Jump to content


WAZO LA LEO...


38 replies to this topic

#1 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 10 June 2003 - 12:20 PM

Oya-Vichwa!
Mnaonaje tuanzishe mtindo mpya wa ku-battle,yaani kwa kifupi,

Watu wanatoa Topic, halaf Ma-MC wawili wana-battle! juu ya hiyo topic,wanaonyesha ubunifu wao katika ku-approach Topic yeyote ....halaf baada ya vesi kadhaa watu wanatoa maoni,kura whatever-kama invyokuwa.
HILI NI WAZO TU!!
KAMA WASHKAJI MNASAPOTI POA!! TUSIKIE MAONI YENU...
HEKIMA

#2 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 10 June 2003 - 12:22 PM

NA MSIO-SAPOTI PIA TUNAOMBA TUSIKIE MAONI YENU..

#3 Guest_ILLA_*

  • Guests

Posted 11 June 2003 - 07:24 AM

muda mwengine uwa una kuwa na akili....sasa unaweza kupanga mwenyewe hayo majina kama nani na nani wata batttle against,,,lete ratiba sasa mchezo uanze mzeee........................ :lol:

#4 Guest_tregman_*

  • Guests

Posted 11 June 2003 - 09:38 AM

oyah hayo ndio mambo mzee tunataka bongo au sio mazee
kwa hiyo mimi mwenyewe ni mc na ningependa kushiriki kwenye battle ingawa sielewi maana halisi ya neno hilo.

#5 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 12 June 2003 - 09:44 AM

Siwezi kiurahisi kutoa majina ya Ma-Mc,that aint eazy-but what ammo' do
Mimi kwa kuwa ndio niliyetoa wazo,hivyo poa mimi nitatoa Topic the 1st battle!! Kazi kwenu Ma-MC,Topic ni hivi....

Ni kwamba,Ma -Mc mnahitaji kuandika,kuelezea vitu au mawazo Unayowaza Ukiwa-stimu(iwe stimu za pombe,kitu,tambuu-poa)kama huwa unawaza vina,maisha,hiphop or whatever!!
Kumbuka kuwa Point ni kupima jinsi gani Ma-Mc wako kina,hivyo unauwezo wa kujimaliza(knah-mean!)Njoo na mtindo wowote, lakini naomba nisistize 'Vina' maana kuna washkaji wanaandika kama insha!
Kama unauwezo wa kucheza na mashairi yako,ukamchana unaye-battle naye lakini kwa kupitia Topic mliyopewa,utapewa Bonus!!(hii sio lazima).

NB: hiyo Topic hapo might seem,I dont know what to say! to some MCz,lakini kama we kichwa-hiyo Topic mtu unaweza kuonyesha Ubunifu wa kutisha!!

Pendekezo:
Ningeomba MC yeyote, anayetaka kubattle na ILLA juu ya hiyo Topic!
Oya ILLA,tunasubiri vesi yako!

HEKIMA
ONE-LOVE

#6 Guest__*

  • Guests

Posted 12 June 2003 - 10:04 AM

KAMA TOPIC HAIJAELEWEKA.POA NAWEZA NIKATOA MFANO.....lakini ukitafakari hiyo topic ipo Open sana,maana haina kikomo....wala sheria,ispokuwa tunataka Ujumbe,mpangilio wa mistari unaoeleweka,vina na pia tutacheki uwezekano wa kuimbika wa hiyo vesi!!

Kama mnatahitaji mfano, Holla!, kama sio-UKUMBI UMEANDALIWA....
HEKIMA

#7 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 12 June 2003 - 10:16 AM

BADO UNATAKA KUSHIRIKI???

#8 Guest_{O__-}_*

  • Guests

Posted 13 June 2003 - 07:54 AM

KAMA SI UJUMBE,BASI "NIKICHAPO" ZAIDI YA FALASI,,
NATUMIA NAFASI HII KUWEKA WAZI UPEO WANGU,,
NIKITIA TIMU SIONI MC STEGINI PIA YUKO MBALI NA KEYBOARD,,
KAMA UKUBALI SIONI UKIBISHA NA WALA SIONI ROYA,,
HII NI "ONYO" TOFAUTI NA LA H.I.V,,
NIKIINGIA VITANI SIONI MPINZANI BALI NAKATA MBUNGA,,
MI KAMA MWANA-JESHI CHINI NINA "TIMBALAND",,
JARIBU KUKATIZA UHAMUSHE MILUPUKO UACHE VUMBI,,
WANAO KUFA KISANI SIONI KAZI KUPAKA RANGI MAKABULI,,
MI KAMA MC SIONI HAYA KUSEMA NITAKALO............................

