hi ni ukamili wa pili, ukizidi, fariki kama maiti- ya Dedan Kimathi//
your dead na wapi, ulafi, kamatwa na haki, uchungu wa mwaki//
na kupa rungu hautaki, na tupa kwa nguvu mpaka na vua shati//
na fanya nundu ibaki, kichwani uache kufrahi katwa nami//
ka kutereza juu ya mabati, au kuachia mtoto acheze na makasi//
ingiza wasi wasi, kaa jua kali aki kunywa busaa kiasi//
umemalizwa kaa jambazi, akiibia maasai, mtoto- acha utiaji/
vote for it so I can see where my swahili skillz stand
D-LINKWENT. NUFF SED.....
style yangu ni filanga free
Started by D-LINKWENT, Dec 10 2005 09:22 AM
1 reply to this topic
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users













