Jump to content


WAZO LA LEO...


38 replies to this topic

#21 Guest__*

  • Guests

Posted 11 July 2003 - 06:42 PM

we kuma tuu hekima :lol:

#22 Guest_supermcee_*

  • Guests

Posted 12 July 2003 - 08:26 AM

hii ni saiti ya kima taifa i mean international tangu lini mtu wa zimbabwe akelewa kiswahili mambo kizungu mta ishia hapa hapa bongo .

#23 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 12 July 2003 - 11:42 AM

Ninachokiandika ndo nachokiona
waulize wenzio walivyokula kona
unazarau zana,kweli wewe hutopona
siku zote ukiandika,kwanza hauwi mkweli
sign in kwa jina,sio unazuga na ngeli
kwangu chelea pina,na katu sito-fail
si unahitaji matibabu,basi nge nitakutibu
na kama umekosa adabu,
nipo tayari kukufunza
najua unagadhabu,tatizo lako unafunza
kwangu uta salenda,kama sio kunitukuza


#24 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 14 July 2003 - 11:16 AM

Anonymous said:

:lol: nice one bro
WE PUMBAF HATA AIBU HAUNA,ETI GUEST! UNAFANYA WATU MAPIMBI ENH?
UNAJIFAGILIA MWENYEWE,PUMBAF WATU HAWAKU-FEEL! ETI'nice one bro'
Halaf chini unaandika ngonjera zako tena,unajifagilia tena mwenyewe,
Who you trina fool BITCH! oYA VICHWA !! SI MNAMUONA HUYU FALA!!!!
halaf anasema mimi natafuta jina kwa nguvu, Mtu yeyote mwenye akili anajua kuwa Guest ndio huyuhuyu mpuuzi(NGE,sijui nzi!)
YUZ A BITCH DAWG!!

Unaandika vesi kibao,lakini uzito wake hewa!pumbaf we...siongei sana,ninazawadi yako hapo chini...
Oya!
Si unataka umaarufu eeh!
Basi kwangu mimi umeumia,unaachwa ka-mlegezo pumbaf unaning’ginia/
kinda kama wewe hata mje kwa mamia/kwa mkupuo mnachanwa ka-mi chanuo/ nakuacha roho juu ka vimini vyenye mpasuo/
we huna unalolijua/kidogo na Alcapaino kichwa nilikisugua/
unataka jina?sio kwangu utaungua/ni moto unaochezea-we ni shamba la mabua/ sijui eti,’watu mbegu na wewe ndio mkulima’/palilia huo ubongo kwanza uchipue vina/vikistawi bwana shamba nitakuja pima/mshindani sina…dogo acha njozi/hapa unabanjwa na kutemwa mbali ka kohozi/nashusha vishindo juu ya vichwa ka makonzi/
hutohimili-maumivu ni ovadozi/…enhe! Nimekumbuka..Nge na Guest ni mtu mmoja nimestuka/sasa ongeza wa tatu raundi ya kwanza uweze vuka /au la kitanuka!
unashangaa,unajiuliza nimejua vipi!/pumbaf huna Bars vina ni Off-biti/hujui
tofauti ya Bar na vina ipi/hata kwa Acapella hizo ngonjera haziimbiki/
Sijui niseme wewe au nyinyi maana huu ni utani/lakini si unajua dogo unayemchezea nani/vina-malaria ma-MC hupandwa kichwani/haya ona sasa uko uchi hadharani/Umechokoza hali ya hewa Katope sa-kaa ndani/mistari ni mvua unafurikwa ka jangwani/hilo jina na uwezo wako haviambatani/ungejiita Nzi maana umejaa uchafu kinywani/tangu uanze tema hakuna moja la thamani/unatwanga na kupepeta ka Ali Choki kwenye fani/…na wewe mgosi,sijui SuperMc/-kusanya virago kimbia hii thread nakusii/achana na Hiphop we fani yako TK-ZEE…Pumbaf

UNASIKIA WE NGE(NZI), hizo vesi zako zote ulizoandika hapo juu ni miluzi,maana zinapea...tulia ukiwa unaandika,usituchafulie Thread!!