(JUST PASSIN BY YA`LL PEACE I AM OUT) :arrow:

#9 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 13 June 2003 - 12:20 PM

TUNAOMBA UMAKINI, KAMA HAUWEZI TOPIC-TULIA,SIO UNATULETEA UKATUNI...AU VIPI...

NB: OYA-VICHWA!! BADO TUNASUBIRI MTU ATEME...(TOPIC IPO JUU)!
HEKIMA

#10 Guest_(-_-)_*

  • Guests

Posted 13 June 2003 - 04:47 PM

:lol:

sawa b

#11 Guest_HE.KI.MA_*

  • Guests

Posted 17 June 2003 - 11:01 AM

SHOW SOMN LUV!!

#12 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 17 June 2003 - 03:38 PM

NI KAMA NIPO NDOTONI,LAKINI KUMBE NI KWELI
NAPOKUWA TUNGI,MWENZENU NAMWAGA NGELI
SILI MIRUNGI,NAWALA SIVUTI BANGI
MWENDO NI VIPEGI
NA SINA UBAGUZI WA RANGI
NAPOKUWA BAR,NAZUNGUSHA TU ROUND
TINYWE MPAKA TIFE,NI DOLLARS NAPOUND
NAPOKUWA TUNGI,NYEGE ZANGU NI MADEMU
CHICHA LIKIKOLEA,NASOGEA KWENYE GAME
NAKAMATA STICK,MWENDO NI POOLTABLE
KAMA HIYO HAITOSHI
KONYAGI PEMBENI AVAILABLE
NACHEZA SLOTS NACHEZA NA KAMARI
MWENDO WA BIA,CHAKULA SINA HABARI
POMBE NDO INANIPA UFAHARI
NAPATA MARAFIKI
NAPANDA STAFF KWENYE MAGARI
SOMETIME NATAPIKA,
SOMETIME NAPATA HATARI

#13 Guest_foresight_*

  • Guests

Posted 20 June 2003 - 06:53 AM

nge thats aaight!!!! yo HE.KI.MA thanx for the good work...i don't have much time now lakini nikipata mda nita post as well...peace out











"wise men talk because they have something to say,fools,because they have to say something"

#14 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 02 July 2003 - 01:23 PM

oYA! WASHKAJI NAONA HII THRED TUMEIUA,LAKINI POA-MIMI NITAKACHOFANYA NI KUTOA VESI KILA WIKI(1),MA-MC MNAWEZA KUCHAMBUA AU KUTOA HOJA WHAT-EVER,NA WALE WANAOTAKA BATTLE POA
PIA NI ALRIGHT-HAINA NOMA, FOR THE LUV OF IT...
HII ISHU NAANZA RASMI KESHO,NAONA WATU HAMTAKI KUUMIZA VICHWA,BASI POA NYIE SOMENI TU....
HESHIMU KINA CHA MASHAIRI
HE.KI.MA
NB: ONE LUV VICHWA VYANGU!

#15 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 03 July 2003 - 02:24 PM

Kwa stimu aghali navuka mito na bahari
natoka nje ya mwenyewe niweze jiona toka mbali
yaani kama jua linavyo-onekana kwa sayari,nawasha kibatari
ndani ya mapango ya upeo natafakari,natasua hali..
natoka dhoruba kwenda tuli mpaka shwari,nasaka hisia za kuandikia hii mistari ni ka rupia,kina nawachimbulia,migodi ya fikra yaani uwezo wa kufikiria ni Hekima,busara zinaitikia,nang’ara kama nuru Mc nyota wafifia
mithili ya jua jioni usiku unapoingia-natanda manani-mbaramwezi naifyonza ndani,nawaacha gizani ni ka-kiama kwenye fani..nje ya uwezo wao ma-MC hawaoni ndani
naandikia vichwa,wenye matango juu ya shingo hawapati picha
wanabaki pinga japo hawajui wanachobisha,nawapanikisha-mistari YATISHIA insha..hakuna mikato(,)nukta pia zinapisha-tungo zikifika mwisho tena naanzisha…(hii ni kwa Vichwa)

NB:Kwa vichwa!

