I wouldn't be surprised is swahili had similiar grammer/words as korean. From what i've heard by listen to swahili and korean hiphop/rnb/pop.
did swahili originated from indian languages?
Started by Guest_Delugviathan_*, Jun 09 2003 05:16 AM
22 replies to this topic
#21 Guest_Delugviathan_*
Posted 17 June 2003 - 11:43 PM
#22 Guest_mchizi_*
Posted 22 May 2004 - 01:05 AM
IT WAS BORN IN EAST AFRICAN COAST FROM THE MIXTURE OF BANTU TRIBES DIALECTS 50%, ARABIC 30%, PORTUGUESE10%, GERMAN7% AND CHINESE 3%.
IT IS ONE PF THE LANGUAGES BORN FOR SLAVE TADE!!!!!!
NO INDIAN IN IT

#23 Guest_Juakali_*
Posted 27 May 2004 - 01:10 PM
Napenda kuwapeni machache kuhusu kiswahili. Wengi mmetoa mifano na maelezo ambayo yana msingi. Takwimu za asilimia ngapi kiswahili kimechangia lugha nyingine sio sahihi..Hizi takwimu zimejaa ubaguzi wa rangi na ukoloni ambao ila mara wanafanya mambo kuonyesha watu hawana mambo yao ya asili kabla ya wao kuja huku. Kuna jamaa amegusia kuona maandiko ya mwandishi wa kale wa kigiriki, hilo jambo ndio linawatia uoga wasomi wote waliosoma elimu yenye misingi ya kikoloni.
Miaka mingi sana ya nyuma kiswahili kimeongelewa- Na kuhakikisha hili napenda kuwajulisheni CHANZO cha lugha ama kundi lenye lugha zinazoungana hadi kuwa kiswahili ni maeneo ya KONGO..Kama J4 anavyosema misingi ya lugha ni ile NAHAU zake, sasa maumbile ya kiswahili ni ya kiafrika kabisa..Hakuna asilimia 20% wala 40% ya kiarabu kama wanavyowafundisheni shuleni. Naongea lugha zote mbili nakuhakikishia yapo maneno yenye asili ya kiarabu- lakini hata hayo ya kiarabu asili yake ni ki KEMETI (leo mnaita egypt) ..
Wenyeji wa eneo hili ni watu weusi tii..Hivyo kiarabu hakina asili pekee ya huko mashariki ya kati..Na kuhusu mchanganyiko mwengine, hata kiingereza ni mchanganyiko tu wa lugha mbali mbali pamoja na hicho kiarabu ki Sanskrit ama lugha nyingine za kihindi. Ukitaka ushahidi mwingine nenda uwasikilize Wasetswana, uniambie asilimia ngapi haya maneno yanaingiliana..Sikiliza kiShona cha zimbabwe, nna uhakika hata kishona cha msumbiji na malawi kina maneno ya kila siku tunotumia uswahilini..Neno kiswahili ni la kigeni waarabu waliamua kuita hivyo kama kawaida watu wa jangwani na ule uharamia wao, hupenda kuleta mila zao
hupenda kutoa na kuweka majina yao kila mahali- Daresalamu ilikuwa inaitwa Mzizima.
Tukirejea suala kuwa kuna asili ya kihindi, jibu hapana lakini kuna maneno machache yenye asili kihindi -papo hapo tukumbuke wale wahindi weusi wa kule India wanaongelea asili yao huku huku Afrika.
sijui aliyeongea kuhusu kikorea alikuwa anadhihaki ama vipi! Lakini sio ajabu kukuta maneno ya kijapani kibao yenye maana sawa na kiswahili, moto,pili pili na mengine kibao nimeyasahau sasa hivi.

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users