NB: N' Son, you don fukin' know me.So don be posin' ya savage ass threats on a Brother,eti..'take care,i konw ya Bro'..BITCH!! you need a VISA to see me....jibu hii,nikuvue na hiyo gagulo..KINDA WE!!
Heshimu Kina cha Mashairi
HE.KI.MA

#25 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 14 July 2003 - 02:30 PM

Someni vizuri kati hizo vesi za NGE na GUEST,halaf niambieni kama sio mtu mmoja!! Mshikaji anaji-contradict kishenzi...(NICE ONE BRO!!)
NGE, unataka kujinyonya Mboo mwenyewe??? utavunjika uti wa MGONGO..Ndama WE!!!
NB: Jibu kama unalo la kujibu au la SHUT THE FUK UP!!

#26 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 15 July 2003 - 06:56 AM

kwa taarifa yako limetokea jina la guest kutokana na mimi kutokusaign in siku hiyo nilikuwa na haraka ndo maana likatokea jina hilo ambalo kwa mtu anayeelewa forum hawezi kushangaa sasa kwa akili yako mi naweza kujibadilisha jina huku nikitaja jina langu kwenye verse soma vizuri kwenye verse utaona nimetaja jina la nge mwanaharamu ila sikuweza kusaini ndo maana likatokea jina la guest pumbavu wewe!

#27 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 15 July 2003 - 07:24 AM

Ama kweli la kuvunda halikosi ubani
nge sijifagilii kama unavyodhani
mimi na huyo guest ni wawili tofauti
unawaka kitu kidogo tu una doubt
hatujafika hata nusu unaanza kulalama
yaani maji ya ugoko tu
mshikaji unatapatapa
je maji ya shingo si utakuwa umeshazama
ndipo utapo kumbuka mipira uliyoikana
kujiona bingwa wakuogelea bila zana
always na sign in kama nge
jiulize kwanini wewe wakupinge
wanajua umefuata jina wakupe uringe
mashabiki wanatujaji,iweje wewe upinge
kwa vile nasifiwa,unanipaka matope
we niharibie jina tu,mshikaji usiogope
kwa kuwa umeshindwa,unatafuta altenative
jaribu kutulia utulize maumivu
tunga zenye akili,sio unanionea wivu



Amakweli nyani haoni kundule!
mbona HEKIMA chini ya sign yako kuna jina la Guest ujiulizi limekujaje?
Tatizo lako unataka kunichafulia jina kama umeishiwa piga bunda sio unatafuta visababu vya kitoto

#28 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 15 July 2003 - 11:30 AM

Anonymous said:

we k**a tuu hekima :lol:

KAMA GUEST NDIO WEWE,HIVYO UNAKUBALI KUWA ULIJIFAGILIA ULIPOANDIKA 'NICE ONE BRO',AU SIO?? NA KAMA HAKUWA WEWE ALIYEANDIKA HIVYO,KWA NINI ULI-REPLY KUWA WEWE HAUNA HAJA YA KUTUKANA KWENYE BATTLE?? kama Guest hakuwa wewe,yale matusi yasinge kuuma NGE we!! unafanya watu mapimbi enh!! eti hauna haja ya kutukana,halaf chini una-sign tena kama Guest halaf unaandika'We Hekima k##a tu' Unachekesha sana Mshikaji!!...eti nataka kukuharibia Jina,Nge huna Jina kwenye hii Thread,you tha one that needs to wake UP!!
son,you fast as sleep...Hata hivyo poa,sina muda sasa hivi-nitakuchana tena soon,bytheway....YOUR REPLY IS WEAK,VERY WEAK!!

#29 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 15 July 2003 - 11:31 AM

Anonymous said:

we k**a tuu hekima :lol:

KAMA GUEST NDIO WEWE,HIVYO UNAKUBALI KUWA ULIJIFAGILIA ULIPOANDIKA 'NICE ONE BRO',AU SIO?? NA KAMA HAKUWA WEWE ALIYEANDIKA HIVYO,KWA NINI ULI-REPLY KUWA WEWE HAUNA HAJA YA KUTUKANA KWENYE BATTLE?? kama Guest hakuwa wewe,yale matusi yasinge kuuma NGE we!! unafanya watu mapimbi enh!! eti hauna haja ya kutukana,halaf chini una-sign tena kama Guest halaf unaandika'We Hekima k##a tu' Unachekesha sana Mshikaji!!...eti nataka kukuharibia Jina,Nge huna Jina kwenye hii Thread,you tha one that needs to wake UP!!
son,you fast as sleep...Hata hivyo poa,sina muda sasa hivi-nitakuchana tena soon,bytheway....YOUR REPLY IS WEAK,VERY WEAK!!