#16 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 08 July 2003 - 01:39 PM

Najua we ni kichwa,na unaforce kipaji
yanini mayowe,wacha watu wakujaji
umekubali mwenyewe,kuwa ni moto wa kibatari
utamulikaje nje,wakati kuna hatari
kuna mvua,kuna upepo, tena wabahari
sikatai una vina,je kama havina maana
basi unataka jina,na mademu kuwabana
ni sawa na mapenzi,mchezoni bila ya zana
upo wapi mgodi wako wa fikra usio na dira
kwa kuenda kavukavu,na kuzarau mpira
ni sawa na kula andazi,lisilo na amira
inaonyesha mshikaji,kichwani umeisha
kwa ufupi nakupinga,na naelewa nachobisha
[/b]

#17 Guest__*

  • Guests

Posted 08 July 2003 - 06:33 PM

:lol: nice one bro

#18 Guest__*

  • Guests

Posted 10 July 2003 - 10:35 AM

Hata kama ni vita,havitadumu milele
hata miaka ikipita,lazima nisonge mbele
Naona wamejificha,wakati walikuwa tele
wanajiita mateacher,nakucheza kama pele
wanaficha makucha,jina langu likitokea
wanafunga mabucha,mbiombio na kupotea
Nasema sio dawa
napenda hilo mfahamu
nikiwa africanhiphop
na click kwenye forum
nachagua topic,na naenda battle rhyme
hapo utanikuta
kama nge mwanaharamu
ila usije pupa
haswa kama unifahamu

#19 Guest_HEKIMA_*

  • Guests

Posted 11 July 2003 - 10:34 AM

Yaani we mdudu ni ilimradi tu ubishe/
Hizo sera za maandazi na amira ni za ‘mamalishe’/
Umesahau mafuta-pumbaf! ukamilishe/hiyo mistari ya ngonjera haina maana/mambo ya mipra ya ngono wapelekee ‘Salama’/nadhani watakuona kichwa pumbaf-watakupa flana/sikiliza we mtwana…
Siitaji jina,wananifahamu ka HE.KI.MA/siishiwi mistari,lugha yangu ya taifa ‘Vina’/ambayo kwako ni kichina/uko ‘dede’ chalii hujasimama wima
unataka battle na mimi kwanza ukasake Bima/na tena ufanye hima…
na wewe guest-sijui ‘Nice one Bro’,kwa kunyonya Mboo-unakojolewa ndani koo acha jina au la! funga hicho choo…

NB: Poa Nge,Sina Muda ningekuchana zaidi mdudu we!Hata hivyo jibu nikuchane tena(vizuri)!

#20 nge

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 42 posts
  • LocationK.I.M.A.R.A

Posted 11 July 2003 - 03:31 PM

Nilisema usije pupa,haswa kama hunifahamu
nakuhurumia wewe,unayepiga kwenzi sanamu
unang'ata na kupuliza,eti huna time
basi hapa umefika,kwa nge mwanaharamu
Nikiyapanda maneno,mimi kama mkulima
watu wawe mbegu,ukweli ndo udongo
na kukuwa kama mti uliopandwa kwenye angle
kama sayari kweye orbit,nitakufa niki struggle
ama za NGE ama HEKIMA
Unamcheka nyani wakati we kima
unatuachia magepu,ukijifanya umepinda
wakati kwenye game,unaonekana kinda
Huku nakuburuza,nakuungisha na tela
nikikosa beats,nakwenda na Accapela
sambamba na makofi,wakiyapiga masela
alcapaino na Hisabati,HEKIMA hauna sera


nataka kuwaonyesha watu battle sio lazima matusi
wake up! HEKIMA naona bado umelala!
(good)!





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users