evil: :arrow:
#3
Posted 03 January 2006 - 02:44 PM
kwako mweusi,non shobo jasusi,weusi kulikoyako tafsiri,wawili,
'deal na makafiri ,TULIOCHIL,KA'TALIB KWELI,naalibu kishali
mwona mbali ka mbali jabali,mistali kabali,kipaji sio zali,hiphop
kwetu maisha,umekwisha,sababu ushalianzisha.VINA MWANZO
KATI NA MWISHO,uthibitisho si vitisho mpaka ufanye gairisho
unye mwalisho .

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#4
Posted 04 January 2006 - 09:30 AM
Nawaza nianze vp kwa rym za kukupoza\\
Maana kwako sipigani ila nawaza kutongoza\\
:lol: hujui unadeal na nani dogo mkundu mweusi//
na ntakushauri badala ya kukutusi,
nataka ukaendeleze biashara ya kuremba nyusi,
SABABU
NONSHOBO camp kubwa zaidi ya ngome ya kijasusi//
Fahamu goma tamu ni vita kwa vinara//
ila nakujibu sioni hasara, kumkumbata demu mwenye papara (thats u)
hili jibu likufunze, kata mauno nikutunze,
vita nawe ndo imeanza, hili ni pigo la kwanza,, be right back 4u f**er
Maana kwako sipigani ila nawaza kutongoza\\
:lol: hujui unadeal na nani dogo mkundu mweusi//
na ntakushauri badala ya kukutusi,
nataka ukaendeleze biashara ya kuremba nyusi,
SABABU
NONSHOBO camp kubwa zaidi ya ngome ya kijasusi//
Fahamu goma tamu ni vita kwa vinara//
ila nakujibu sioni hasara, kumkumbata demu mwenye papara (thats u)
hili jibu likufunze, kata mauno nikutunze,
vita nawe ndo imeanza, hili ni pigo la kwanza,, be right back 4u f**er
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#5
Posted 10 January 2006 - 12:22 PM
nani wa kujibu, anayelitaka la kumsibu ajibu kiunasibu nimtibu
Nauliza mwenye wajibu ajaribu kuharibu ili niharibike nae
anayejua ana akiri ajaribu nimbikiri,
Naaapa sitofikiri na hoja ya kijikongoja si wangu msukumo,
Nataka kinara wa bongo flava ajipendekeze nimzamishe ndani ya shimo

#6
Posted 10 January 2006 - 12:23 PM

#7
Posted 06 June 2006 - 09:51 AM
andikeni mmekwisha,
mlima maji napandisha,
nikusanye vina kuwadedisha
mnanata kama natasha,
mwauza sura kama akina flora,
mko doro,dorora na hiyo komesho,
mipasho kama mnamegwa,
mlima maji napandisha,
nikusanye vina kuwadedisha
mnanata kama natasha,
mwauza sura kama akina flora,
mko doro,dorora na hiyo komesho,
mipasho kama mnamegwa,
#8
Posted 24 April 2008 - 06:27 PM
Ungrateful kinda :x
Deku kabla hujatinga kwenye anga za walopinda,\\
Hizi ni level nyingine za waloshinda kudinda,\\
Ya mamba havai mjusi jikanye jina kulinda,\\
Non the illiest and best bwa mdoto usikaze chest//
Level tutingazo sisi sishapita all the rest//
Uite mwanzo sucker!! want more :oops: ??then be mu guest,// :arrow: :arrow:
Deku kabla hujatinga kwenye anga za walopinda,\\
Hizi ni level nyingine za waloshinda kudinda,\\
Ya mamba havai mjusi jikanye jina kulinda,\\
Non the illiest and best bwa mdoto usikaze chest//
Level tutingazo sisi sishapita all the rest//
Uite mwanzo sucker!! want more :oops: ??then be mu guest,// :arrow: :arrow:
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#9
Posted 27 April 2008 - 05:10 AM
them r done ama outta dis shit!
THE BATTLE IS CLOSED!
THE BATTLE IS CLOSED!
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
#10
Posted 10 May 2008 - 10:11 AM
u cats are fukkin sick. vote to battles. this IS A BATTLES FORUM
#11
Posted 17 May 2008 - 05:19 AM
vnorm said:
u cats are fukkin sick. vote to battles. this IS A BATTLES FORUM
U nuts dont snach my dick quit the battle if u aint fit! this aint no fuckin JOKE!
NON shobo true soldiers mtu mbili ile kamili
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
we never go bhuggy!!!
Respect kwa wana wa mtaa
NAMASCAR
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users