#30 Guest_HE.KI.MA_*

  • Guests

Posted 16 July 2003 - 10:09 AM

We kwangu bado sana kinda/hivyo vina ni laini kila nikisoma ninadinda
sa najua kwanini unapenda kuongelea kinga/unamchezea maalim wajua weza pata mimba/Pumbaf usiwe mjinga!
Kwa nini wapigana vita ambayo unajua hauwezi shinda/
unashambulia bila ya mbinu ya kujilinda/sikupigi ngumu,unatishwa!-unapigwa finga/
kama Stiba Gusto nanyoosha waliopinda/sikiliza tena Kinda…
mimi sio mwenzio,nahofiwa ka kilio/kusanya hizo ngonjera zako kimbia mbio/
kajifiche ujijengee na uzio/
cheza na haohao! iwe kwa mkono au mguu unapigwa bao/
we ni mdudu(Nge) usisahau mi ni NGAO/hivyo usake uvungu,ninasumu kupita RUNGU
huwa naacha ukungu kichwani na kizunguzungu…
hizo Bia unazobwia zinakuibia/maana unaishiwa,mistari unairudia/
umenipania,una-nia-hauoni njia/unachoshauriwa,ka wanyolewa ni kutulia/
maana umesha-anza ‘nywea’/nitakuacha ka Kibonge aliyetumikia Segerea/
au kama dume lililosutwa kwa umbea/pumbaf! we endelea…

#31 Guest_Hekima_*

  • Guests

Posted 16 July 2003 - 10:12 AM

Kwenye Bar ya 8, nimeandika 'sikupigi ngumu' inatakiwa iwe sikupigi Ngumi.

#32 Guest_HEKIMA/spacekillah_*

  • Guests

Posted 17 July 2003 - 11:12 AM

Oya Vichwa!! kama kuna mchizi yeyote anamfahamu STIBA GUSTO(Fortune) wa Kino(kwa Manyanya),naomba Mmuambie mwanae HEKIMA,namtafuta sana-tuwasiliane!
Infact,machizi naomba mmuambie anipe E-mail yake...yangu ni
hekima_asilia@yahoo.co.uk aniandikie kama anaweza...
PAMOJA!

#33 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 17 July 2003 - 11:18 AM

spacekillah@yahoo.com
PA1

#34 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 17 July 2003 - 11:40 AM

Oya Pia MOXI-JAMBAZ(wa WATEULE)!! KAMA MWAMPATA MACHIZI,NAOMBA MU-MPE UJUMBE!!

#35 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 18 July 2003 - 11:27 AM

RUN....

#36 Guest_brotha_from_tdot_*

  • Guests

Posted 19 July 2003 - 09:46 AM

I glad to see that people in the in a hip-hop site are speaking swalhili.
Im from toronto I never would have expected it. By the way I from Kenya Mombasa !

#37 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 23 July 2003 - 10:54 AM

Nge,we need you in this Forum men..Fuk the battle,its all for da Luv bra!!
Now Alcapaino amerudi,tunaweza tukafanya mpango mwingine wa kuwakilisha..au vipi.Oya Alca...welcome back,any ideas?? tunakusilikiza Bro..
PA1

#38 alcapaino

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • LocationRevolving around a Quantized nuclei

Posted 01 August 2003 - 03:01 PM

the line is clear...i can read u Hekima, nimerudi Mzee nilipotea kwa sana hii ni noma lakini nadhani mnajua misoto ya hapa na pale....wale watoto wa ki-kenya vipi wameogopa battle yako nini kama wako wengi tuanzishe nao battle za mtungo waje kundi na sisi tunatoka group then tunawasha moto kwenye page moja au unaonaje baba-ake... naamini timu yetu ipo tait akijiunga na Nge tumekamilisha crew
alcapaino.Mg
'the Most Illest 1'

#39 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 02 August 2003 - 12:02 PM

..tutawaua bure,hatutaki kesi,lakini kama wanataka waje wachanwe! We kiwashe na yeyote yule halaf wacheki shughuli..
PA1





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users